Thursday , 25 April 2024
Home mwandishi
8714 Articles1250 Comments
Habari za Siasa

Biteko aagiza wafanyabiashara, makundi maalumu kupewa kipaumbele ununuzi wa umma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Taasisi zote za ununuzi nchini (Serikali na Binafsi) kuhakikisha zinatoa kipaumbele katika...

Biashara

Huu hapa mchezo bora wa kuzungusha gurudumu la namba, American Roulette

  DK. Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa...

Habari za Siasa

Bei za mafuta zaendelea kushuka

BEI za mafuta zitakazotumika mwezi Februari 2024, zimeshuka ambapo kwa Jiji la Dar es Salaam, imeshuka kwa wastani wa Sh. 33 kwa kila...

Habari za Siasa

Makonda adai kuna watu wanapanga kumuua kwa sumu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amedai kuna watu wanapanga njama za kumuuwa kwa sumu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Samia apangua, ateua wakurugenzi taasisi za umma

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wanne katika taasisi mbalimbali ikiwa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kigogo Bakwata akatwa mkono, mtuhumiwa auawa

KATIBU wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Bukoba Mjini, Hamza Zacharia Abdallah, amenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga yaliyomsababishia kupoteza...

Michezo

Weka mkeka wako na mechi za leo ndani ya Meridianbet

  MERIDIANBET leo hii kutakuwa na mechi mbalimbali ambazo zinaendelea na ambazo tayari zina ODDS KUBWA za kukupatia wewe mkwanja wa maana endapo...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Kinana

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema mazungumzo ya maridhiano kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wacharuka bungeni sakata la umeme

SAKATA la uhaba wa umeme limeteka mjadala wa taarifa ya  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa 2023, baada ya...

Habari za Siasa

Wizara ya fedha yabanwa bungeni miradi ya fedha za UVIKO-19

WIZARA ya Fedha, imebanwa bungeni jijini Dodoma, juu ya hatua ilizochukua kuhusu ubadhirifu uliojitokeza katika miradi iliyotekelezwa na fedha za mkopo nafuu kutoka...

Habari za Siasa

Msuya awataka viongozi CCM kuisimamia serikali

Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilayani Kilombero, wametakiwa kuisimamia serikali ili iendelee kutekeza ilani ya uchaguzi ya chama hicho ipasavyo. Anaripoti Victor Makinda,...

BiasharaElimu

NMB yatoa vifaa saidizi kwa walimu, wanafunzi wenye ulemavu Ilala

BENKI ya NMB, imekabidhi msaada wa vifaa saidizi kwa walimu na wanafunzi wenye ulemavu wa Shule za Msingi Mzambarauni na Uhuru Mchanganyiko na...

Habari za Siasa

AfDB kuendeleza ushirikiano na sekta ya nishati nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya...

Biashara

Sloti ya Super 20 Star, ishi kistaa ukisaka utajiri na Meridianbet

  KILA mtu ni staa wa maisha yake, kila unachokifanya unaweza kujikuta unafaidika nacho na kukufanya kuwa maarufu, ipo mifano mingi ya watu...

Biashara

Exim yaongeza faida kwa 36% mwaka 2023

Benki ya Exim imetangaza ripoti yake ya kifedha ya mwaka 2023, inayoonesha mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo ongezeko la faida kabla ya...

Habari za Siasa

Mbunge ataka vigoli kuzuiwa kuingia disko

MBUNGE wa Gando (CCM), Mussa Omar Salim, ameitaka Serikali kuweka mikakati ya kuzuia wimbi la wasichana wenye umri chini ya miaka 18 kwenda...

Habari za Siasa

Madereva bodaboda wachongewa bungeni

SERIKALI imetakiwa kuweka mikakati ya kudhibiti ajali za barabarani zinazosababishwa na uzembe wa baadhi ya madereva wa pikipiki (bodaboda), ili kunusuru maisha ya...

