Friday , 3 May 2024
Home mwandishi
8769 Articles1258 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atangaza maandamano kupinga miswada ya uchaguzi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza maandamano ya amani bila kikomo nchi nzima, hadi pale Serikali itakapofanyia kazi maoni na mapendekezo ya...

Michezo

Bashiri na Meridianbet mechi za Jumamosi hii uvune mkwanja

NDUGU mteja mechi mbalimbali Barani Ulaya zinaendelea hii leo, na wewe kama mteja wetu tunakuthamini sana kwa kuwa tayari tumeshakuwekea kile ambacho wewe...

Michezo

Mbappe na rekodi ya Dunia hii hapa

  JINA Kylian Mbappe sio geni kwa mwanasoka kindakindaki yani yule ambbae anapenda mpira sana. Mchezaji huyo alivuti wengi na anazidi kuvutia hasa...

Habari Mchanganyiko

NMB yatoa fidia ya mil. 270 kwa waathiriwa mafuriko Hanang

Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya bima ya Reliance Insurance wamekabidhi hundi ya Sh milioni 270 zitakazotumika kuwalipa fidia wajasiriamali wadogo...

Habari za Siasa

UN-Women ya yachambua miswada ya uchaguzi, yapendekeza

UMOJA wa Mataifa (UN), chini ya kitengo cha wanawake, umechambua miswada ya maboresho ya sheria za uchaguzi na kutoa mapendekezo yake juu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwinyi: Mafanikio miaka 60 ya Mapinduzi yametokana na waasisi, viongozi waliotangulia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Zaraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio waliyoyapata miaka 60 tangu Mapinduzi ya mwaka 1964,...

Michezo

Earlind Haaland straika wa zamani anayetamba sasa

MSHAMBULIAJI  wa klabu ya Manchester City EarlingBraundt Haaland ambaye amekua mshambuliaji tishio zaididuniani kwasasa kutokana na uhodari wake wa kupachikamabao. Earling Haaland anazungumzwa...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wafurahishwa na elimu ya Hali ya Hewa Zanzibar

  WANANCHI kutoka maeneo mbalimbali Zanzibar, wamefurahishwa na elimu ya hali ya hewa inayotolewa katika maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi...

Habari Mchanganyiko

Waganga 11 mbaroni kwa kuagua bila kibali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limewakamata watuhumiwa 11 kwa kufanya shughuli za uganga bila kuwa na kibali. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa...

Biashara

Wild Spin kasino inayolipa zaidi Meridianbet

KILA mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijanawengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati zamjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote...

AfyaKimataifa

Corona yaua 10,000 sikukuu za Krismasi, mwaka mpya

Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema mikusanyiko ya sikukuu za mwisho wa mwaka imesababisha kasi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Samia amtumbua mkurugenzi Dart

Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan  ametengua uteuzi wa Dk. Edwin P. Mhede aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART). Anaripoti...

Michezo

Madrid Derby kinawaka leo Saudi Arabia

MIAMBA ya soka kutoka nchini Hispania ambao nimahasimu wakubwa katika soka la Hispania vilabu vya Real Madrid na Atletico Madrid leo watashuka dimbani kumenyana...

Biashara

Meridianbet ni balaa, yarudisha rejesho la 10% ukipoteza mchezo

  HUU ni mwaka wa hela tu ukiwa na Meridianbet basi umechagua kushinda kila siku, Cheza Kasino ya Mtandaoni bila hofu yeyote ya...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: 2024 tutapigania maisha ya heshima kwa watanzania

BARAZA la Mawaziri Kivuli la Chama cha ACT-Wazalendo, limeahidi kupigania maisha ya heshima kwa watanzania wanyonge, huku likianisha vipaumbele itakavyofanya 2024. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yataka mambo 4 marekebisho sheria za uchaguzi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha mapendekezo makuu manne mbele ya Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, juu ya miswada...

Habari Mchanganyiko

Msalala yapitia mpango mkakati wa maendeleo miaka mitano

HALMASHAURI ya Wilaya ya Msalala, mkoani Shinyanga, imepitia mpango wake mkakati wa maendeleo wa miaka mitano (2021/2022-2026/2027), ili kubaini changamoto zake kwa ajili...

