HESHIMA ya Tanzania katika medani za kimataifa, imereja kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuimarisha mahusiano na mataifa...
By Regina MkondeOctober 12, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanikiwa kuondoa maisha ya hofu kwa watanzania kwa kuwapa uhuru wa kuzungumza...
By Regina MkondeOctober 12, 2023SERIKALI ya Tanzania, kesho tarehe 3 Oktoba 2023, inatarajia kupokea ndege mpya ya masafa ya kati aina ya Boeng 737-9, ya Kampuni...
By Regina MkondeOctober 2, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mobhare Matinyi, kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na...
By Regina MkondeOctober 2, 2023WIMBI la wanawake wanaotelekeza watoto wao kwa kina baba na kuwabambikia kesi, linadaiwa kuongezeka siku za hivi karibuni, huku chanzo kikitajwa kuwa ni...
By Regina MkondeSeptember 30, 2023SHIRIKA la Hima Organization Tanzania, limeanza kutoa mafunzo kwa makundi mbalimbali, juu ya namna ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 19, 2023KATIBU wa Shura ya Maimsmu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewataka wanawake wa kiislamu washiriki katika masuala ya kitaifa ikiwemo ujenzi wa Maendeleo. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 16, 2023WAKATI Serikali ya Tanzania ikiongeza juhudi katika utekelezaji wa Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDG’s), ombwe la umasikini kati ya wananchi wa mijini...
By Regina MkondeSeptember 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali, kwa ajili ya kumsaidia mkulima kupata masoko ya mazao yake...
By Regina MkondeSeptember 7, 2023JESHI la Polisi kupitia kitengo chake cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), limeanzisha mifumo 13 ikiwemo mfumo wa kudhibiti upotevu wa taarifa...
By Regina MkondeSeptember 4, 2023WANANCHI wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameahidi kujenga shule ya sekondari itakayopewa jina la Prof. David Masamba, ili kuuenzi mchango wake katika kukuza...
By Regina MkondeSeptember 1, 2023BUNGE la Tanzania, limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya 2012, yenye lengo la kufungua...
By Regina MkondeAugust 31, 2023BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuridhia mapendekezo ya Katiba ya Tume ya Usafiri wa Anga ya Afrika ya...
By Regina MkondeAugust 30, 2023MABADILIKO madogo ya Baraza la Mawaziri, yaliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, yamegusa kwa namna tofauti baadhi ya mawaziri, ambapo wapo...
By Regina MkondeAugust 30, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, kwa kuanzisha nafasi mpya ya Naibu Waziri Mkuu, kuunda wizara...
By Regina MkondeAugust 30, 2023SERIKALI imevunja ukimya kuhusu utekelezaji mchakato wa marekebisho ya katiba, ikisema kwa sasa imeweka kipaumbele katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu suala hilo,...
By Regina MkondeAugust 28, 2023SERIKALI imeombwa kuzipunguzia mzigo wa kodi shule binafsi ili zimudu gharama za uendeshaji kwa lengo la kutoa huduma bora za elimu. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeAugust 26, 2023SERIKALI na wadau wametakiwa kujitoa katika kutatua changamoto zinazokabili shule za umma. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti...
By Regina MkondeAugust 26, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimezindua sera mpya ya kipato cha msingi kwa wananchi wote (Universal Basic Income), inayolenga kupunguza makali ya ugumu...
By Regina MkondeAugust 21, 2023UTOAJI huduma za Afya katika Hospitali Kuu ya Musoma Vijijini, mkoani Mara, umezinduliwa rasmi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mara…(endelea). Taraifa ya uzinduzi huo uliofanywa...
By Regina MkondeAugust 12, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, Prof. Sospeter Muhongo, amefanya ziara ya kukagua miradi ya maji inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali jimboni humo.Anaripoti Mwandishi...
By Regina MkondeAugust 9, 2023MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), imesema kuna uhaba wa watu wanaotoa msaada wa kisheria, kitendo kinachopelekea wananchi kukosa haki...
By Regina MkondeAugust 7, 2023KAMPUNI ya Usafirishaji majini, PMM Shipping Limited imezindua huduma ya kusafirisha makontena kutoka Bandari ya Dar es Salaam, kwenda maeneo mengine ikiwemo...
By Regina MkondeAugust 4, 2023OFISI ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, inaendelea na zoezi la uhakiki wa masharti ya usajili wa vyama hivyo, ambapo hadi...
By Regina MkondeAugust 3, 2023BAADHI ya vyama vya siasa vya upinzani nchini vimeitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ivifutie usajili vyama vinavyokiuka sheria katika...
