WAKATI mgomo wa kufungua Biashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, ukishika Kasi, baadhi ya wafanyabiashara kutoka nchi jirani wameomba...
By Regina MkondeMay 15, 2023KATIBU wa Shura ya Maimamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanajipanga kuishauri Serikali namna bora ya kupata suluhu dhidi ya mali za...
By Regina MkondeMay 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka kheri watahiniwa wa mtihani wa kumaliza kidato cha sita, huku akiwaahidi kwamba Serikali yake inaandaa mazingira Bora ya...
By Regina MkondeMay 2, 2023VIONGOZI wanaosimamia Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa sakata la kuzima kwa taa...
By Regina MkondeMay 1, 2023JAMII imetakiwa kujikita katika uzalishaji wa taulo za kike za kufua ‘Pedi’, ili kuimarisha hedhi salama kwa watoto wa kike, pamoja na kuhifadhi...
By Regina MkondeApril 29, 2023WADAU wa Haki ya Kupata Taarifa nchini (CoRI), wamewaomba wabunge kuwasikiliza waandishi wa habari ili wapate mapendekezo yao yaliyoachwa katika Muswada wa...
By Regina MkondeApril 20, 2023KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, imeahirishwa hadi tarehe 18 na 19 Mei,2023 kutokana na Jaji anayeisikiliza, Cyprian...
By Regina MkondeApril 18, 2023SERIKALI imetenga kiasi cha fedha Sh. 15 bilioni, katika mwaka wa fedha wa 2022/23, kwa ajili ya ukamilishaji ujenzi wa maboma ya...
By Regina MkondeApril 5, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema imefanikiwa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Murburg, huku ikiahidi kuutokomeza kwa kufuata miongozo ya Shirika la...
By Regina MkondeApril 4, 2023MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ametaka mambo sita yazingatiwe katika uandaaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeApril 3, 2023BARAZA la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACoNGO), limeanza kuzihoji asasi za kiraia (NGO’s) 29, dhidi ya tuhuma za kuhamasisha vitendo vya...
By Regina MkondeApril 2, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Mawakili Vijana, anayemaliza muda wake, Wakili Edward Heche, amejitosa kugombea Tena nafasi hiyo ili amalize aliyoyanzisha. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeMarch 30, 2023MGOMBEA Urais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Wakili Harold Sungusia, amesema malengo yake ni kukikwamua chama hicho ili kiweze kutoa mchango...
By Regina MkondeMarch 27, 2023KAMATI ya Uchaguzi ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), imetangaza majina ya walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu...
By Regina MkondeMarch 23, 2023MAWAKILI wasomi watatu, Harold Sungusia, Reginald Shirima na Sweetbeert Nkuba, wamechukua fomu kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya urais wa Chama cha...
By Regina MkondeMarch 14, 2023MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) 40, yamepewa mafunzo kuhusu ukwepaji makosa ya utakatishaji fedha na ufadhili wa vitendo vya ugaidi. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeMarch 13, 2023ALIYEKUWA Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Fatma Karume ameishauri uundwaji wa Mahakama maalum itakayochunguza vifo vinavyotokea katika mazingira yenye...
By Regina MkondeMarch 11, 2023CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), limeendesha kongamano la wazi la kukusanya maoni ya wadau juu ya namna ya kuboresha taasisi ya...
By Regina MkondeMarch 11, 2023WADAU wa masuala ya haki za binadamu Tanzania, wameiomba Serikali iweke mikakati itakayohakikisha matumizi ya Teknokojia ya Habari na Mawasiliano, haiwaachi nyuma watu...
By Regina MkondeMarch 9, 2023WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema waandishi wa habari na wadau wengine wa tasnia hiyo, bado wana...
By Regina MkondeMarch 7, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la wabunge viti maalum 19, kuwahoji baadhi ya wajumbe wa Bodi ya...
By Regina MkondeMarch 6, 2023MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), kuendelea kuzingatia matakwa ya kisheria ili kukwepa...
By Regina MkondeMarch 3, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA). Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeFebruary 27, 2023MTANDAO wa Wanawake, Katiba na Uongozi umezitaka asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake na watoto kuungana pamoja katika kuwasilisha ajenda za...
