Saturday , 22 June 2024
Home Kitengo Michezo Je, unajua kuwa leo hii ni siku yako ya kupiga mkwanja?
Michezo

Je, unajua kuwa leo hii ni siku yako ya kupiga mkwanja?

Spread the love

IKIWA leo hii ni siku nyingine kabisa, Jumapili ya maokoto basi mimi nakwambia chimbo lipo moja tuu, nalo ni meridianbet ambapo huku unaweza kusuka mkeka wako na kubashiri mechi zako mubashara.

Tukianza na EPL itapigwa michezo miwili leo hii ambapo mchezo wa mapema utakuwa ni kati ya Sheffield United dhidi ya Westham United ya David Moyes. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa Mgeni kw a ODDS ya 2.35 kwa 3.09. Mara ya mwisho kukutana Wagonga nyundo walishinda. Je leo hii nani atashinda. Bashiri sasa mechi hii na meridianbet.

Nao Liverpool watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Bournemouth ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.21 kwa 1.69. Klopp anahitaji ushindi ili aendelee kujiimarisha kileleni. Je mwenyeji atamzuia?. Beti hapa.

Ukiachana na ligi, pia kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo unaweza kucheza na kupata pesa papo kwa hapo. Michezo hiyo ni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Mechi zingine za pesa zipo huku LALIGA ambapo Real Madrid atamualika UD Almeria ambaye mechi iliyopita alitoa sare, na ni kibonde wa ligi hadi sasa. Real kushinda ana ODDS 1.13 kwa 16.66. Je Madrid ya Ancellotti itashinda ngapi?

Saa 2:30 Real Betis Seville atacheza dhidi ya FC Barcelonahuku meridianbet wakimpa Barca nafasi ya kuchukua pointi tatu kwa ODDS 1.81 kwa 3.92. Mara ya mwisho kukutana vijana wa Xavi walishinda. Je leo hii Betis atalipa kisasi? Suka mkeka sasa.

Nao Girona watashuka dimbani leo saa 5:00 usiku kucheza dhidi ya Sevilla ambaye anajitafuta sana msimu huu yani amepoteana ambapo amaepewa 4.41 kushinda mchezo huu na mwenyeji wake amepewa 1.72. Tofauti ya pointi kati yao ni 33. Beti sasa.

BUNDESLIGA ligi yenye magoli itaendelea ambapo bingwa mtetezi Bayern Munich atakuwa Allianz Arena kucheza dhidi ya Werder Bremen. Mara ya mwisho kukutana vijana wa Thomas Tuchel na vijana wake walishinda. Je leo kwa ODDS ya 1.08 ya Munich na 22.54 ya Bremen nani kushinda.

Mechi ya mwisho kwa leo Ujerumani ni kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Augsburg ambaye yupo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Borussia kushinda ana ODDS 1.96 kwa 3.57. Bashiri na meridianbet mechi hii.

Napo kule Italia SERIE A itaendelea hii leo kwa michezo ya kukata na shoka, Frosinane Calcio atakuwa mwenyeji wa Cagliari ambaye mechi ya mwanzo walipokutana alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 2.35 kwa 2.94. Nani kuondoka na ushindi leo?

Huku Empoli yeye atakiwasha dhidi ya Monza na timu zote zimetoka kupoteza mechi zao zilizopita. Hivyo leo kila timu inahitaji kushinda. Mwenyeji amepewa ODDS ya 2.60 kwa 2.65. Suka mkeka wako sasa.

Mwenyeji US Lecce atakipiga dhidi ya Juventus ambao wakishinda leo watakaa kileleni kwenye msimamo wa ligi. Bibi Kizee kushinda amepewa ODDS 1.76 kwa 5.06. Allegri ataongoza ligi leo?. Jisajili na ubeti sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Ukiwa na Meridianbet ni kula pesa tu

Spread the love  Alhamisi ya leo mechi za EURO zinazidi kuendelea huku...

Michezo

Leo pesa utaipatia kwa Ureno na Uturuki ukiwa na Meridianbet

Spread the love  Kama kawaida michuano ya EURO 2024 inazidi kupamba moto...

Michezo

Leo Uingereza, Uholanzi zote kukupa pesa

Spread the love Siku ya leo EURO 2024 kupigwa katika viwanja mbalimbali,...

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa na EURO hapa Meridianbet

Spread the love  Baada ya jana kushuhudia mechi kali ya ufunguzi wa...

error: Content is protected !!