Kimataifa
NCHI ya Bangladesh imetangaza kupeleka msaada wa chakua na dawa haraka baada ya Mji wa Beirut, Lebanon kukumbwa na janga la mlipuko. Inaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2020SERIKALI ya Kenya, imetangaza wagonjwa wapya 727 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 6,371 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2020WAGONJWA milioni 10.7 wamepona ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa worldometer, unaonyesha hadi...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2020WAKATI hali ya sintofahamu kati ya China na India ikishika hatamu, India imenunua ndege tano mpya za kivita aina ya Rafale zilizo na uwezo wa...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2020BUNGE la Uturuki limepitisha sheria tata, ambayo inaipa serikali ya nchi hiyo mamlaka ya kuingilia maudhui kwenye mitandao ya kijamii na hata kulazimisha...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2020SAA 24 zilizopita, watu 572 wameripotiwa kufariki dunia nchini Afrika Kusini kwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti...
By Mwandishi MaalumJuly 23, 2020MASISTA 12 katika Mji wa Michigan, Marekani wamepoteza maisha ndani ya siku 30 (Mei 2020), kwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2020KANYE West, mwamauziki wa mtindo wa kufoka foka, ameanza safari ya kutaka kuwa rais wa Marekani kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2020CHRISTOPHER Wray, Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Mareani (FBI) amesema, vitendo vya Serikali ya China ni tishio kwa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea)....
By Masalu ErastoJuly 8, 2020SERIKALI ya Kenya imesema, shule za msingi na sekondori nchini humo zitafunguliwa Januari 2020. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hayo yamesemwa na...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020JESHI la Polisi nchini Ethiopia, limethibitisha mauaji ya watu 166, raia wa taifa hilo kwenye maandamano ya kulaani mauaji ya mwanamuziki Haacaaluu Hundeessa. Inaripoti...
By Kelvin MwaipunguJuly 6, 2020MAOFISA wawili wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN), waliokuwa wanaotajwa kufanya ngono kwenye gari la shirika hilo nchini Israel, wamepelekwa likizo ya...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo kwa simu na Rais wa Msumbuji, Filipe Nyusi kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uhusiano na ushirikiano...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020WAGONJWA wapya 307 wa virusi vya corona (COVID-19), wameripotiwa nchini Kenya baada ya sampuli 3,591 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020MAELFU ya raia wa Sudani, wamerudi mtaani kufanya maandamano upya wakisema, walichokitaka kwenye maandamano ya awali, hakijafanikiwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Licha...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020RAIS mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera ameanza uteuzi wa watu watakaomsaidia kuendesha serikali yake wakiwemo maswahiba zake. Inaripoti itandao ya kimataifa … (endelea). Rais...
By Mwandishi WetuJune 30, 2020“NGUVU ya wazungu” ndio maneno ya mfuasi mmoja wa Donald Trump, Rais wa Marekani yaliyomo kwenye video ambayo (Trump) ametuma kwenye ukurasa wake...
By Mwandishi WetuJune 29, 2020CHAMA tawala cha Democratic Progressive Party (DPP), kinachoongozwa na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Peter Mutharika, kimelalamika kupokwa ushindi wake na chama cha upinzani cha Malawi...
By Mwandishi WetuJune 29, 2020LAZARUS Chakwera, Kiongozi wa upinzani nchini Malawi, ameibuka mshindi wa Urais katika uchaguzi wa marudio nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa msaada wa...
By Mwandishi WetuJune 28, 2020SERIKALI ya Kenya imeripoti wagonjwa wapya 149 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 3,090 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 26, 2020SAFARI ya mwisho hapa duniani ya aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza inahitimishwa leo Ijumaa tarehe 26 Juni 2020. Anaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuJune 26, 2020KUNA kila dalili kwamba, mgombea wa upinzani nchini Malawi, anaweza kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika juzi tarehe 23 Juni 2020. Unaripoti...
By Mwandishi WetuJune 25, 2020UGONJWA wa virusi vya corona (COVID-19) umeendelea kushika kasi nchini Kenya baada ya wagonjwa wapya 254 kuripotiwa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea)....
By Mwandishi WetuJune 24, 2020SWALI kubwa linalogubika Malawi na sehemu ya Afrika, ni kwamba Rais Peter Mutharika atashinda kwenye uchaguzi unaofanyika leo Jumanne tarehe 23 Juni 2020...
By Mwandishi WetuJune 23, 2020KAULI ya Donald Trump, Rais wa Marekani kuita virusi vya corona (COVID-19), ‘kung flu’ imetetewa na msemaji wa Ikulu nchini humo. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJune 23, 2020MAAMBUKIZO ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 9.19 huku waliopona wakiwa milioni 4.94. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuJune 23, 2020MTANDAO wa kijamii wa Facebook, umeng’oa matangazo ya kampeni ya Donald Trump, Rais wa Marekani kwamba yanachochea ubaguzi. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa ya...
