MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
HOFU ya kusambaa kwa virusi vya corona (COVID-19), ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa inazungumzwa waziwazi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaApril 30, 2020ALOYCE Bent Kimaro, aliyekuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), amefariki dunia leo tarehe 30 machi 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Kimaro alizaliwa tarehe 24 Juni 1953....
By Hamisi MgutaApril 30, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya corona 196, ambapo kati yao kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla...
By Hamisi MgutaApril 29, 2020RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 29, 2020KASISI wa Kanisa la Anglikana Visiwani Zanzibar, Jaji Augostino Ramadhani (74), ameaga dunia. Amekutwa na mauti jana Jumanne, katika hospitali ya Aga Khan,...
By Saed KubeneaApril 28, 2020SERIKALI imepokea msaada wa Sh. 14.9 bilioni kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa...
By Hamisi MgutaApril 27, 2020WAGONJWA 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya...
By Hamisi MgutaApril 24, 2020NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Akson, amelitangazia Bunge kuwa mmoja wa wabunge wa Bunge hilo, amepatwa na virusi vya Corona....
By Mwandishi WetuApril 20, 2020MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God), amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 20 Aprili 2020. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 20, 2020SERIKALI imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 53, wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeApril 17, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ametoa waraka kwa wabunge wenye muongozo juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya Ugonjwa wa Homa ya...
By Danson KaijageApril 17, 2020ROSTAM Aziz, mfanyabiashara mkubwa na mbunge wa zamani wa Igunga, Tabora ametoa mashine kubwa 25 za vitakasa mwili wote ili kukabili virusi vya...
By Hamisi MgutaApril 16, 2020WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020WATU 18 wamepoteza maisha huku 15 wakijeruhiwa, katika ajali iliyohusisha lori la gari la abiria, iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 15 Aprili 2020,...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020MWANDISHI wa habari wa Sauti ya Ujerumani (DW), anayefanyia shughuli zake Visiwani Zanzibar, Salma Said, amethibitika kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule na vyuo vya kati na vya elimu ya juu, liliotolewa tarehe 17 na...
By Mwandishi WetuApril 14, 2020CHANGANYA lita moja ya Jik na lita sita za maji, kisha pulizia gari lao, hapo litakuwa salama dhidi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 14, 2020SERIKALI imesema, Mgodi wa Geita Gold Mine (GGM), ni moja ya waajiri walioandikishwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Anaripoti...
By Danson KaijageApril 14, 2020SERIKALI imetangaza ongezeko la “kesi mpya kumi na nne” (14) za maambukizi ya ugonjwa wa Corona (Covid 19) nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuApril 13, 2020TAKRIBANI wabunge tisa kutoka vyama viwili vikubwa vya upinzani bungeni – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako...
By Mwandishi WetuApril 11, 2020SERIKALI imetangaza vifo viwili vya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Kwa mujibu wa...
By Hamisi MgutaApril 10, 2020WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakini katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe...
By Mwandishi WetuApril 9, 2020CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimekana madai kuwa kimetumia kiasi Sh. 1.19 bilioni, zilizotolewa na serikali, bila kuwa na uthibitisho wa nyaraka. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 9, 2020TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amemshangaa Spika Job Ndugai, kwa madai ya kufanya kazi kama ‘mkusanya mapato ya benki.’Anaripoti Mwandishi wetu…...
By Mwandishi WetuApril 7, 2020KAULI ya Boniface Jacob, Diwani wa Kata ya Ubungo (Chadema) na Meya wa Manispaa ya Ubungo, kwamba hatogombea tena udiwani katika Uchaguzi Mkuu...
By Faki SosiApril 6, 2020WAKATI baadhi ya misikiti ikitumia dakika 20 pekee katika Ibada ya Ijumaa, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) sasa litaumia dakika 45...
By Faki SosiApril 5, 2020JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amekataa kufanya kazi na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageApril 3, 2020MPAKA sasa, watu watatu wawaliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa corona, wamepona. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa iliyotolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa...
By Hamisi MgutaApril 3, 2020SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) amesema, siku akitaka kuhama chama hicho, atasaema na si watu kupiga ramli. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam...
By Kelvin MwaipunguApril 2, 2020SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameishauri serikali kutengeneza mikakati ya dharura ya kukabili mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosabishwa...
By Regina MkondeApril 2, 2020SERIKALI ya Tanzania imeripoti kifo cha kwanza cha Mgonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta…(endelea)....
By Hamisi MgutaMarch 31, 2020IDADI ya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), nchini Tanzania wamefika 19. Inaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa hiyo...
By Regina MkondeMarch 30, 2020MBUNGE wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu, ametangaza “kukihama” chama chake cha sasa; na kuelekea NCCR- Mageuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na waandishi...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtupia lawama Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wake, kikidai kuwa, alisababisha kikiuke sheria kwa kuhamisha fedha za...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2020NANI aliyempa sumu Mzee Phillip Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Ni swali ambalo halijapatiwa majibu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeMarch 27, 2020MOJA ya jambo kubwa na la kipekee kwa marehemu Dk. Makongoro Mahanga, ni kuwa mtu wa kujifunga na kutokuwa na haya katika kubadilika. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguMarch 26, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF) na Chama Mapinduzi (CCM), vinatajwa kwa matumizi mabaya ya fedha katika Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali katika...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2020SHITAKA la kusababisha kuibua taharuki linalomkabili Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, limemtibua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). Nje ya Mahakama ya...
By Mwandishi WetuMarch 25, 2020ROBERT Mwinje (39) na Nyemo Malendaa(20), wote makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma wanatarajiwa kupandishwa kizimbani muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMarch 25, 2020MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amekiri kuwa mmoja wa watoto wake, Dudley Mbowe, amekutwa na ugonjwa wa Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2020JUMLA ya viongozi na wafuasi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kutenda makossa saba. Anaripoti Hamis Mguta, Dar...
By Hamisi MgutaMarch 23, 2020NDIHOLEYE Zuberi Kifu, Mratibu wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vikuu nchini (CHASO), kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Kilimanjaro, amejiondoa...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2020MUSA Bakari, shahidi wa tano kwenye kesi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo ameiambia mahakama kwamba ni kawaida polisi kuua....
By Faki SosiMarch 20, 2020BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, ameungana na hoja ya wapinzani ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi, itakayowezesha Uchaguzi Mkuu wa...
By Mwandishi WetuMarch 19, 2020KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amedai kuwa amefurahi kumsikia wakili wa Serikali anakiri kuwa Mwandishi wa habari za uchunguzi, Azory Gwanda...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2020WAGONJWA wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-2019) nchini Tanzania wameongezeka kutoka mmoja hadi kufikia watatu. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeMarch 18, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu wengi, ikiwa ni hatua za kudhibiti kuenea kwa virusi vya ugonjwa wa homa...
By Kelvin MwaipunguMarch 17, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kwa kuwa serikali imeweka pamba masikioni, nao wamefika ukomo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2020MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amekimwagia sifa Chama cha ACT-Wazalendo, kufuatia hatua yake ya...
By Kelvin MwaipunguMarch 15, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo kimepata viongozi wa juu wawili, walioridhiwa na wanachama wa chama hicho usiku wa manane kuamkia leo tarehe 15 Machi 2020....
By Faki SosiMarch 15, 2020