Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imekamilisha ujenzi wa vituo 30 vya huduma kwa jamii (Public Sanitary Service...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024UNAAMBIWA bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024Ugumu wa maisha unaotokana na kupanda kwa gharama za bidhaa muhimu, umeteka maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewaaga na kuwapatia vyeti wanafunzi 50 kutoka vyuo vikuu waliokuwa wanafanya kazi katika mgodi huo kupitia...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2024KAMPUNI ya Vodacom Tanzania katika mwendelezo wake wa kuwajali wateja na watu wenye ulemavu, imezindua dawati maalum la huduma kwa wateja litakalohudumia...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024WAZIRI WA MKUU Kassim Majaliwa leo Jumanne amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Liu Guozhong...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024ANAITWA Robyn Ronald Fenty wengi wanamfahamu kwa jina lake la kisanii Rihanna alizaliwa tarehe 20 Februari 1988, huko Saint Michael, Barbados. Ni...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024Mtoto mwingine ametolewa Skrubu (Screw) kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa chenye kamera kilichokwenda kuinasa na kisha kuitoa. Mtoto huyo anadaiwa alikua akiichezea...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024BENKI ya NMB imekabidhi madawati yenye thamani ya zaidi ya Sh 25 milioni kwa shule sita mkoani Ruvuma ikiwa ni utekelezaji wa dhamira...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA), Kiula Kingu ametembelea na kukagua miundombinu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024Wajasiriamali wanawake mkoani Morogoro wamewaomba wadau wa ukuzaji wa biashara kutoishia mijini badala yake wafike pia vijijini kutoa elimu na usaidizi wa ukuzaji...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2024KAMA mdhamini rasmi wa Kombe la (AFCON) Afrika nchini Côte d’Ivoire, kampuni ya teknolojia , TECNO iliandaa mechi ya hisani iliyojaa nyota...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024Watalaam wa Magonjwa ya Mfumo wa Mapafu na Upumuaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo Jumatatu wamemtoa mama mwenye umri wa miaka 53,...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024MAANDAMANO yasiyo na kikomo yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa ajili ya kupinga miswada ya marekebisho ya sheria za uchaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024KATIBU Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, ameanza kazi kwa kutuma salamu kwa vyama vya siasa vya upinzani, akiwataka...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024MMOJA wa wakulima katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Machite Mgulambwa ameiomba serikali kupunguza masharti ya upatikanaji wa vibali vya kuuza mazao nje...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024JUICY Fruits Multihold ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa wataalamu ‘Pragmatic Play‘. Mchezo huu wa sloti, utakutana na alama za...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024MKUU wa Majeshi nchini (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, amesema kuna tishio la ongezeko la vijana wa kitanzania kujiunga na vikundi vya kigaidi katika...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameeleza kuridhishwa na kazi inayofanywa na wakandarasi pamoja na Shirika la Umeme Tanzania...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024Diplomasia ya Tanzania imezidi kung’ara kimataifa kufuatia viongozi wakuu kutoka mataifa mbalimbali kufanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha na kudumisha uhusiano na...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu – Papa Francis amemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuitembelea...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024HATIMAYE Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzani (KKKT) Askofu Dk. Alex Malasusa amesimikwa rasmi leo Jumapili na kubainisha msimamo wake kwamba...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024IKIWA leo hii ni siku nyingine kabisa, Jumapili ya maokoto basi mimi nakwambia chimbo lipo moja tuu, nalo ni meridianbet ambapo huku unaweza...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2024MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya vipindi vya mvua kubwa vilivyojitokeza katika baadhi ya maeneo nchini. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024JUMAMOSI ya leo kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet wamewatembelea waathirika wa dawa za kulevya Kigamboni MRC ( Muungano Recovery Community) licha ya kuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limefunga kipande cha njia cha ‘ARROW GLACIER” ambacho hutumika na baadhi ya wageni wanaopanda mlima Kilimanjaro...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Bara, Tundu Lissu ametangaza kushiriki maandamano ya amani yaliyoitishwa hivi karibuni na mwenyekiti...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024MERIDIANBET wanakwambia hivi wikendi imeshafika hivyo usisubiri kuhadithiwa jinsi ambavyo wenzako wananufaika kwa kubashiri nao, ingia na wewe sasa uanze kusuka mkeka...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema juhudi zinazofanywa na Wizara ya Nishati, Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2024THE Money Men Megaways ni sloti iliyotengenezwa na Pragmatic Play. Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una bonasi nyingi, ili upate unatakiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2024Jumla ya wateja 1,071 kutoka benki ya NMB wamepata zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu kufuatia benki hiyo kutenga zaidi ya Sh350 milioni kupitia...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2024Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf ameziagiza mamlaka za afya na maji kushirikiana ili kuainisha idadi ya visima vilivyopo ndani ya wilaya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2024Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amesema kwamba furaha ya tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu ambayo inapaswa kutendwa kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2024SERIKALI imesema inaendelea na utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya umeme itokanayo na nishati jadidifu ya jotoardhi katika maeneo mbalimbali nchini kupitia Kampuni...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) leo Alhamisi limekabidhi msaada wa kiutu kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro yaliyotokea hivi karibuni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024MWIMBAJI maarufu wa kwaya kwenye kanisa moja la kiroho kijiji cha Ikulu kata ya Ipinda wilayani Kyela mkoani Mbeya, Aliko Mwakalibule (38) aliyekuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024BENKI ya NMB imeanzisha kampeni kubwa ya kuhamasisha na kuwawezesha watu wengi kufungua akaunti ili waweze kunufaika na faida za kuwa sehemu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024KAMA kawaida mechi za AFCON zinaendelea hii leo kwenye mechi za raundi ya pili zikiwa zote zinapambanaia kupata ushindi, na wewe kama...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameeleza kuwa Serikali imeamua kuwekeza katika miradi ya nishati ili kuhakikisha upatikanaji umeme...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024WAKATI unawaza kutembelea sehemu mbalimbali duniani kama vile kwenda Vakesheni Dubai, Uturuki na Paris kwenye Jiji la bata, nakupa chaka jingine ambalo...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Kundi lenye kaya 72 za wananchi 515 na mifugo 2,206 limeagwa leo Alhamisi baada ya kujiandikisha na kuamua kuhama kwa hiyari kutoka katika...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024MGOGORO wa kugombania mali za chama kati ya Chama Cha Wananchi (CUF) na ACT-Wazalendo, umeibuka upya baada ya kusababisha vurugu kati ya wafuasi...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Shirika la Reli Tanzania-TRC limesitisha kwa muda huduma ya safari za treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora,...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024MASHINDANO ya Mataifa ya Afrika AFCON yamenoga huko nchini Ivory Coast, leo Tanzania itasimama kushuhudia wajukuu wa Nyerere wakiwa kwenye dimba lenye...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2024Visima 27 vya maji kati ya 34 vilivyopimwa katika wilaya za Kahama na Kishapu mkoani Shinyanga vimebainika kuwa na vimelea vya ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2024MKUU wa mkoa wa Songwe, Dk. Fransisi Michael amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde kumhamisha kituo cha kazi...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Angola zimesaini hati tatu za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) katika sekta...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024MATUMIZI ya Nishati jadidifu yatajwa kuwa chanzo kipya cha ajira kwa vijana nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Licha...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2024