Friday , 19 April 2024
Home upendo
1867 Articles236 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ataka kasi ongezeko la watu ipunguzwe, ataja athari zake

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya ongezeko la idadi ya watu, ili kukabiliana na athari...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aanika idadi ya majengo, yapo ya shule na afya

  NCHI ya Tanzania, ina majengo 14,348,372 (milioni 14.3), ambapo Bara kuna majengo 13,907,951 na Zanzibar 440,421. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Makinda: Matokeo ya sensa yataendelea kutolewa

  KAMISAA wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Anna Makinda, amesema matokeo ya zoezi hilo yataendelea kutolewa baada ya Rais Samia...

Habari Mchanganyiko

THRDC:Marekebisho ya sheria za habari yataiheshimisha TZ kimataifa

MCHAKATO wa marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari nchini, umetajwa kuirudisha heshima ya Tanzania kimataifa, katika masuala ya ulinzi wa uhuru wa...

Habari Mchanganyiko

Wanusurika kifo kwa kuchomwa moto kisa wivu wa mapenzi

  WINIFRIDA Wambura, na watoto wawili, wamenusurika kufariki dunia baada ya mkwe wake, Naim Byabato, kuchoma moto nyumba kwa sababu ya wivu wa...

Habari Mchanganyiko

Serikali yawapa matumaini wanahabari kuhusu sheria kandamizi

  MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mchakato wa marekebisho ya sheria za habari unakwenda vizuri na kwamba hivi karibuni Waziri wa...

Makala & Uchambuzi

Haya yafanyike kuvutia wawekeza sekta ya habari

  NI ukweli usiopingika  kwamba vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa nchi, ambao una mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya taifa...

Habari Mchanganyiko

Korosho pasua kichwa, CUF wataka bodi ichunguzwe

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kufanya uchunguzi dhidi ya Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), kuhusu tuhuma za...

Habari Mchanganyiko

Wahariri wanolewa uchechemuzi marekebisho sheria za habari

  BAADHI ya wahariri nchini Tanzania, wamepewa mbinu za kufanya uchechemuzi kuhusu marekebisho ya Sheria zinazohusu masuala ya habari. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamuangukia Samia aharakishe mikutano ya hadhara

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwomba Rais Samia Suluhu Hassan, aruhusu mikutano ya hadhara kabla ya marekebisho ya Sheria ya Vyama...

Habari Mchanganyiko

Wanahabari watakiwa kutoandika habari zinazosababisha machafuko

  WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kukwepa kuandika habari zinazoweza sababisha machafuko, ili kulinda usalama wa nchi na haki za wengine. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti kikosi kazi kutinga kwa Rais Samia kesho

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kesho Ijumaa, tarehe 21 Oktoba 2022, atapokea ripoti ya kikosi kazi alichokiunda kuratibu maoni ya wadau wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Marekebisho Sheria za habari: Wadau wampa tano Samia, wamkumbusha vifungu kandamizi

  WADAU wa tasnia ya habari Tanzania, wameshauri mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia vyombo vya habari, ukamilike ili kukidhi dhamira ya Rais...

Habari Mchanganyiko

Wadau: Vyombo vya habari ni mlezi wa demokrasia

  VYOMBO vya habari nchini Tanzania, vimetajwa kuwa mlezi wa demokrasia na utawala Bora, endapo vitatekeleza majukumu yake kikamilifu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake waendelea kuhojiwa, Kibatala ambana Tendega

  KESI namba 36/2022 ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama Cha Chadema, iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waanza kuhojiwa, Tendega aomba mahakama imlinde akitoa siri

  MAWAKILI wa Chama cha Chadema, wameanza kuwahoji maswali ya dodoso wabunge  viti maalum nane kati ya 19, dhidi ya malalamiko waliyoweka katika...

Elimu

Rais Samia awatakia heri watahiniwa darasa la saba

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakia heri watahiniwa wanaofanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, huku akiwaahidi kwamba Serikali itahakikisha inaandaa mazingira...

Habari Mchanganyiko

THRDC yazindua mtandao wa kuhifadhi data na kushirikisha taarifa

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umezindua mtandao wake wa usajili, ufuatiliaji na usimamizi wa wanachama wake zaidi ya...

Kimataifa

Rais Ruto atangaza baraza la mawaziri

RAIS mpya wa Kenya, William Ruto, ametangaza baraza lake la mawaziri, lenye mawaziri 21. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Kiongozi huyo...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yafuta chaguzi tano za UVCCM, tatu za UWT zasimamishwa

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta chaguzi tano za umoja wa vijana (UVCCM), pamoja na kusimamisha chaguzi tatu za Jumuiya ya Wanawake ya...

Habari Mchanganyiko

Wataka mjadala kupata mwarobaini  ukata vyombo vya habari

  WADAU wa tasnia ya habari, wameshauri uitishwe mjadala wa kitaifa, kujadili namna ya kutatua changamoto ya kifedha katika vyombo vya habari. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bibi wa miaka 85, ahofiwa kudhulumiwa ardhi yake 

BIBI wa miaka 85 Tumu Haji Mbonde, anahofia kuporwa ardhi yake ya hekari tano iliyoko kijiji cha Mgomba Kaskazini, wilayani Ikwiriri mkoa wa...

Habari Mchanganyiko

167 mbaroni kwa tuhuma za kuvunja nyumba, kuiba

  JESHI la Polisi nchini, limewakamata watu 167 kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo kuvunja nyumba za raia, kujeruhi na kuiba mali. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Tanzania yaijibu UN kuhusu mradi bomba la mafuta

SERIKALI ya Tanzania, imeendelea kusisitiza kuwa, ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), litakalosafirisha nishati hiyo kutoka Hoima nchini Uganda,...