By Regina MkondeAugust 1, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Serikali itoe elimu kwa vyama vya siasa, kuhusu mkataba wa uwekezaji bandari nchini, ili kuondoa...
By Regina MkondeAugust 1, 2023BARAZA la Vyama vya Siasa nchini, limeitisha mkutano wa dharura kwa ajili ya kujadili hali ya siasa nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeAugust 1, 2023SERIKALI inakusudia kuanza kuzipa uhuru baadhi ya taasisi za umma, ili kuongeza ufanisi wa utendaji wake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo...
By Regina MkondeJuly 31, 2023SERIKALI imesema inafanyia kazi maombi ya wadau kuhusu uboreshaji mazingira ya hedhi salama kwa watoto wa kike. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....
By Regina MkondeJuly 30, 2023MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), mkoani Dar es Salaam, yametakiwa kufuatia sheria za nchi katika utekelezaji wa majukumu Yao, ili kulinda maadili ya...
By Regina MkondeJuly 29, 2023MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) yameomba kuonana na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ili kumkabidhi changamoto zao zilizoshindwa kutatuliwa na Mamlaka ya Mapato...
By Regina MkondeJuly 28, 2023SERIKALI imetakiwa kuhakikisha kamati za Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na watoto (MTAKUWWA), ngazi ya kata, zinaundwa nchi...
By Regina MkondeJuly 27, 2023SERIKALI imetakiwa kuhakikisha kamati za Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya wanawake na watoto (MTAKUWWA), ngazi ya kata, zinaundwa nchi...
By Regina MkondeJuly 27, 2023RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameahidi kutoa majengo na usafiri wa bajaji, kwa wasaidizi wa kisheria ili waweze kufikisha huduma hiyo kwa...
By Regina MkondeJuly 22, 2023JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kinamshikilia mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Qiblaten Kawe, Mohamed Jabir, kwa tuhuma za kumuua...
By Regina MkondeJuly 21, 2023SERIKALI imeweka mapingamizi katika kesi iliyofunguliwa kupinga uwekezaji wa bandari nchini, ikiitaka Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya, iitupilie mbali kwa madai iko kinyume...
By Regina MkondeJuly 17, 2023JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amesema tume mbalimbali zimeundwa kwa ajili ya kukusanya maoni kuhusu maboresho ya haki jinai, lakini mapendekezo...
By Regina MkondeJuly 15, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ameshauri sheria itakayowabana viongozi wanaotumia madaraka yao mabaya vibaya itungwe, ili kuimarisha mfumo wa haki jinai nchini. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 15, 2023JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeanza uchunguzi wa tukio la kifo cha Felix Mgeni, anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa...
By Regina MkondeJuly 14, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amezungumzia mjadala unaondelea kuhusu sakata la ukodishwaji bandari, akisema wakati watanzania wanalumbana juu ya suala hilo, nchi jirani...
By Regina MkondeJuly 14, 2023MWENYEKITI wa Kamati ya Majadiliano kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai, juu ya uwekezaji bandarini, Hamza Johar amesema mvutano mkali uliibuka...
By Regina MkondeJuly 14, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema uwekezaji wa bandari, unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya DP World, kwamba hauna matatizo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeJuly 14, 2023HASSAN Ruhwanya, Wakili wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini, amejitoa kumuwakilisha katika kesi aliyofunguliwa na James Mbatia, akimtaka amlipe...
By Regina MkondeJuly 13, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imesimamisha Kwa muda usikilizaji wa kesi iliyofunguliwa na James Mbatia, kupinga kuvuliwa uanachama wa...
By Regina MkondeJuly 13, 2023OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imekitaka Chama cha Tanzania Labpour Party (TLP), kuitisha uchaguzi wa kujaza nafasi ya mwenyekiti wake taifa,...
By Regina MkondeJuly 11, 2023USIKILIZWA wa kesi Na. 18/2023 iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam na James Mbatia, kupinga kufukuzwa ndani ya chama...
By Regina MkondeJuly 11, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetakiwa kutatua changamoto za kodi zinazokabili Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), zisizoingiza faida. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeJune 30, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetakiwa kutatua changamoto za kodi zinazokabili Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), zisizoingiza faida. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 30, 2023GAZETI bingwa la habari za uchunguzi nchini Tanzania, MwanaHALISI, linatarajiwa kuanza kurejea mtaani kesho Alhamisi, tarehe 29 Juni 2023, baada ya kuwa kifungoni...
By Regina MkondeJune 28, 2023KIKAO cha Bunge kilichokuwa kinaendelea leo Jumanne, tarehe 27 Juni 2023, kimeahirishwa ghafla baada ya kutokea dharura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kikao hicho...
By Regina MkondeJune 27, 2023