Tuesday , 7 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Hospitali Kuu Musoma vijijini yazinduliwa
Habari Mchanganyiko

Hospitali Kuu Musoma vijijini yazinduliwa

Spread the love

UTOAJI huduma za Afya katika Hospitali Kuu ya Musoma Vijijini, mkoani Mara, umezinduliwa rasmi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mara…(endelea).

Taraifa ya uzinduzi huo uliofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Dk. Khalifan Haule,  imetolewa hivi karibuni na Ofisi ya Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo.

Hospitali hiyo ina majengo muhimu tisa. Majengo mengine sita yanaendelea kujenga ikiwemo la kufua.

“Hospitali hii yenye kutoa huduma za afya kwa kiwango cha hadhi ya Hospitali ya Wilaya, hadi sasa Serikali imeshatoa Sh. 3.49 bilioni kwa ajili ya Ujenzi na Sh. 600 milioni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba na dawa,” imesema taarifa.

Taarifa hiyo imesema hospitali ina vifaa vya kisasa, vikiwemo Digital x-rays, Ultrasound na mitambi ya kutengeneza Oxygen.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

AfyaHabari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Kisukari cha mimba ni nini?

Spread the loveKisukari cha mimba ni aina ya kisukari kinachotokea kwa baadhi...

Habari Mchanganyiko

Mafunzo kwa bodaboda 395 yamkuna Meya Dodoma

Spread the loveNAIBU Meya wa Jiji la Dodoma, Asma Karama amepongeza mafunzo...

Habari Mchanganyiko

Samia aagiza huduma za dharura maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Hidaya

Spread the love   RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Samia...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yatoa uamuzi zuio dhidi ya Club House

Spread the loveMAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam,...

error: Content is protected !!