Friday , 26 April 2024

Month: October 2020

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi kuapishwa J’3 ijayo, Dk. Magufuli Novemba 5

RAIS Mteule wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi anatarajiwa kuapishwa Jumatatu ijayo ya tarehe 2 Novemba 2020, katika Viwanja vya Amani visiwani humo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Chadema, ACT-Wazalendo wapinga matokeo ya uchaguzi Tanzania

VYAMA viwili vikuu vya upinzani nchini Tanzania – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kile cha ACT-Wazalendo – vimepinga matokeo ya uchaguzi...

Habari za Siasa

Tundu Lissu azungumzia ushindi wa Dk. Magufuli

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amezungumzia ushindi wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema, ACT waungana, watoa tamko zito la Uchaguzi Mkuu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo vimeomba kuitishwa upya Uchaguzi Mkuu wa Urais, wabunge, wawakilishi na madiwani, kwa maelezo kwamba havikubaliani...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atangazwa mshindi urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais mteule wa Tanzania baada ya kupata...

Habari za Siasa

Aliyeshinda ubunge Chadema asema…

AIDA Joseph Khenani, mbunge mteule wa Nkasi Kaskazini kupitia Chadema amesema, ushindi wake umejaa majonzi kutokana na kile kilichotokea kwa wagombea wenzake wa...

Habari Mchanganyiko

Hukumu bosi Jamii forums Novemba 17

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi namba 458 ya mwaka 2016  inayomkabili Mkurugenzi wa Jamii...

Habari Mchanganyiko

Singida hawategemei alizeti pekee

IMEELEZWA kuwa mabadiliko ya kimaisha na kiuchumi ya wakazi na mkoa wa Singida hayatokani na kilimo cha zao la alizeti pekee bali yapo...

Habari za Siasa

Matokeo ya ubunge yamshtua Padri Kitima

MHADHIRI mstaafu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT), Padri Charles Kitima amesema, Taifa la Tanzania litarudi nyuma kimaendeleo kwa sababu ya kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kijo-Bisimba ataja athari wabunge wengi CCM

USHINDI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  katika ngazi ya ubunge katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya tarehe 28 Oktoba 2020, umetajwa kwenda kuathiri...

Habari za Siasa

Bwege aangushwa ubunge Kilwa Kusini

SELEIMAN Said Bungara maarufu Bwege, amengushwa ubunge wa Kilwa Kusini kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarege 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

CCM yajikusanyia wabunge, wapinzani wapata 2

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania uliofanyika Jumatano iliyopita tarehe 28 Oktoba 2020 yanaonyesha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejikusanyia viti vingi vya udiwani...

Habari za Siasa

Majaliwa awashauri walioshindwa udiwani, ubunge

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewashauri wagombea wasioridhika na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 kufuata taratibu za kisheria....

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi ashinda urais Zanzibar

TUME  ya Uchaguz Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Rais mteule wa visiwa hivyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Gambo amshinda Lema Arusha Mjini

GODBLESS Lema wa Chadema, ametangazwa kushindwa ubunge wa Arusha Mjini kwa kupata kura 46,489. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Lema ameshindwa na Mrisho Gambo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani wapoteza vigogo hawa bungeni  

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kimeendelea kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Urais uliofanyika jana Jumatano tarehe...

Habari za Siasa

Zitto apoteza ubunge Kigoma Mjini

ZITTO Zuberi Kabwe wa ACT-Wazalendo, ametangazwa kushindwa Ubunge Kigoma Mjini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). Msimamizi wa uchaguzi, amemtangaza Kirumbe Ng’enda wa...

Michezo

Morrison apigwa rungu, kuikosa mechi ya Simba na Yanga

KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi (kamati ya Saa 72) imemfungia michezo mitatu mchezaji wa klabu ya Simba, Bernad Morrison na kumpiga...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Hatutambui kinachofanywa na NEC 

TUNDU Antiphas Mughwai Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amesema, hakubaliani na chochote kinachoendelea kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana Jumatano tarehe 28...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Sugu, Heche waangushwa 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anaongoza orodha ya wabunge wa chama hicho kushindwa kutetea ubunge wao katika majimbo...

Habari za Siasa

Zitto: Tumedhibiti kura feki, mapambano bado

ZITTO Kabwe, mgombea ubunge Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo amesema ‘tumedhibiti wizi.’ Anaripoti Yusuph Katimba, Kigoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari Jumatano...

Habari za Siasa

Polisi yazungumzia waliobeba vibegi vituoni

KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amezungumzia baadhi ya watu kuonekana wakiwa na mabegi mgongoni katika...

Habari za Siasa

NEC yazungumzia kura feki zilizokamatwa 

TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), imesema haijapokea taarifa rasmi ya kukamatwa kwa masanduku ya kura yenye kura za kughushi ‘feki’. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kubenea: Tume ifute uchaguzi Kinondoni

MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufuta uchaguzi katika jimbo hilo kwa madai ya...

Habari za SiasaTangulizi

Zuio la mawakala lawaliza wapinzani

WAGOMBEA wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaofanyika leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wamelalamikia dosari zinazojitokeza kwenye uchaguzi huo....