By Mwandishi WetuJune 19, 2020JENERALI Evariste Ndayishimiye, rais mteule wa Burundi, anaapishwa leo kuongoza taifa hilo kwa miaka saba, anachukua nafasi ya Pierre Nkurunziza ambaye alifariki dunia...
By Mwandishi WetuJune 18, 2020TUME ya Uchaguzi ya Uganda imepiga marufuku mikusanyiko ya kampeni za jukwaani na kuagiza, kampeni za uchaguzi mkuu zifanyike kupitia vyombo vya habari. Inaripoti...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020UGONJWA unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) umeendelea kutikisa nchini Kenya, baada ya watumishi wanne wa Ikulu kubainika kuwa na ugonjwa huo. Inaripoti...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020ROBERT Fuller (24), mmarekani mweusi amekutwa ananing’inia kwenye mti baada ya kunyongwa katika mji wa Palmdale, Califonia nchini Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Familia...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020POLISI watatu nchini Kenya, wamekamatwa kwa tuhuma za kumfunga kamba Mercy Cherono (21) kwenye pikipiki, kisha kumburuza kwa tuhuma za kuhusika katika uporaji....
By Mwandishi WetuJune 12, 2020MAHMOUD Mousavi-Majd, Raia wa Iran aliyesaidia Intelejensia ya Marekani (CIA) kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa Iran, Qassem Soleimani amehukumiwa kunyongwa hadi...
By Mwandishi WetuJune 10, 2020WATU 59 wameuawa katika shambulio lililofanywa na waasi kwenye Kijiji cha Borno, kilichopo Kaskazini mwa Nigeria jana jioni tarehe 9 Juni 2020. Chombo cha habari...
By Mwandishi WetuJune 10, 2020RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo, Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Taarifa zilizothibitishwa na Msemaji wa Serikali, Balozi Willy...
By Mwandishi WetuJune 9, 2020MAELFU ya Wamarekani, wamejitokeza katika Kanisa la Houston kuuaga mwili wa George Floyd, mmarekani mweusi aliyeuawa na polisi wa Minnesota na kusababisha kuibuka...
By Mwandishi WetuJune 9, 2020HALI ya kutoaminiana kati ya mataifa mawili yenye historia moja na watu wanaofanana – Korea Kaskazini na Kusini – inazidi kuongeza wasiwasi, sasa...
By Mwandishi WetuJune 9, 2020UGONJWA unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) nchini Kenya, umeendelea kushika kasi, baada ya wagonjwa wapya 167 kupimwa na kukutwa na corona. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 8, 2020RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza kufunguliwa kwa shule na vyuo nchini humo Septemba 1 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Kenyatta...
By Mwandishi WetuJune 6, 2020SERIKALI ya Kenya imesema, wagonjwa wa corona (COVID-19) nchini huyo wamefikia 2,474. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jana...
By Mwandishi WetuJune 6, 2020KUANZIA kesho Jumamosi tarehe 6 Juni 2020, miji mbalimbali ya Australia inatarajia kushuhudia maelfu ya raia wake kushiriki maandamano kupinga ubaguzi wa rangi....
By Mwandishi WetuJune 5, 2020SERIKALI ya Kenya imetangaza wagonjwa wapya 124 wa virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Akizungumza na waandishi wa habari leo...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020WAGONJWA wa virusi vya corona (COVID-19) waliopona duniani wafikia 3,183,578 huku vifo vikiwa 388,353. Unaripoti mtandao wa Worlometer … (endelea). Hadi kufikia leo...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020UCHUNGUZI wa awali wa afya ya George Floyd umeonesha kwamba, alikuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha homa kali ya mapafu corona (COVID-19). Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020KAMA mji au jimbo litashindwa kuchukua hatua muhimu za kurejesha hali ya amani, basi nitatumia jeshi la Marekani kufanya kazi hiyo. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020FLOYD Mayweather, bondia anayeongoza kwa kulipwa fedha nyingi dunia, amesema atalipa gharama zote zitazohitajika katika msiba wa George Floyd. Inaripoti mtanzano wa BBC…(endelea). Floyd,...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020MAMBO yanazidi kwenda mrama Marekani, mauaji yanaanza kushuhudiwa kwenye maandamano ya kulaani kuuawa kwa Mmarekani mweuzi, George Floyd akiwa mikononi mwa polisi. Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020DENISE, mke wa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza amebainikuwa kuwa na ugonjwa unaosababishaa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …...
By Mwandishi WetuMay 29, 2020MIJI saba nchini Marekani inatawaliwa na vurugu na maandamano, ni kutokana na polisi wa Minnesota kufanya mauaji kwa George Floyd, Mmarekani mweuzi. Inaripoti...
By Mwandishi WetuMay 29, 2020ROMANA Ashrafi (14), raia wa Iran, ameuawa kwa kushambuliwa kwa mundu na baba yake mzazi Reza Ashraf, kwasababu ‘alijiozesha.’ Nchini humo mauaji hayo...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020