By Regina MkondeFebruary 25, 2023MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umewasilisha mapendekezo yake 500 katika Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ili...
By Regina MkondeFebruary 21, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimezindua ahadi yake kwa Watanzania, ya kujenga Taifa la wote kwa maslahi ya wote kufikia 2035 endapo kitapewa ridhaa ya...
By Regina MkondeFebruary 19, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema limeunda kamati ndogo ya watu sita, kwa ajili ya kuchambua Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya...
By Regina MkondeFebruary 18, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimewaomba Watanzania wakiunge mkono ili kiweze kutimiza malengo yake ya kuwakomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeFebruary 18, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema ndoto yake kuu si kushika dola bali kuwakomboa wananchi kiuchumi na kijamii. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeFebruary 18, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake watano, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Kilwa mkoani...
By Regina MkondeFebruary 16, 2023KAMPENI ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Rais Samia Suluhu Hassan, itafanyika katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kwenye mikoa ya...
By Regina MkondeFebruary 15, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amewataka waandishi wa habari na wadau wa tasnia hiyo, kupitia kwa makini Muswada wa Marekebisho...
By Regina MkondeFebruary 14, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mwanza, Antony Diallo, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya...
By Regina MkondeFebruary 14, 2023MUSWADA wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni jijini Dodoma, kupitia Muswada wa Sheria...
By Regina MkondeFebruary 10, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aingilie kati ili Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari...
By Regina MkondeFebruary 8, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imetoa uamuzi wa kuwatambua wajumbe wapya wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha NCCR-Mageuzi,...
By Regina MkondeFebruary 7, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limewataka wadau wa habari nchini kuwa na subira kwa kuwa muswada wa mabadiliko ya Sheria ya Huduma...
By Regina MkondeFebruary 3, 2023JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema hali ya ulinzi na usalama wa nchi ni shwari kwani limeendelea kudhibiti matukio makubwa yanayoweza kuleta...
By Regina MkondeJanuary 26, 2023UPANDE wa wajibu maombi katika kesi Na. 570/2023, iliyofunguliwa na wajumbe wa zamani wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha NCCR- Mageuzi,...
By Regina MkondeJanuary 24, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema katika Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, Serikali inapendekeza wakwe kuingizwa katika bima hiyo.Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJanuary 23, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema linatarajia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, atatimiza ahadi yake ya kupeleka...
By Regina MkondeJanuary 19, 2023SERIKALI ya Tanzania ipo katika maandalizi ya mwisho ya kufanya utafiti wa hali ya umasikini nchini kwa mwaka 2023/2024. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJanuary 18, 2023OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kupungua kwa mfumuko wa bei za vyakula na vinywaji baridi, kutoka asilimia 9.7, kufikia Machi...
By Regina MkondeJanuary 18, 2023KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameishauri Serikali iweke misingi imara itakayosaidia kujenga uhuru wa kudumu...
By Regina MkondeJanuary 16, 2023WAKALA wa Mabasi Yaenday Haraka (DART), umesema nauli za mabasi ya mwendokasi zimeongezeka kutokana na kupanda kwa gharama za uendeshaji hususan mafuta....
By Regina MkondeJanuary 14, 2023WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), umetangaza nauli mpya kwa watumiaji wa mabasi yaendayo haraka, zitakazoanza kutumika kuanzia tarehe 16 Januari 2023....
By Regina MkondeJanuary 14, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema hakuna ndege zinazoingia katika hifadhi za taifa kwa ajili ya kutorosha wanyamapori, bali ndege zinazoingia hifadhini humo hutumiwa...
By Regina MkondeJanuary 14, 2023SERIKALI imesema ina malengo ya kuongeza idadi ya watalii hadi kufikia 5,000,000 ifikapo 2025, ambao wataingiza fedha Dola za Marekani 6 bilioni....
By Regina MkondeJanuary 14, 2023CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimejitabiria kupata ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeJanuary 10, 2023DIWANI wa Kata ya Mzimu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Manfred Lyoto amepongezwa kwa kazi kubwa anayoifanya kwa ajili ya kuwaletea maendeleo...
By Regina MkondeJanuary 9, 2023