Wednesday , 15 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yawafikia MRC, yatoa msaada wa vyakula
Biashara

Meridianbet yawafikia MRC, yatoa msaada wa vyakula

Spread the love

JUMAMOSI ya leo kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet wamewatembelea waathirika wa dawa za kulevya Kigamboni MRC ( Muungano Recovery Community) licha ya kuwa na mvua zinazoendelea jijini Dar es Salaam walihakikisha kuwa wanawafikia watu hao na kutoa msaada wa chakula na vifaa vya usafi.

Msafara huo wa kuwatembelea waathirika wa dawa za kulevya uliongozwa na mhariri mkuu wa Meridianbet Nancy Ingram, Abubakar Kulindwa mpiga picha, na wengine ambao kwa pamoja walifika katika eneo la tukio na kuanza kutoa msaada.

Zoezi hilo lilianza mapema kabisa saa 6 mchana ambapo baadhi ya vifaa vilivyopelekwa ni pamoja na Vyakula kama vile mchele na sukari na vifaa vya kufanyia usafi kama vile sabuni.

Mhariri huyo wa meridianbet kampuni kubwa kabisa ya ubashiriTanzania nzima wakisifika kwa ODDS KUBWA, alisema kuwa msaada huo utaenda kuwasaidia watu hao kwaajili ya matumizi yao ya kila siku kwani chakula ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.

Pia kumbuka kubashiri na meridianbet mechi za leo kuanzia pale EPL, BUNDESLIGA, LALIGA, SERIE A, na nyingine nyingi utusue mpunga wa maana umalize wikendi yako vizuri kabisa. Ingia meridianbet sasa na ubashiri.

Baada ya kupokea msaada huo viongozi wa MRC Kigamboniwalifurahia sana ujio wa Meridianbet kwa kuwafikia na kuwashukuru sana kwani vyakula na vifaa hivyo vitawasaidia kwa namna moja au nyingine kwa siku hizi na kuwaomba watu wengine waige mfano wa meridianbet kwani kujali wengien ni jambo zuri sana.

Lakini pia hawakuishia hapo waliomba meridianbet warudi tena siku nyingine kwani watu hao walioathirika na madawa ya kulevya ni wengi na msaada unahitajika ni mkubwa sana.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza micheoz ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator,Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.

Meridianbet nao baada ya kumaliza tukio hilo la kutoa msaada kwa waathirika wa madawa ya kulevya, waliwaambia kuwa watarudi tena siku nyingine kwaajili ya kuwasaidia watu hao.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaitambulisha rasmi ‘NBC Connect’ Zanzibar

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi huduma yake...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya kidijitali kwa wajasiriamali

Spread the loveBENKI ya NMB imezindua akaunti maalum ya kidijitali iitwayo ‘NMB...

Biashara

EXIM Bank, Msalaba Mwekundu wapanda miti, wachangisha damu

Spread the love  BENKI ya Exim imeshirikiana na Chama cha Msalaba Mwekundu...

Biashara

Maokoto yameongezeka leo kwenye Expanse Tournament kasino

Spread the love  Maokoto yameongezeka kwenye promosheni ya Expanse inayoendelea kutimua vumbi...

error: Content is protected !!