Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Anza wikendi yako kwa kubashiri na Meridianbet mechi zote
Michezo

Anza wikendi yako kwa kubashiri na Meridianbet mechi zote

Spread the love

 

MERIDIANBET wanakwambia hivi wikendi imeshafika hivyo usisubiri kuhadithiwa jinsi ambavyo wenzako wananufaika kwa kubashiri nao, ingia na wewe sasa uanze kusuka mkeka wkao wa uhakika na ubeti mechi za wikendi hii.

Tukiangazia ligi ya SERIE A, AS Roma atakipiga dhidi ya Hellas Verona ambaye yupo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi. Lakini timu hiyo ya Rome wanatarajia kuingia uwanjani baada ya kumtimua kocha wao Jose Mourinho. Verona kushinda mechi hii amepewa ODDS 7.64 kwa 1.44. Beti sasa.

Italia kutahitimishwa na mechi kati ya wenyeji Udinese dhidi ya AC Milan ambao walitoka kutoa kichapo mchezo wao uliopita. Milan chini ya Stephano Pioli kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.94 kwa 3.92. Je nani ni nani hapo kesho?.

Ni rahisi sana kwako kutengeneza pesa ya haraka kama utacheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na uanze kucheza sasa.

Vilevile ligi ya BUNDESLIGA itarindima kwa namna yake timu kuchuana vikali, tukianza na mechi kati ya FC Cologne dhidi ya Borussia Dortmund ambaye alishinda mechi iliyopita. Mara ya mwisho kukutana Borussia aliondoka na ushindi mwembamba. 1.67 ndio ODDS waliyopewa vijana wa Edin Terzic kwa 4.50. Wewe beti yako unaiweka wapi?

Mechi nyingine ya kuvutia ni hapa inayowakutanisha Bochum dhidi ya VFB Stuttgart ambao msimu huu wanafanya vizuri wakiwa nafasi ya 3 hadi sasa huku mwenyeji wake yeye yupo nafasi ya 14. Kushinda mechi hii VFB wamepewa ODDS 1.91 kwa 3.62. Je mwenyeji atalipa kisasi baada ya mechi ya kwanza kubamizwa?. Tengeneza jamvi mapema hapa.

Pia SC Freiburg atamualika TSG Hoffenheim na timu hizo tofauti kati yao ni pointi 1 pekee, kwani wamefuata kwenye msimamo wa ligi hiyo mwenyeji akipewa ODDS 2.01 kwa 3.33. Beti sasa.

Saa 2:30 katika dimbva la Red Bull Arena kutakuwa na mechi ya moto, yani mechi ya viwango haswa ambapo RB Leipzig atamleta nyumbani kwake kinara wa ligi hiyo Bayer Leverkusen. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii RB kwa ODDS 2.40 kwa 2.65. Je vijana wa Alonso watakubali kupoteza mchezo huo kesho?. Na je vipi Leizpig watakuwabli kipigo cha pili kutoka kwa Leverkusen?. Bahiri na meridianbet upige maokoto.

EPL kuendelea hapo kwa michezo miwili hapo kesho ambapo mchezo wa mapema utakuwa Arsenal dhidi ya Crystal Palace majira ya saa 9:30 mchana huku nafasi ya kushinda mchezo huo akipewa The Gunners kwa ODDS 1.25 kwa 10.78. Mara ya mwisho kukutana, Arteta na vijana wake walishinda. Je mgeni kulipa kisasi kesho?. Beti sasa

Huku mechi ya pili hapo kesho ni hapo itakapofika majira ya saa 2:30 kati ya Brentford dhidi ya Nottingham Forest, huku timu hizo zikitofautiana pointi moja pekee. Nyuki kushinda mechi hiyo wamepewa ODDS 1.89 kwa 3.87, pia Ivan Toney anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa kesho baada ya adhabu yake ya kufungiwa miezi 8 kuisha. Nani kuondoka na ushindi?. Jisajili na ubeti hapa.

Vilevile LALIGA nayo inataka kukupatia pesa kwa mechi zake zitakazopigwa wikendi hii Rayo Vallecano dhidi ya UD Las Palmas ni mechi ya kibabe sana ambayo imepewa ODDS 1.88 kwa 4.31. Ikumbukwe kuwa mwenyeji alipoteza mchezo uliopita huku mgeni akishinda. Suka mkeka wako hapa.

Saa 12:15 jioni Nyambizi wa Njano, Villarreal watawakaribisha Mallorca huku timu hizi zikiwa na pointi sawa 19 baada ya kucheza michezo yao 20 hadi sasa. Mwenyeji amepoteza mchezo uliopita, na mgeni alitoa sare, huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.06 kwa 3.52. Ingia meridianbet na ubeti.

Nao Valencia watakuwa wakipepetana na Athletic Bilbao ambaye amekuwa na mwennendo mzuri kwenye ligi kwani anashikilia nafasi ya 3 kwenye msimamo hadi sasa na mwenyeji wake yupo nafasi ya 8. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana walitoka sare. Je nani kushinda kesho?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!