Habari za Siasa

CCM yamlilia Thadei Ole Mushi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemlilia kada wake, Thadei Ole Mushi, aliyefariki dunia jana tarehe 4 Februari 2024, akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo...

Elimu

St. Mary’s Mbezi Beach High School yafanya maajabu kidato cha nne

  WANAFUNZI waliomaliza  kidato cha nne kwenye shule ya sekondari St Mary’ s Mbezi Beach na kufaulu kwa daraja la kwanza wamepewa zawadi...

Biashara

Ushindi mkubwa na Meridianbet kasino, 9 Enchanted beans sloti 

  ZAMANI kulikuwa na utaratibu na utamaduni wa kusimuliana hadithi, mababu na bibi zetu walikuwa ndiyo vinara wa kutoa stori za kale zenye...

Michezo

Nufaika na maokoto ya Meridianbet leo

LEO ndio siku ya kupiga maokoto ndani ya meridianbet, ingia kwenye App sasa na uanze kutengeneza jamvi lako safi kabisa ujiweke kwenye nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Samia amlilia Rais Namibia

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dk. Hage Gottfried Geingob kilichotokea leo Jumapili...

Habari Mchanganyiko

Polisi wachunguza kifo mkuu wa kituo aliyedaiwa kuuawa na polisi

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limetangaza kuendelea kufanya uchunguzl wa tuklo la mauaji ya Mkuu wa kituo kidogo cha Polisi Chiungutwa Wilaya ya...

Michezo

Utamu wa maokoto upo hapa ndani ya Meridianbet

JUMAMOSI ya maokoto imefika ambapo leo hii ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea ambapo wewe una nafasi ya kujipigia maokoto hayo kwa kubashiri mechi hizo...

Habari za Siasa

Wabunge CCM wafunguka miswada uchaguzi kupitishwa bungeni

BAADHI ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema hatua ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kukubali marekebisho ya sheria za uchaguzi imeonesha...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema kuwasilisha muswada binafsi bungeni kudai katiba mpya

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini (Chadema), Aida Khenani, amesema anakusudia kuwasilisha bungeni muswada binafsi wa kudai ufufuaji mchakato wa upatikanaji katiba mpya. Khenani amenuia...

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Mwinyi alazwa hospitali

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaripoti...

Biashara

Safari na Meridianbet kasino kutimiza ushindi wako

  MERIDIANBET Inakuletea mchezo kasino mtandaoni wa kushangaza ambao utakushangaza kwa jinsi. Unakaribishwa kukutana na Vikings ambao watakupatia bonasi za kasino mtandaoni za kushangaza. Ni...

Habari za Siasa

Mbunge aichongea wizara ya maji kwa Samia, Spika atoa maagizo

MBUNGE wa Momba (CCM), Condester Sichalwe, ameichongea Wizara ya Maji kwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akidai imeshindwa kutekeleza agizo lake la kutatua...

Habari Mchanganyiko

Ulanga wapigwa msasa kuhusu elimu ya sheria

KATIKA kuadhimisha wiki ya sheria nchini, Mahakama ya Wilaya Ulanga imetoa elimu ya sheria kwa wadau mbalimbali kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu masuala...

Habari za SiasaTangulizi

Simai amjibu Rais Mwinyi “Nilisema ukweli”

NI ‘majibizano’! Ndivyo uanavyoweza kutafsiri kile kinachoendelea kati ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi na aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya...

Biashara

Mfahamu shujaa wa Roma ndani ya Meridianbet kasino 

    KAMA umekuwa unapendelea mambo na historia za kale, basi kuna jambo lako pale Meridianbet kasino ya mtandaoni. Mara hii unakaribishwa kwenye...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mwigulu: Ushirikiano mzuri umestawisha sekta ya madini Tz

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema mahusiano mazuri yaliyopo kati ya Serikali na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu, mkewe mbaroni kwa kumficha mtoto (8)

JESHI la polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwalimu Baraka Mwashihuya mkazi wa kitongoji cha Tazara – Mamlaka ya mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi...

