Mbunge wa Ileje ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amekabidhi mitungi 107 kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2024BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini, kwa kufadhili mpango wa kuchochea...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2024NI mwaka mpya umefika ukiwa na mambo mapya, hiviumeukaribisha mwaka mpya 2024 ukiwa kiwanja gani? Ikohivi hapa mjini na popote ulipo kuna sehemu...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2024RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amempongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), kwa kuchaguliwa tena kuliongoza taifa hilo...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2024WASHINDI 120 wa kampeni ya Benki ya NMB ya mastabata- halipoi wamejinyakulia jumla ya zaidi ya Sh milioni 24 kama zawadi katika droo...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2023Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameainisha mipango ya serikali kwa mwaka mpya wa 2024, ikiwemo agizo la kuanzisha safari za SGR kati...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2023JE wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikanamtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapamchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi hukuunaburudika na kucheza...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2023HATIMAYE Jeshi la Polisi limemkamata Lucas Paul Tarimo anayetuhumiwa kumuua kwa kumchoma visu 25 Beatrice James Minja, akiwa amejificha katika kijiji cha Jema...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2023LIGI kuu ya Uingereza maarufu kama EPL leo itaendelea katikwa viwanja mbalimbali ambapo michezo kadhaa itapigwa ikiwa itatoa nafasi ya kuweza kushinda...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2023Shirika la Reli Tanzania limepokea vichwa vipya vitatu vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dk. Doto Biteko amezindua Zahanati ya Bungoni iliyopo mtaa wa Mafuriko Ilala jijini Dar es...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023NCHINI Uingereza leo ligi daraja la kwanza maarufu kamaChampionship itaendelea ambapo itapigwa michezo mingiambayo inaweza kutoa nafasi kwa wateja wa Meridianbetkupiga maokoto ya kutosha....
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023JESHI la Polisi limejitokeza na kuwaomba wananchi kutoa ushirikiano wa taarifa kwa jeshi hilo ili kubaini alipo kisha kumkamata mtuhumiwa Lucas Tarimo anayedaiwa...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023Mighty Empire Hold and Win ni sloti mtandaoni iliyoletwana mtoa huduma iSoftBet. Mchezo huu una bonasi ambazohutolewa kwa wachezaji wote wa kasino ya...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023Wakati zoezi la kuhesabu kura likiendelea nchini Kongo, Rais Felix Tshisekedi ameendelea kuongoza kwa asilimia 77 na mpinzani wake wa karibu Moise Katumbi...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023Anne Rwigara (41), aliyekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rwanda na mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa zamani nchini Rwanda, Assinapol Rwigara amefariki dunia nchini...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023WAJASIRIAMALI wadogowadogo kutoka mitaa ya MbagalaRangi Tatu jijini Dar-es Salaam wafikiwa na kampunibingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet ambapowamefanikiwa kupokea msaada kutoka kwa kampuni...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2023KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania imekabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi zikiwemo nondo 1000, mabati 800 pamoja na saruji mifuko 600...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2023RAIA wawili wa Tanzania, watatu wa Zambia na mmoja wa Kenya wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Serenje nchini Zambia,...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2023MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imetangaza kuanza kufanya uchunguzi tukio la raia wa kigeni kuwinda mamba mwenye ukubwa unaodaiwa kuweka rekodi...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2023MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet hawataki mteja wake utie huruma, Kwanikipindi hichi cha sikukuu wanataka kuhakikisha watejawake mnapiga maokoto ya kutosha katika...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023Umoja wa Mabalozi wa nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023WAPALESTINA 241 wameripotiwa kuuawa, huku 382 wakijeruhiwa katika operesheni ya kijeshi iliyofanywa na vikosi vya kijeshi vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza, ndani...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023OFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), imeondoa mahakamani kesi ya jinai Na. 179/2023, iliyofunguliwa na Hashim Ally dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023KABLA sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya Taifa la...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023WATU saba wakiwemo wawili raia kutoka barani Asia, wanashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023LEO Jumanne ya Boxing day yaani siku ya kufungua zawadi basi michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Uingereza itapigwa katika viwanja tofauti...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2023TUME ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, CENI, imetoa matokeo zaidi ya awali ya uchaguzi wa rais, yakionesha rais Felix Tshisekedi...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2023MSIMU wa Sikukuu wa Krismas na Mwaka mpya hutawaliwa na theluji wenyewe huita White Chrismas, wakiwa na maana ya kwamba Krismasi nyeupe....
