Friday , 10 May 2024
Home Kitengo Biashara Wild Spin kasino inayolipa zaidi Meridianbet
Biashara

Wild Spin kasino inayolipa zaidi Meridianbet

Spread the love


KILA
mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijanawengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati zamjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote kwa yoteili mkono uende kinywani. Sasa ngoja nikusogezee chimbomoja wapo linaloweza kukupatia mkwanja kila mudaunapohitaji, ni ulimwengu maridhawa wa kasino yamtandaoni kutoka Meridianbet.

Kwenye ulimwengu huo utakutana na mchezo wa sloti wa Wild Spin ni moja kati ya michezo mingi ya kasino ya mtandaonikutoka kwa mtayarishaji Platipus. Mchezo huu utakupatiazawadi nyingi na bonasi kibao ya mizunguko ya bure. JISAJILI MERIDIANBET ufurahie michezo mingi ya kasino yamtandaoni.

USHINDI WA WILD SPIN KASINO YA MTANDAONI.

Wild Spin ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwakatika mistari mitatu na mistari 25 ya kudumu. Ili kupata ushindiwowote, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zenyekufanana kwenye mstari.

Kila muunganiko wa ushindi, isipokuwa ile yenye alama za“scatter,” hugawiwa kutoka kushoto kwenda kulia kulingana nanguzo zilizopo.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwenye mstari mmoja. Ikiwauna kombinasheni kadhaa za ushindi kwenye mstari mmoja, utalipwa kombinesheni yenye thamani kubwa Zaidi unapoibukamshindi wa mchezo huu wa kasino ya mtandaoni WILD SPIN.

Inawezekana kuongeza thamani ya ushindi kwa kuziunganishakwenye mistari kadhaa kwa wakati mmoja.

Ndani ya eneo la “Bet,” kuna menyu inayokuwezeshakubadilisha thamani ya dau kwa mstari. Utaweza kuona thamaniya dau kwa mzunguko kwenye eneo la “Total Bet.”

Pia, kuna chaguo la “Autoplayunaloweza kuwasha wakatiwowote. Kupitia chaguo hili, unaweza kusanidi hadi mizunguko100.

Ikiwa unapenda mchezo wenye kasi zaidi, unaweza kuanzishamizunguko ya haraka kwa kubofya eneno lenye picha ya mshalewa mara mbili. Unaweza kurekebisha viwango vya sauti upandewa chini kushoto chini ya nguzo.

Alama za Ushindi Kwenye Wild Spin Kasino ya Mtandaoni.

Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una alama nyingi zaushindi kama vile; 9, 10, J, Q, K, na A.  Ambapo kadi hizihugawanywa katika vikundi viwili kulingana na nguvu zao zamalipo.

Alama tano zilizobaki zinachukuliwa kuwa alama za kulipa kati, yaani, pamoja na alama ya tunda la plum na tunda la cherry.

Kengele ya Dhahabu na alama ya Bar hulipa kwa njia ile ilekama alama ya tunda la cherry. Ikiwa utaunganisha alama tanohizi kwenye kombinesheni ya ushindi, utashinda mara 200 yadau kwa mstari.

Alama ya msingi zaidi ya mchezo, kama katika michezo mingiya kawaida, ni alama ya 7 bahati. Ikiwa utaunganisha alama tanoza namna hii kwenye kombinesheni ya ushindi, utashinda mara300 ya dau kwa mstari.

Alama ya “wild” inawakilishwa na nembo ya “Wild.” Inachukuanafasi ya alama zote, isipokuwa “scatter,” na kuwasaidia kuundakombinesheni ya ushindi.

Michezo ya Bonasi

Alama ya “scatter” inawakilishwa na nembo ya dola. Hii ndiyoalama pekee inayolipa popote inapojitokeza kwenye nguzo. Alama tano za “scatter” zitakulipa mara 100 ya dau lako.

Alama tatu au zaidi za scatter huleta mizunguko ya bure kulingana na sheria zifuatazo:

Alama tatu za “scatter” – mizunguko 10 ya bure
Alama nne za “scatter” – mizunguko 15 ya bure
Alama tano za “scatter” – mizunguko 25 ya bure

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapatabonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA*149*10# AU tembelea tovuti yaomeridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet kasino yaja na promo ya mil 200/=

Spread the love  Kimbunga Hidaya kilikuja na madhara makubwa sana katika maeneo...

Biashara

Moon of Thoth, historia ya Misri ya kale ilipofichwa ndani ya kasino

Spread the love  Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

Spread the loveWADAU  wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku...

Biashara

Expanse Tournament kasino mzigo umeongezwa hadi mil 400/=

Spread the love Jiunge na Meridianbet kasino kufurahia promosheni kubwaya Expanse Tournament,...

error: Content is protected !!