Thursday , 7 December 2023
Home Kitengo Biashara Huu siyo utani, ukiwa na jero tu inatosha kukupatia Bajaji mpyaa, Bashiri na Meridianbet
Biashara

Huu siyo utani, ukiwa na jero tu inatosha kukupatia Bajaji mpyaa, Bashiri na Meridianbet

Spread the love

 

HUENDA siku zinazidi kwenda mwaka unaisha lakini kila malengo yako hayatimii, kila njia umefanya lakini bado mambo ni magumu. Leo nataka kunena na wewe mchongo rahisi upo Meridianbet nyumba ya mabingwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Unataka kuijua nguvu ya jero wewe, njoo hapa nikuonesha thamani ya jero yako isiishie tu kununua vocha na mihogo unaweza kuiwekeza na kupata faidia ya chombo mpyaaa kutoka Meridianbet wakali wa odds kubwa, machaguo mengi na kasino mtandaoni yenye michezo mingi ya sloti.

Promosheni hii imeanza tarehe 11 Novemba na itadumu mpaka Desemba 10, ndani ya siku 30 mshindi atakayekuwa na uwiano kubwa ya kucheza tiketi nyingi kuliko wengine atakuwa mshindi wa jumla wa droo hii.

Ukiwa na Meridianbet unajihakikishia mambo matatu muhimu kwenye jamvi lako, odds kubwa, machaguo mengi na ushindi mkubwa wakati huo unatumia dau dogo tu la Tsh 500/=

Masharti na vigezo vya Promosheni hii.

  Promosheni itadumu kuanzia tarehe 11.11.2023 mpaka tarehe 10.12.2023

  Cheza kila siku ndani ya siku 30 bila kukosa

  Cheza mara nyingi uwezavyo kuingia kwenye droo ya kushinda bajaji

  Dau la chini la kubashiri ni TSh 500 au zaidi kwa kila tiketi

  Droo ya mshindi itafanyika tarehe 11 Desemba 2023 na mshindi atatangazwa siku hiyo.

  Kwa kushiriki promosheni hii, kila mchezaji atakubaliana na sheria za promosheni

  Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za promosheni hii wakati wowote pamoja na kusitisha promosheni hii.

NB: Funga mwaka kibingwa na Meridianbet nyumba ya mabingwa wa odds kubwa na machaguo mengi lukuki. Zikiwa zimebaki siku chache mwaka kuisha Meridianbet itatoa TV inch 55 ya Samsung kwa wateja wake watakao bashiri mechi mbalimbali kwa dau la kuanzia Tsh 1,000/= na kuendelea. Bofya Hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

CEO NMB ashiriki mkutano wa Benki ya Dunia

Spread the loveAfisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ameshiriki...

Biashara

Jisajili Meridianbet kasino msimu huu wa Sikukuu upate mgawo wa Mil 2.5

Spread the love  UNAIJUA 200% inakuaje? Meridianbet msimu huu wa Sikukuu za...

BiasharaTangulizi

Bei ya Dizeli, Petroli yashuka

Spread the loveBEI ya mafuta kwa mwezi Disemba, imeshuka kutokana na kupungua...

Biashara

GGML yataja mbinu kuimarisha miradi ya ujenzi, Bashungwa atoa maagizo

Spread the loveKATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha...

error: Content is protected !!