Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Michezo Madrid Derby kinawaka leo Saudi Arabia
Michezo

Madrid Derby kinawaka leo Saudi Arabia

Spread the love

MIAMBA ya soka kutoka nchini Hispania ambao nimahasimu wakubwa katika soka la Hispania vilabu vya Real Madrid na Atletico Madrid leo watashuka dimbani kumenyana katika mchezo wa Spanish Super Cup.

Mchezo huo utapigwa nchini Saudi Arabia usiku wa leoambapo michuano hiyo itakua inafanyika kwa mwaka wa pilimfululizo baada ya kupigwa nchini humo mwaka jana na klabuya Fc Barcelona kufanikiwa kuibuka mabingwa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashirikwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiawww.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mchezo huo wa Madrid Derby utakua ni mchezo wa pilikukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana kwenyemchezo wa ligi kuu ya Hispania na klabu ya Real Madrid ilipoteza mchezo huo kwa mabao matatu kwa moja.

Mchezo wa leo utafanikiwa kutoa mwanafainali wa Spanish Super Cup kwa mwaka 2024, Kwani leo nusu fainali ya kwanza na nusu fainali ya pili itapigwa kesho kati ya klabu ya Osasunadhidi ya mabingwa watetezi klabu ya Fc Barcelona.

Mchezo huu licha ya kua nusu fainali lakini pia ikumbukwe niwa mahasimu wakubwa kutoka jiji la Madrid na mchezo huumara nyingi hua unakua wenye ushindani mkubwa kwelikwelikutokana na uhasimu uliopo baina ya vilabu hivi viwili.

Real Madrid na Atletico Madrid unaweza kua mchezo wa kisasileo kwani Real Madrid wataingia katika mchezo huu wakifikriakulipiza kisasi baada ya kupoteza katika mchezo wa ligi kuumsimu huu, Ateletico nao hawatakua wanyonge kwani wamekuamoja ya klabu bora msimu huu.

Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet kwatimu zote mbili ambapo wewe mteja wa Meridianbet unawezakuweka mkeka wako na kupiga mkwanja wa kutosha kupitiamchezo huu.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbetambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingiana uweke mkeka wako.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!