Wednesday , 21 February 2024
Home Kitengo Michezo Kamata ushindi wako leo AFCON, FA, Copa Del Rey & Kasino
Michezo

Kamata ushindi wako leo AFCON, FA, Copa Del Rey & Kasino

Spread the love

 

MASHINDANO ya Mataifa ya Afrika AFCON yamenoga huko nchini Ivory Coast, leo Tanzania itasimama kushuhudia wajukuu wa Nyerere wakiwa kwenye dimba lenye jina la gwiji wa nchi hiyo Laurent Pokou, watakipiga dhidi ya Morocco ambapo Taifa Stars wamepewa odds kubwa ya 14.7.

Historia inaonesha nchi ya Mapharao wenye utajiri wa mafuta, vipaji vya soka, maandiko ya kale hawa jamaa ndiyo vinara wa kubeba makombe mengi ya AFCON mara 7.

Kuwa kinara wa maisha yako mwaka huu mpaka kieleweke kama Misri tu na makombe ya AFCON, ni wewe na ushindi mwingi Meridianbet unapobashiri kwa odds kubwa na kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mataifa mengine yaliyobeba ubingwa wa AFCON ni Cameroon mara 5, Ghana x4, Nigeria x3, huku DR Congo, Algeria, na Ivory Coast wamechukua mara 2. Mataifa yaliyochukua taji hilo mara 1 ni Zambia, Tunisia, Sudan, Ethiopia, Morocco, Afrika Kusini, Congo na mabingwa watetezi Senegal mwaka 2021. Bashiri mechi za AFCON zina machaguo 1000+ kila chaguo lina odds kubwa, unaweza kubashiri kupitia duka la ubashiri au mubashara.

Bingwa mara 2 na Bingwa mara moja wa ni DR Congo vs Zambia ni vita ya vijana wawili wa Ligi Kuu Henoc Inonga vs Clatous Chama, timu zote zina odds kubwa zikisha, mwenyeji DR Congo ana  2.69 kwa 2.84, unaenda na nani kwenye jamvi lako la Meridianbet.

Kwa upande mwingine jamvi lako halitanoga kama usipobeti mechi za FA, kubwa kuliko ni Everton vs Crystal Palace mwenye odds kubwa ya 3.77, Norwich na Nottingham Forest mechi zao zinaweza kukupatia pesa.

Wakati unabashiri mubashara na Meridianbet unaweza kuongeza ushindi wako ukicheza kasino ya mtandaoni na sloti, kuna Aviator, Poker, Roulette nk yote kushinda ni rahisi. CHEZA KASINO HAPA.

Kule Hispania moto unawake hii leo, asikwambie mtu Copa Del Rey inashawishi kubetia kwa sababu muda wowote jamvi lako linatiki, hata timu kubwa au ndogo inaweza kukupatia maokoto ni wewe tu kutuliza akili yako na kuzichambua odds kubwa za Meridianbet zenye machaguo kibao 1000+

Ni katika dimba la Estadio El Sadar Osasuna anamkaribisha Real Sociedad wenye rekodi nzuri ya ushindi kwenye michezo 12, huku akiwa hajapoteza mchezo wowote kwenye mechi 10 za ugenini.

Mara ya mwisho Osasuna kumfunga Sociedad nyumbani ilikuwa ni mwaka 2021, odds kubwa za Meridianbet zitaamua nani anakupa mkwanja leo, Bashiri na cheza Kasino ya Mtandaoni Hapa.

Mechi nyingine tamu ya ushindi ni kati ya Girona aliye kwenye ubora mkubwa sana msimu huu, atakipiga na Rayo Vallecano ambapo Meridianbet wamempa odds kubwa ya 4.80.

NB: Meridianbet ukijisajiri tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Kusanya maokoto na mechi za UEFA leo

Spread the love  LIGI ya mabingwa barani Ulaya inaendelea hii leo kwa...

Michezo

Mkwanja utaendelea kutoka leo kupitia ligi kubwa barani Ulaya

Spread the love LIGI mbalimbali barani ulaya zitaendelea kupigwa leoJumapili ambapo zitakuwezesha wewe...

Michezo

Leo ndiyo siku yako ya wewe kuwa milionea na Meridianbet

Spread the love  JUMAMOSI ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule EPL,...

Michezo

Unaachaje kuwa milionea ukibashiri na Meridianbet?

Spread the love  IJUMAA ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Laliga,...

error: Content is protected !!