Habari za SiasaTangulizi

Hawa hapa wabunge Afrika Mashariki, Spika Tulia awapa maagizo

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka wabunge tisa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), kusimamia maslahi ya Tanzania pamoja na...

Habari za Siasa

Spika Tulia ataka mauaji wivu wa mapenzi yasiripotiwe

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ameshauri mauaji yanayosababishwa na watu wanaojichukulia sheria mkononi kutokana na sababu sambalimbali ikiwemo imani...

Habari Mchanganyiko

Watu 116 mbaroni tuhuma za uvunjaji nyumba Dar

  WATU 116 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuvunja nyumba na uporaji wa mali...

Habari Mchanganyiko

Kifo cha Malkia Elizabeth: Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku tano za maombolezo ya kitaifa, kuanzia tarehe 10 hadi 14 Septemba, 2022, kufuatia kifo...

Habari Mchanganyiko

Watu 10 washikiliwa kwa tuhuma za uvamizi Kinyerezi

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 10 wanaotuhumiwa kuvamia makazi ya watu maeneo ya Kinyerezi, kujeruhi na...

Habari Mchanganyiko

Vijana 42 wahitimu program ya ubunifu COSTECH

  TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), imefunga programu yake ya kuibua vijana wenye vipaji kutoka vyuo vikuu, inayofahamika kwa jina...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Samia atuma salamu za rambirambi kifo cha Malkia Elizabeth II

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kimila nchini Uingereza, Malkia Elizabeth II....

Habari Mchanganyiko

Nape akumbushwa ahadi ya marekebisho Sheria za habari

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknokojia ya Habari, Nape Nnauye, amekumbushwa kutekeleza ahadi yake kuhusu marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari,...

Habari za Siasa

Mbunge amuangukia Samia ujenzi barabara kuelekea Burundi

  MBUNGE wa Buyungu, wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Aloyce Kamamba, ameiomba Serikali itoe fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara inayounganisha mkoa...

Afya

Waziri Ummy atoa tahadhari ya Uviko-19: Kumekuwa na ongezeko la mafua

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amewataka wananchi wachukue tahadhari za kujikinga dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kwani bado upo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jaji Mkuu awataka mahakimu wajitenge na siasa

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewataka mahakimu wasijihusishe na masuala ya siasa, kwani yamepigwa marufuku na Ibara ya 113 A...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waibwaga Chadema mahakamani

  WABUNGE Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, wamekibwaga Chama cha Chadema mahakamani baada ya Mahakama Kuu, Masjala Kuu ya Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Mbivu, mbichi kesi ya kina Mdee kujulikana leo

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Shaka atembelea MwanaHALISI, Raia Mwema

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametembelea ofisi za magazeti ya Raia Mwema na MwanaHALISI, ikiwa ni muendelezo...

Afya

Tozo za miamala ya simu zajenga vituo vya afya 13 Dar

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema fedha kiasi cha Sh. 4.5 bilioni, zilizotokana na tozo za miamala ya...

Afya

Serikali kujenga vyumba vya faragha vya kujifungulia

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema Serikali ina mpango wa kuanza kujenga vyumba vya faragha vya kujifungulia, katika vituo vya afya vya...

Habari Mchanganyiko

Mapato yaongezeka kwa 22.77%, TRA yataja sababu tano

  MAKUSANYO ya mapato ya Tanzania, kwa mwaka wa fedha ulioisha wa 2021/22, yameongezeka kwa kwa asilimia 22.77, kutoka Sh. 18.15 trilioni (2020/21)...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Chadema wapinga hoja tano za kina Mdee

  MAWAKILI wa pande mbili (waleta maombi na wajibu maombi) katika kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 wameibua mvutano Mahakamani ikiwa kama...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuanza kuwajibu kina Mdee mahakamani

  MAOMBI ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya madai kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...

HabariTangulizi

22 washikiliwa kwa tuhuma za uhalifu wa mitandaoni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 22, kwa tuhuma za kufanya uhalifu kwa njia ya mtandao. Regina Mkonde,...

Habari

Wabunge wachachamaa mgawo ajira watumishi wa afya

  BAADHI ya wabunge wameibana Serikali kuhusu mgawo wa ajira mpya za watumishi wa umma wa kada ya afya, katika maeneo yenye upungufu....

HabariKimataifa

Urusi yajipanga kuongeza ushawishi, uhusiano wake barani Afrika

  BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Marekebisho ya sheria: Wanahabari walilia uhuru, maslahi

  IKIWA vuguvugu la marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari likizidi kuongezeka nchini Tanzania, wanahabari wamepaza sauti zao kuhusu uboreshwaji wa uhuru...

Tangulizi

LHRC yataja tamu, chungu mapendekezo bajeti 2022/23

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeipongeza Serikali kwa kuja na bajeti inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, huku...

Habari za Siasa

Serikali yaanika mkakati kubana matumizi “tutapimiana mafuta ya magari”

  SERIKALI ya Tanzania, imetangaza mkakati wa kubana matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, ili yaakisi ugumu wa maisha wanayopitia wananchi kufuatia...

Habari Mchanganyiko

BRELA yafungua milango kampuni zenye migogoro

  WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), umefungua zoezi la usikilizaji kampuni zenye migogoro na changamoto mbalimbali, kwa ajili ya kutafuta...

error: Content is protected !!