By Mwandishi WetuDecember 26, 2023WAMILIKI wa hospitali binafsi nchini wametishia kugomea kutibu wagonjwa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), iwapo bei mpya zilizotangazwa na...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2023Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) mkoa wa Kilimanjaro, imelazimika kutoa kibali kwa mabasi madogo ya abiria maarufu kama Coaster ya kukodi...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2023SAKURA Wind ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni yaMERIDIANBET yenye nguzo tano zilizoandaliwa katikasafu tatu na mistari 20 ya malipo. Ili kushinda, unahitajikupata...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2023Katika misa yake ya Krismasi, Askofu Mkuu wa Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kardinali Fridolin Ambongo ameelezea jana Jumapili jioni...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2023Shamrashamra za Krismasi zinaendelea duniani kote leo Jumatatu, siku ambayo Wakiristo wanasherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo. Sikukuu hii imejiri...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2023NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Jumamosi ameshiriki mashindano ya Rombo Marathon yaliyohusisha mbio za Kilomita...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2023WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2023JUMAMOSI hii utapigwa mchezo mkali sana katika ligi kuu ya Uingereza ambapo utashuhudia vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Arsenal...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2023Wananchi wa kijiji cha Songambele kilichopo kata ya Magamba wilayani Songwe mkoani humo, wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa kituo cha afya Ileza ambacho...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2023KIPINDI hiki cha sikukuu kampuni bingwa ya michezo yakubashiri ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambeambayo itatatoa ofa kwa washindi watakaocheza michezo yaKasino mitandaoni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2023ILIKUWA ni asubuhi moja ya Jumatano kijana mmoja kutokafamilia duni aliamka mapema sana kisha akaanza kujiandaakwenda shule, kwakuwa alikuwa anaishi kwenye hali yaufukara...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2023Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua mfumo rasmi wa kuwahudumia wananchi popote walipo kupitia simu ya kiganjani “Ardhi App” wa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2023Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo Ijumaa imewapokea wafanyakazi wake na wadau mbalimbali wa utalii wakiwemo waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro ambao...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2023BENKI ya NMB imetangaza washindi 100 waliobahatika katika droo ya 7 ya kampeni yake ya MastaBata Halipoi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023KUNA msemo waswahili wanasema baada ya dhiki faraja nahichi ndicho kinaonekana kwa klabu ya Simba kwasasa, Kwani walipitia kipindi kigumu lakini wameonekanakuanza kurejea...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023MARA ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1998 takribani miaka 25 imepita tangu Yanga aingie hatau ya makundi bila kushindamchezo wowote kwenye kundi lake...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amelia na kitendo cha mmomonyoko wa...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023WAWEKEZAJI kutoka sekta mbalimbali, fedha na serikali zitakutana kuonyesha uwezo ilionao Tanzania. Uwezo ambao unaonyeshwa na nchi ambayo kwa sasa imeorodheshwa kuwa ya...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023WATEJA wa Kampuni ya Vodacom ambao watakaofanya manunuzi ya mafuta katika vituo vya mafuta vya Lake Energies kwa kutumia M-Pesa watapata punguzo...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023Waumini wa makanisa, mtaa wa Sanare kata ya Daraja mbili Jijini Arusha, wameungana na kufanya maombi ya pamoja kulaani vibaka wanaosumbua mtaani hapo...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2023