MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
MGENI Hasaan Juma, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 27, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru), imekamilisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia...
By Regina MkondeJune 27, 2020CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimejifungia jijini Dodoma, tayari kunoa makada wake muhimu watakaoshriki uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani wa Oktoba mwaka...
By Mwandishi WetuJune 27, 2020CHIEF Lutalosa Yemba, amejitosa katika mbio za urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Wananchi (CUF) huku wanachama watano wa chama hicho, wakijitokeza upande...
By Regina MkondeJune 27, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, ada za shule nchini humo zilipwe kulingana na makubaliano yaliyofikiwa mwanzoni mwa mwaka wa masomo 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 26, 2020TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), harejei nchini kwa kuwa, bado ana mashaka na maisha yake. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJune 25, 2020MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umepewa siku saba na Serikali kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kisheria, kutokana na...
By Regina MkondeJune 25, 2020MWANADIPLOMASIA mashuhuri nchini Tanzania, Bernard Kamillius Membe, amekosoa utaratibu unaotumika na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kumtafuta mgombea wake wa urais. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaJune 24, 2020MBIO za kuwania Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 zinazidi kushika kasi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya...
By Mwandishi WetuJune 24, 2020TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, anawindwa na Jeshi la Polisi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Simon...
By Mwandishi WetuJune 24, 2020UONGOZI wa klabu ya Yanga umempiga faini ya Sh. 1.5 Milioni nyota wake raia wa Ghana, Benard Morrison kwa kufanya mahojiano na mwandishi...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2020JESHI la Polisi Mkoa wa Lindi limemsafirisha usiku kwa usiku Zitto Kabwe, kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na wenzake kutoka Kilwa Masoko kwenda...
By Faki SosiJune 24, 2020BERNARD Membe, aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, atagombea urais. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeJune 23, 2020JAJI Mstaafu Joseph Warioba, amsema ni utamaduni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu rais aliyepo madarakani kutetea kiti chake iwapo hajakiangusha chama. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJune 23, 2020ESHI la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi, limemkamata Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama siasa cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Faki Sosi, Kilwa…(endelea) Zitto...
By Faki SosiJune 23, 2020RAIS John Magufuli amesema, amemfukuza kazi Mrisho Gambo, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wenzake wawili, kutokana na kutotekeleza maagizo yake. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJune 22, 2020WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema, anatamani kujipima ubavu na Rais John Pombe Magufuli katika kinyang’anyiro cha...
By Mwandishi WetuJune 21, 2020VITA baina ya Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha ACT-Wazalendo imeanza upya. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Vita hiyo...
By Masalu ErastoJune 20, 2020PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Maji amekuwa mwanachama wa kumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyejitosa kuchukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar kupitia...
By Mwandishi WetuJune 19, 2020WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wataendelea kutumikia na kutambulika katika nafasi zao za ubunge hadi tangazo rasmi la kuvunjwa kwa...
By Mwandishi WetuJune 18, 2020RAMADHANI Kwangaya, aliyekuwa Kaimu Meya wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam amejiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJune 17, 2020WANACHAMA 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu...
By Faki SosiJune 17, 2020RAIS John Magufuli amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Uchaguzi...
By Mwandishi WetuJune 17, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameagiza shule zote nchini humo zifunguliwe tarehe 29 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea), Rais...
By Mwandishi WetuJune 16, 2020BUNGE la Tanzania, limepitisha mabadiliko makubwa ya kanuni zake ambazo zitaanza kutumika katika Bunge la 12 ikiwemo kubadili jina la Kambi Rasmi ya...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020FAMILI ya Sheikh Abeid Aman Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, inataka kurejea Ikulu ya Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeJune 15, 2020LAZARO Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akibainisha vipaumbele 26...
By Hamisi MgutaJune 14, 2020KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono,...
By Faki SosiJune 14, 2020SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema atagombea tena jimbo hilo kupitia chama hicho, katika Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuJune 13, 2020JESHI la Polisi Tanzania, limetoa taarifa za uchunguzi wa awali wa tukio linalodaiwa kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
By Mwandishi WetuJune 12, 2020WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amewasilisha Bungeni Bajeti ya Serikali ya Tanzania ya mwaka 2020/21 ya Sh. 34.87 Trilioni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI imesema, mwaka jana (2019) pato la taifa kwa mtu mmoja mmoja lilikuwa Sh. 2,577,967 kutoka Sh. 2,452,406 mwaka 2018, sawa na ongezeko...
By Danson KaijageJune 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuja na bajeti itakayoziba mapengo yaliyoachwa na athari za mlipuko wa virusi vya corona (COVID-19), hususan katika uchumi wa...
By Mwandishi WetuJune 10, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo kimebainisha vikwazo kumi vitakavyosababisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 kutokuwa huru, haki na unaoweza kuacha majeraha kwa Watanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 10, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhusu tuhuma...
By Regina MkondeJune 10, 2020MBUNGE wa Momba (Chadema), David Silinde ametangaza kujiondoa ndani ya chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 9, 2020MWENYEKITI wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameshambuliwa na watu wasiojulikana, usiku wa manane wa kuamkia leo Jumanne,...
By Mwandishi WetuJune 9, 2020TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewasilisha taarifa ya kusudio lake la kutaka kugombea Urais wa Tanzania, kupitia...
By Mwandishi WetuJune 8, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu...
By Mwandishi MaalumJune 8, 2020WAZIRI wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa wa zamani wa Tanzania, Bernard Membe amesema, hana sababu ya kumuomba radhi Rais John...
By Mwandishi WetuJune 7, 2020NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya...
By Hamisi MgutaJune 7, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimetoa msimamo kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani vyenye dhamira ya kukiondoa madarakani Chama...
By Faki SosiJune 6, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini tayari amefungua pazia la kugombea urais ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 5, 2020DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania, amesema atafungua shule za msingi na sekondari hivi karibuni, kama ataridhishwa na kasi ya upunguaji wa maambukizi...
By Mwandishi WetuJune 5, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ‘wamealikwa’ kwenye meza ya mazungumzo...
By Danson KaijageJune 4, 2020TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maaendeleo (Chadema)-Bara, amesema atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020CHAMA cha Demokrasia ya Maendeleo (Chadema) kimefungua milango kwa watia nia wa urais wa chama hicho kuanzia leo Jumatano tarehe 3, Juni hadi...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimetoa utaratibu mpya utakaotumika kuwapata wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguJune 2, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mtwara, imewakamata wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 18 akiwamo Ofisa wa Mamlaka...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020VYAMA viwili vya upinzani nchini Tanzania – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na chama cha ACT-Wazalendo – viko mbioni kushirikiana ili kukabiliana...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020