MKURUGENZI wa Mashtaka (DPP) leo Ijumaa tarehe 4 Machi 2022, amewasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi inayomkabili Mwenyekiti...
By Regina MkondeMarch 4, 2022WATU kutoka vyama vya siasa vya upinzani, wameshauriwa wajiunge na Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, ili waongeze nguvu katika ulinzi...
By Regina MkondeMarch 3, 2022ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam impe muda...
By Regina MkondeMarch 2, 2022TAASISI ya Vijana Wenye Ulemavu (YoWDO), imeIomba Serikali na jamii kwa ujumla, iondoe vikwazo vinavyosababisha kundi hilo lisishiriki kwenye shughuli za maendeleo...
By Regina MkondeMarch 1, 2022MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mizengo Pinda, ameshauri liundwe jukwaa la...
By Regina MkondeFebruary 28, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Bunadamu Tanzania (THRDC), umepewa msaada wa fedha kiasi cha Sh. 90 milioni na Shirika la International...
By Regina MkondeFebruary 25, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemuachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema, Hashim Issa Juma, aliyekamatwa...
By Regina MkondeFebruary 23, 2022NCHI za Marekani na Uingereza, kupitia balozi zake nchini Tanzania, zimepongeza hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti...
By Regina MkondeFebruary 17, 2022KITUO cha Demokrasia nchini Tanzania (TCD), kimesema mkutano uliofanyika kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu...
By Regina MkondeFebruary 17, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzania nchini Tanzania-Chadema, Tundu Lissu, amedai hati yake ya kusafiria (pasipoti), imeibiwa mwezi uliopita akiwa nchini...
By Regina MkondeFebruary 17, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa. Ibrahim Lipumba, amesema nafasi yake iko wazi kwa yeyote atakayetaka kugombea kwenye uchaguzi wa chama...
By Regina MkondeFebruary 12, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amewaomba radhi watu aliowakwaza katika mgogoro wake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama...
By Regina MkondeFebruary 12, 2022ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Wananchi (JUVICUF), Hamidu Bobali, amejiunga na ACT-Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa...
By Regina MkondeFebruary 5, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amewaita wanachama wa chama hicho waliokimbilia ACT-Wazalendo, warejee ili waweze kuchukua nafasi za...
By Regina MkondeFebruary 5, 2022BAADHI ya vigogo na wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, wanaodaiwa kutoridhika na mchakato wa uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho, wako mbioni...
By Regina MkondeFebruary 4, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itakwenda sambamba na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa kuwa inajitambua na inaelekea...
By Regina MkondeFebruary 2, 2022FEDHA kiasi cha Sh. 699,000, zinazodaiwa kutolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe mwaka 2020 kwa ajili ya kufadhili vitendo vya kigaidi,...
By Regina MkondeJanuary 31, 2022KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kimeteua watu wa kufuatilia utendaji wa wizara na taasisi za Serikali. Anaripoti...
By Regina MkondeJanuary 29, 2022KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha ACT-Wazalendo, wamchague mtu...
By Regina MkondeJanuary 29, 2022KIONGOZI wa Jopo la Mawakili wa Utetezi, Wakili Peter Kibatala, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeJanuary 28, 2022LUTENI Denis Urio, shahidi wa 12 wa Jamhuri, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, katika nyakati tofauti alimpatia Sh. 699,000, kwa ajili...
By Regina MkondeJanuary 27, 2022SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, ASKARI wa Jeshi la...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022OFISA wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Denis Urio, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alimueleza anatafuta kampuni za...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022LUTENI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Dennis Urio (42), amepanda kizimbani kutoa ushahidi wake, katika kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kuyafanyia kazi mapendekezo matano, yaliyotolewa na wafanyabiashara wadogo nchini ‘wamachinga’, ili kuiboresha sekta hiyo. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJanuary 25, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili, kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya Barke Pesa Rashid (30),...
By Regina MkondeJanuary 25, 2022KESI ya uhujumi uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeahirishwa hadi Jumatano, tarehe 26 Januari 2022, kutokana na shahidi...
By Regina MkondeJanuary 24, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai, Goodluck Minja, amedai hafahamu kama ripoti ya uchunguzi wa tukio la aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),...
By Regina MkondeJanuary 24, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Askari Polisi namba H4347 Goodluck, amedai Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa...
By Regina MkondeJanuary 21, 2022MCHUNGUZI wa vifaa vya kidigitali wa Jeshi la Polisi Tanzania, Innocent Ndowo (37), amedai hajawasilisha mahakamani sauti za mawasiliano baina ya Mwenyekiti...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na shahidi wa Jamhuri, Innocent Mdowo (37), kwani ni...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022SHAHIDI wa Jamhuri, Innocent Ndowo (37) ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania kuwa, uchunguzi alioufanya wa mawasiliano...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wamemhoji Mchunguzi wa Kitengo cha Uchunguzi...
By Regina MkondeJanuary 19, 2022JUMBE fupi za maneno (meseji), zinazodaiwa kuwa za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya washtakiwa wenzake, katika kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeJanuary 18, 2022SHAHIDI wa kumi wa Januari, Innocent Ndowo (37) katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...
By Regina MkondeJanuary 18, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiki wa Chadema na...
By Regina MkondeJanuary 17, 2022ULINZI juu ya taarifa za wateja umeteka mahojiano kati ya Meneja wa Kitengo cha Sheria cha Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania PLC,...
By Regina MkondeJanuary 14, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamemhoji shahidi wa Jamhuri, Gladys Fimbari...
By Regina MkondeJanuary 14, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imepokea taarifa za miamala na usajili wa simu, kutoka...
By Regina MkondeJanuary 13, 2022MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamekataa shahidi wa Jamhuri, Meneja wa...
By Regina MkondeJanuary 13, 2022MAWAZIRI wa Serikali ya Tanzania, wameahidi kutoa mchango wa fedha, kwa ajili ya kuzisaidia familia za wanahabari waliopoteza maisha ajalini, wakiwa katika...
By Regina MkondeJanuary 12, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesema kama nchi ingekuwa na katiba nzuri, changamoto ya mgawanyo wa madaraka isingekuwepo....
By Regina MkondeJanuary 12, 2022MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, ameulizwa na upande wa utetezi katika kesi ugaidi nayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu,...
By Regina MkondeJanuary 11, 2022MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...
By Regina MkondeJanuary 11, 2022MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, hakukamatwa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa sababu ya harakati za...
By Regina MkondeJanuary 11, 2022MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea mali zinazodaiwa kuwa za mshtakiwa wa...
By Regina MkondeJanuary 10, 2022MJADALA kuhusu kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, iliyodai iko siku nchi itapigwa mnada kutokana na kuelemewa na madeni, umezidi kushika kasi,...
By Regina MkondeJanuary 2, 2022SAKATA la kuhojiwa Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira, juu ya madai yake ya kwamba alinusurika kuuawa na watu wa Serikali,...
By Regina MkondeDecember 31, 2021MWAKA wa 2021, unaofika tamati leo Ijumaa ya tarehe 31 Desemba, umeacha machungu katika maisha ya Watanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeDecember 31, 2021JESHI la Uhamiaji nchini Tanzania, limesema limejipanga kutoa huduma bora kwa wananchi, pamoja na kudhibiti matukio ya uhamiaji kinyume cha sheria, katika...
By Regina MkondeDecember 29, 2021