Habari Mchanganyiko

Makamu wa Rais Z’bar azindua mikopo ya boti za uvuvi kutoka NMB

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah, amezindua huduma ya mikopo nafuu ya boti za kisasa za uvuvi na vifaa...

Michezo

Chelsea sasa wameanza kujipata

KLABU ya Chelsea chini ya kocha Mauricio Pochettinowanaonekana kama wameanza kujipata kutokana namatokeo yao ambayo wameanza kuyapata katika michezoyao ya hivi karibuni. Msimu...

Habari za Siasa

Maaskofu Katoliki wataja sababu kuwa mbogo marekebisho sheria za uchaguzi

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limesema kwa mara ya kwanza limeamua kutoka mstari wa mbele kutoa mapendekezo yake juu ya uboreshaji sheria...

Habari za Siasa

DP World mbioni kuanza kazi Bandari ya Dar es Salaam

KAMPUNI ya Dubai Port  World kutoka Imarati ya Dubai, inatarajiwa kuanza uendeshaji wa maeneo waliyokodishwa katika Bandari ya Dar es Salaam, kwenye robo...

Habari Mchanganyiko

Kapinga: TGDC onesheni matokeo chanya kwa kuzalisha umeme

KAMPUNI ya Uendelezaji wa Joto Ardhi Tanzania (TGDC) imetakiwa kuonesha matokeo chanya kwa kuzalisha umeme kwa kutumia rasilimali ya Jotoardhi ili kuunga mkono...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka wakulima wa karafuu kuacha biashara za magendo

WAKULIMA wa karafuu visiwani Zanzibar, wametakiwa kuacha kuuza kwa magendo zao hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

Biashara

Mchezo huu unakulipa kwa njia 81, Vegas Magic kasino

  NASIKIA kuna watu wamepagawa sana na mchezo wa AVIATOR yani huwaambii kitu, lakini kuna michezo mingi sana ya kupiga hela kirahisi kama...

Habari Mchanganyiko

Askofu na mshauri wa Papa Francis ataka mapadre waruhusiwe kuoa

Afisa mkuu wa Vatican ambaye pia ni mshauri wa Papa Francis, Askofu Mkuu Charles Scicluna amesema ipo haja ya Kanisa Katoliki kutathmini upya...

Habari Mchanganyiko

Hospitali ya Kairuki yaleta neema wanawake wasiopata watoto

JITIHADA zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kuigeuza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba zinaendelea kupata mafanikio makubwa baada ya ya Hospitali ya...

Biashara

Cheza leo sloti ya Mafia Clash kasino uone maajabu ya ushindi rahisi

  HATIMAYE wale wapenzi wa kucheza magemu huu utawafaa, ni mchezo mzuri sana wa kasino ya mtandaoni una mandahari mazuri na wakati unaucheza...

Habari za Siasa

Akina Dk. Slaa wataka uchaguzi serikali mitaa usogezwe mbele kupata katiba mpya

TAASISI ya Sauti ya Watanzania imeshauri uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwaka huu, usogezwe mbele hadi uchaguzi mkuu wa 2025, ili...

Afya

Kenya yaiomba Tz msaada dawa za TB

Waziri wa Afya nchini Kenya, Wafula Nakhumicha amesema Serikali ya Kenya imeomba msaada kutoka Tanzania ili kukabiliana na uhaba wa dawa za Kifua...

Michezo

Kwapua mapene Jumapili hii na Meridianbet

MTEJA wa meridianbet kama ilivyo ada kutusua mkwanja ni jambo la lazima sana kama utachagua sehemu sahihi ya kuwekeza mkwanja wako wa meridianbet...

Habari za Siasa

Marekebisho sheria za uchaguzi: Chadema, ACT-Wazalendo watinga bungeni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), pamoja na Chama Cha ACT-Wazalendo, vimewasilisha maoni na mapendekezo Yao kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

Habari za Siasa

Mchinjita ajitosa kuwania makamu mwenyekiti ACT Wazalendo

MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Lindi, Isihaka Mchinjita amesema anatarajia kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho upande wa...

Habari Mchanganyiko

Shamba la miti lawaondoa katika umaskini wanufaika wa TASAF kijiji cha Idumila

  WANUFAIKA wa Kikundi cha Asante kilichopo Kijiji cha Idumila, katika Halmashauri ya Njombe DC, mkoani Njombe, wameeleza namna Mfuko wa Maendeleo ya...

