Kimataifa
RIPOTI mpya iliyotolewa na shirika la kijasusi la Marekani (CIA), imemtaja mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia Arabia, Mohammed Bin Salman,...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2021SERIKALI ya Marekani nchini Tanzania, imeonya wasafiri wanaotaka kutembelea taifa hilo kutofanya hivyo, kufuatia kuwapo kwa maambukizi makubwa ya virusi vya Corona....
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2021MWILI wa Luca Attanasio, aliyekuwa Balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umerejeshwa Roma nchini humo kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021MCHEZAJI namba moja wa gofu duniani, Tige Wood amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari Los Angeles, Marekani. Inaripoti Aljazeera …...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021LUCA Attanasio, Balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ameuawa katika shambulio lililolenga magari ya Umoja wa Mataifa (UN)....
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021MAELFU ya wananchi wa Myanmar wamejitokeza katika miji mbalimbali nchini humo, wakipinga utawala wa kijeshi. Inaripoti Aljazeera…(endelea). Taarifa kutoka Myanmar zinaeleza, kwamba biashara...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2021ALIYEKUWA Rais Afrika Kusini, Jacob Zuma (79), anakabiliwa na “kosa la kuidharau mahakama.” Jaji mmoja nchini Afrika Kusini amesema, anataka aliyekuwa rais huyo...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021ALIYEKUWA rais wa Marekani, Donald Trump, ameponea chupuchupu kitiwa hatiani, kutokana na madai ya kuchochea vurugu katika jengo la Bunge, tarehe 6...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021NYARAKA za ushahidi zimeongeza mahakama katika harakati za kuhakikisha, matokeo ya uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi Rais Yoweri Museveni wa Uganda, yanafutwa. Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2021IKIWA imebaki wiki moja kwa Cyril Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini kuhitimisha mwaka mmoja wa Uenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), amesema kipindi...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2021KIONGOZI wa kiroho wa Kanisa Katoliki la All Saints Cathedral, Nairobi nchini Kenya, Sammy Wainaina amemshangaa Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2021JOYCE Singano, mwanasayansi na mtafiti, amekuwa Mwafrika wa kwanza kutwaa tuzo maarufu inayotolewa kwa wataalamu wa maiamba duniani ‘Brady Meda.’ Inaripoti mitandao...
By Masalu ErastoJanuary 25, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Daniel Ngoyi Mulunda, sasa yuko gerezani anakotumikia kifungo chake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021WAZIRI wa Usafirishaji wa Zimbabwe, Joel Biggie Matiza, amefariki dunia jana Ijumaa tarehe 22 Januari 2021, katika Hospitali ya St. Anne Harare...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2021KUIBUKA upya kwa ugonjwa wa Corona ulimwenguni, kunaweza kusababisha mataifa kadhaa ya Ulaya, kufunga mipaka yake, ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo. Anaripoti...
By Saed KubeneaJanuary 21, 2021HATA kabla ya saa 24 kupita tangu kuapishwa kwake kuwa Rais wa 46 wa Marekani, Joe Biden tayari amebatilisha baadhi ya sera za...
By Masalu ErastoJanuary 21, 2021DONALD Trump, ametoa hotuba yake ya mwisho akiwa Rais wa Marekani akisema, “Tumefanya kile ambacho tulikuja kukifanya na tumefanya mambo mengine mengi.” Inaripoti...
By Masalu ErastoJanuary 20, 2021KIONGOZI wa Chama cha upinzani nchini Uganda cha National Unity Party (NUP), Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amesema, atakwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2021ROBERT Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amepinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda mpaka sasa akidai hila zimefanyika. Inaripoti mitandao ya kimataifa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021RAIS wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, anaongoza katika matokeo ya awali ya kura zilizohesabiwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Mpaka kufika saa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021VITUKO vya Uchaguzi Mkuu nchini Uganda vinaanza kudhihiri, tayari sanduku moja la kura linaripotiwa kuibwa na kutokomea kusikojulikana. Inaripoti mitandao ya kimataifa …...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021BONIFACE Amani Gichina, Mchungaji wa Kanisa la Living Faith Church maarufu Winners’ Chapel International, nchini Kenya amefungwa jela miaka 140 kwa kuwapa mimba...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021MTANDAO wa kijamii wa Facebook umefungia akaundi zinazoshabikia Chama Tawala cha Uganda, NRM kinachoongozwa na rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni. Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021NDEGE ya Kampuni ya Sriwijaya Air, aina ya Boeing 737 imepoteza mawasiliano na haijulikani ilipo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa zinaeleza, ndege hiyo...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2021AKANUTI ya Twitter ya Rais wa Marekani, Donald Trump imefungiwa kabisa, kutokana na hatari ya kuitumia kuchochea vurugu nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Masalu ErastoJanuary 9, 2021DONALD Trump, Rais wa Marekani ‘amezingirwa’ na sasa amesema, “nitakabidhi madaraka kwa amani.’ Inaripoti mitandaoya kimataifa…(endelea). Kwa mara ya kwanza tangu kufanyika Uchaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2021RAPHEI Warnock, ndio seneta wa kwanza mweusi katika jimbo la Georgia, nchini Marekani. Anatokea chama cha Democrat cha rais mteule, Joe Biden. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021Bunge limeBUNGE la Marekani, limemuidhinisha rasmi, Joe Biden, kuwa rais mpya wa taifa hilo kubwa kiuchumi ulimwenguni na Kamala Hariss, kuwa makamu wake...