Habari za Siasa

Ma RC, DC wapigwa ‘stop’ vituo kuhesabu, kutangaza matokeo  

WAKUU wa Mikoa (RC) na Wilaya (DC) nchini Tanzania, ni miongoni mwa watendaji wa Serikali ambao hawatakiwi kuingia katika vituo vya kupiga, kuhesabu...

Habari za Siasa

Lissu kupiga kura Ikungi, Magufuli Dodoma

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli akiambatana na Mke wake, Mama Janeth Magufuli wamepiga kura katika Kituo...

Habari za Siasa

Madai kura feki, Polisi wamkamata Mdee na kumwachia

JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni asubuhi ya leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 walimkata Mgombea Ubunge wa Kawe, Halima Mdee wa...

Habari za SiasaTangulizi

Watanzania kuamua, mawakala tatizo  

WATANZANIA milioni 29.8 waliojiandikisha katika daftari la kudumumla wapiga kura wanaendelea na shughuli ya upigaji kura kuwachagua madiwani, wabunge na Rais kwenye Uchaguzi...

Habari za Siasa

Maalim Seif aachiwa kwa dhamana 

JESHI la Polisi Zanzibar, limemwachia kwa dhamana, mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Tumemaliza kazi, mawakala msituangushe

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewaomba wanachama wa chama hicho, kuwalinda mawalaka wao ili kutimiza...

Habari za Siasa

Mwalimu: Tujiandae kisaikolojia kuongozwa na Lissu

MGOMBEA mwenza wa urais kupitia Chadema, Salum Mwalimu amewaomba Watanzania kufanya uamuzi juu ya maisha yao katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho tarehe 28...

Habari za Siasa

Chadema: Tuwasindikize mawakala vituoni 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania,  kimewaomba wanachama wake kuwasindikiza mawakala wa chama hicho katika vituo vya kupigia kura. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Sheikh Ponda: Tumewasikia Lissu na Magufuli, tukaamue  

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema, Watanzania wanapaswa kuamua kati ya Tundu Lissu wa Chadema na...

Habari za Siasa

Kura ya mapema yaendelea Zanzibar, wapinzani wakamatwa

LEO Jumanne tarehe 27 Oktoba 2020 kura za mapema kwa watumishi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na watumishi wanaosimamia uchaguzi huo, zinaendelea...

Habari za Siasa

IGP Sirro: Atakayeshinda atatangazwa, aonya NEC na wanasiasa 

INSPEKTA Jenarali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amewaomba wadau wa uchaguzi nchini humo kutimiza wajibu wao kikamilifu ili Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif akamatwa Z’bar 

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad inadaiwa amekamatwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha kupigia kura cha Garagara...

Habari Mchanganyiko

TCRA yafunda waandishi, Polisi yawaonya

KUELEKEA uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imendesha semina kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kijazi: Viongozi tengenezeni mazingira ya wananchi kuibua vivutio vya Utalii

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Allan Kijazi ameutaka uongozi wa mkoa wa Lindi, wilaya Kilwa na vijiji vyake,...

Habari Mchanganyiko

Elisha wa TBC aagwa Dar, kuzikwa kesho  

MWILI wa Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elisha Elia (39), umeangwa jijini Dar es Salaam kisha kusafirishwa kwenda Tukuyu...

Michezo

Simba yapigwa tena, Azam hoi  

MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba wamekubali kipigo cha pili mfululizo kutoka kwa Ruvu Shooting cha 1-0. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Nitapiga kura kesho

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, atapiga kura siku ya kwanza kesho Jumanne tarehe 27 Oktoba badala ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ajitabilia ushindi asilimia 52

MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anatarajia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2. Anaripoti...

Habari za Siasa

Magufuli awahoji wanaotaka akae madarakani miaka mitano

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amewahoji wananchi wanaotaka akae madarakani muhula mmoja tofauti na walivyokaa marais waliopita....

Habari za Siasa

Kubenea aiandikia barua NEC, IGP Sirro

MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akiiomba imwondoe Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni,...

Habari za Siasa

NEC: Kura ya Rais itapigwa ulipojiandikisha

TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), amewataka wananchi kubaki maeneo waliyojiandikisha kupiga kura, ili wapate nafasi ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...

Habari za Siasa

Kubenea: CCM inafanya mzaha msiichague

SAED Kubenea, Mgombea Ubunge wa Kinondoni amesema, Serikali ya Chama Cha Mapimduzi (CCM), imefanya mzaha kwenye maisha ya watu kwa kuacha kujenga miondombinu...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi TBC afariki dunia

MWANDISHI wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Elisha Elia amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ashinda rufaa, kurejea kwa kushindo

KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetengua uamuzi wa kamati ya maadili Jimbo la Kinondoni...

Habari za SiasaTangulizi

LISSU: Tutashinda kwa asilimia 65 hadi 75

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amesema, wamefanya utafiti wa kuangalia mwitikio wa wananchi kwenye mikutano yao, upigaji kura na kubaini...

error: Content is protected !!