AfyaTangulizi

Wanawake walalamikia ukubwa kondomu za kike, waomba zipunguzwe

Wataalamu wa afya wilayani Ileje mkoani Songwe wameagizwa kuanza kutoa elimu ya matumizi sahihi ya kondomu za kike ambazo zimelalamikiwa na  baadhi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yabanwa mgawo wa umeme, yaomba uvumilivu hadi Feb. 16

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewaomba Watanzania waendelee kuvumilia makali ya mgawo umeme hadi tarehe 16 Februari mwaka huu ambapo majaribio ya...

Biashara

Apata msaada wa chakula kutoka Meridianbet, cheza kasino ushinde.

  SAFARI ya kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kuzishika mkono familia zenye halingumu ya kimaisha, ilianzia makao makuu yakampuni...

Habari za Siasa

Makamba anadi fursa za biashara, uwekezaji Italia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amenadi fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana nchini katika mkutano wa...

Biashara

TARURA yaonya matumizi vivuko vilivyozuiliwa

Watumiaji wa barabara mkoani Dar es Salaam wameshauriwa kutotumia barabara au vivuko ambavyo vimewekwa vizuizi katika kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha nchini....

Tangulizi

Serikali kufanya tathmini athari za kimazingira

Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wizara za kisekta imeanza kufanya tathmini nchi nzima kubainisha maeneo yanayohitaji kufanyiwa maboresho...

Biashara

NEEC yawapa mbinu wanawake, vijana kujikwamua kiuchumi

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), BengI Issa, amewataka wanawake na vijana kutumia vizuri na kwa nidhamu fedha...

Michezo

Ushindi unaanzia na kubashiri na Meridianbet

  MERIDIANBET inasema hivi, mechi za EPL leo zinaendelea na wewe bado una nafasi ya kukusanya maokoto yako kama wikendi hukubahatika kujipigia mkwanja...

Habari za Siasa

Samia akabidhi boti 160 za uvuvi, vizimba vya kufugia samaki

Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka wizara ya mifugo na uvuvi kushirikiana na Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri kudhibiti na kutokomeza vitendo vya uvuvi...

Habari za Siasa

Haya hapa majina ya madiwani 5 walioteuliwa na NEC

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua Madiwani Wanawake wa Viti Maalum watano kujaza nafasi wazi katika Halmashauri tano za Tanzania Bara. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati: Isiwe lazima wakurugenzi kusimamia uchaguzi

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imependekeza kwamba sheria ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani isiweke ulazima kwa...

Habari za Siasa

Vigogo 51 kikaangoni kwa kufuja fedha za miradi 274

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika kipindi cha Julai 2022 hadi Desemba...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yaweka historia mpya, faida yapaa hadi bil. 775

BENKI ya NMB imeweka rekodi mpya ya ufanisi kiutendaji kwa kutengeza faida kabla ya kodi ya TZS bilioni 775 na kupata mafanikio mengine...

Biashara

Ingia jangwani kusaka dhahabu kwenye kasino ya Gold Oasis

  GOLD Oasis, mchezo mwingine wa sloti  kutoka Meridianbet kasino ya Mtandaoni unaokupeleka maeneo ya jangwa la Sahara. Kazi yako ni kujiunga na...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge kuanza na miswada 3 ya uchaguzi

Mkutano wa 14 wa Bunge la 12 uliopangwa kufanyika kwa muda wa wiki tatu kuanzia kesho tarehe 30 Januari hadi tarehe 16 Februari...

Biashara

2023: Mwaka wa ubunifu na uendelevu kwa SBL

  KATIKA harakati za kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja, Serikali imedhamiria kupambana na umasikini kwa kujenga Uchumi wa Kiushindani wa Viwanda. Serikali imeweka...

error: Content is protected !!