Habari Mchanganyiko

Oryx Gas Tanzania yagawa mitungi 700 Iramba – Singida

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania kwa kushirikiana na Mbunge wa Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha, Dk.Mwigulu Nchemba wamegawa mitungi ya...

Habari za SiasaTangulizi

CCM wapanga kumuongezea muda Rais Mwinyi kukaa madarakani

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinakusudia kupeleka hoja ya mabadiliko ya 13 ya Katiba ya Zanzibar ili kuwezesha kuongezewa muda wa muhula wa uongozi...

Michezo

Piga mkwanja na michezo ya FA leo kupia Meridianbet

JUMAMOSI ya leo michuano ya kombe la FA itaendeleakupigwa nchini Uingereza na michezo mbalimbali itapigwakatika viwanja mbalimbali na kutoa fursa kwa wateja waMeridianbet kuweza...

Kimataifa

Kesi mauaji ya wanaharakati wapinga ubaguzi yafufuliwa

Wizara ya sheria ya Afrika Kusini inatarajia kufungua tena jalada la uchunguzi wa mauaji ya wanaharakati wanne wapinga ubaguzi moja tukio baya ambalo...

Habari za Siasa

Wakongwe viti maalumu watakiwa kwenda majimboni

JUKWAA la Wanawake Viongozi wa Jumuiya za Vyama vya Siasa nchini (ULINGO), limeshauri wanawake waliopata nafasi ya viti maalum zaidi ya mara moja,...

Habari za Siasa

Dk. Semesi ateuliwa kuwa mkurugenzi mpya NEMC

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa...

Michezo

Mkwanja wa maana unatolewa na Meridianbet sasa

MECHI za FA Cup nchini Uingereza kupitia meridianbet zimekupanga kukuacha ukiwa unajibweda na maokoto ya maana ukibashiri nao wakati huu kwani huku wamekuwekea...

AfyaKimataifa

Kipindupindu chasababisha shule kutofunguliwa Zambia

Serikali ya Zambia imetangaza kuahirisha kuanza kwa muhula mpya ya masomo kwa wiki tatu zaidi kutokana mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaua...

Kimataifa

Sudan yamrejesha nyumbani balozi wake nchini Kenya

Sudan imemrejesha nyumbani balozi wake nchini Kenya kufuatia ziara na kikao kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na Kamanda wa kikosi cha...

Biashara

Wateja 100 wazoa mil. 10 ‘NMB MastaBata Halipoi’

KAMPENI ya Weka, Tumia ana Ushinde inayoendeshwa na benki ya NMB ikilenga kuhamasisha matumizi yasiyo ya pesa taslimu, imezidi kuchanja mbuga, baada ya...

AfyaTangulizi

Serikali yasitisha bei mpya kitita cha NHIF

Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambazo zilipangwa kutekelezwa kuanzia...

Michezo

La Liga kuendelea leo na mkwanja kuendelea kutolewa

LIGI Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga kuendelea namichezo kadha itapigwa katika viwanja tofauti, Huku Meridianbet wao wakiendelea kuhakikisha wewe mteja waounaupiga...

Biashara

Cheza kasino Meridianbet ushinde x 10,000 ya dau lako

  HII ni kwa wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni, mambo mazuri yamekuja kwaajili yao pale Meridianbet kuna mchezo wa sloti ambao...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aipongeza NMB kuchangia maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono ajenda ya...

Michezo

Anza mwaka kibabe na maokoto ya Meridianbet

  MWAKA unaweza kuanza kibabe kabisa kwa upande wako kama utaweza kucheza kitaalamu na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ambayo...

Habari MchanganyikoTangulizi

TMA yatoa tathmini ya hali ya joto nchini

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya tathmini ya hali ya joto na mwenendo wake katika maeneo mbalimbali nchini....

Biashara

Bonasi baab kubwa ukicheza kasino ya Chinese Tiger

    MERIDIANBET inakuletea mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa kwa mandhari ya Kichina, kama jina la sloti hii. Tiger wanajitokeza kama mandhari...

error: Content is protected !!