By Kelvin MwaipunguJanuary 7, 2021MITANDAO ya Twitter na Facebook, imezifunga kwa muda akaunti za rais wa Marekani, Donald Trump, kufuatia kutuma ujumbe kwa wafuasi wake waliovamia Bunge....
By Kelvin MwaipunguJanuary 7, 2021WAFUASI wa Donald Trump, Rais wa Marekani wamevamia bunge la nchi hiyo, jijini Washington wakitaka rais huyo kubaki madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021MAKANISA na Mashirika ya Kikristo nchini Marekani, yamemuandika barua ya pamoja rais mteule wa taifa hilo, Joe Biden kuhusu athari za uvamizi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2021RAIS anayeondoka mamlakani nchini Marekani, baada ya kushindwa uchaguzi mwezi uliyopita, Donald Trump, amedukuliwa kuwa alipanga njama za wizi wa kura. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021BAADA ya miezi tisa ya kufungwa kwa shule nchini Kenya, leo Jumatatu tarehe 4 Januari 2021, shule hizo zimefunguliwa na kuanza masomo. Inaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021BAADHI ya vijana wa kiume 344 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria wameanza kuokolewa na vikosi vya usalama nchini humo. Inaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020RAIS wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya (71) amefariki dunia akiwa jijini Paris nchini Ufaransa kwa ugonjwa wa COVID-19. Inaripoti mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020WAZIRI Mkuu wa Uswatini, Ambrose Dlamini, amefariki dunia jana Jumapili tarehe 13 Desemba 2020, hospitalini nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2020BUNGE katika Jamhuri ya Demokrasia ya Watu wa Kongo (DRC), limemuondoa madarakani, aliyekuwa Spika wake, Jeanine Mabunda, kufuatia kupigiwa kura ya kutokuwa na...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2020TUME ya Umoja wa Mataifa (UN) ya Dawa za Kulevya, imepiga kura ya kuidhinisha kuiondoa bangi katika orodha ya dawa za kulevya. Inaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2020MWANASHERIA Mkuu wa Marekani, William Barr amesema, wizara ya sheria imechunguza madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa 3 Novemba mwaka huu na kushindwa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2020GARI la Robert Kyagulanyi ‘Bob Wine,’ mgombea urais nchini Uganda kupitia chama cha upinzani cha FDC, limeshambuliwa kwa risasi. Vinaripoti vyombo vya habari vya...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2020RASHID Charles Mberesero, Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha kutokana na kuhusika katika shambulio la kigaidi la Garisa, Kenya mwaka 2015, amejinyonga na kufariki...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2020WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020NCHINI Nigeria, zaidi ya miili 20 imepatikana baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la nchi hiyo kuwamiminia risasi waandamanaji wanaopinga ukatili wa polisi...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020PIERRE Buyoya, Rais Mstaafu wa Burundi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada kubaini kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa taifa hilo, Melchior...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020RAIS wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania Trump, sasa wapo karantini baada ya kukumbwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Kabla...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020ZALMAY Khalilzad, mjumbe wa Marekani katika kutafuta amani nchini Afghanstan, bado anatetea uamuzi wa kuwachia huru maelfu ya wafungwa wa Talban, ingawa bado...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2020WAGONJWA milioni 20.1 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mtandao wa worldometer umeripoti leo Alhamisi...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2020NEYMAR de Santos, mshambuliaji wa timu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa na wachezaji watatu wa timu hiyo, amekutwa na virusi vya...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2020DUNIA imelaani hatua ya mwanajeshi wa Jeshi la Israel, kumkandamiza kwa kifuti cha mguu kwenye shingo ya muandamanaji wa Palestina. Inaripoti Shirika la Utangazaji...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2020PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United, ameachwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa, baada ya kubainika kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19)....
By Mwandishi WetuAugust 27, 2020