Thursday , 2 May 2024
Home sosi
809 Articles18 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Kimbunga ACT-Wazalendo; CCM yaungana na CUF ‘kulaani’

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeungana na Chama cha Wananchi (CUF) kulalamikia hatua ya waliokuwa wanachama wa chama hicho (CUF) kubadili rangi za majengo...

Habari za Siasa

DK. Lwaitama amzungumzia Maalim Seif

UAMUZI  wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad wa kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo umetajwa kuwa ni ushujaa....

Habari za SiasaTangulizi

Pigo lingine kwa Maalim Seif, mahakama yamtambua Prof. Lipumba  

HATIMAYE Mahakama Kuu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo tarehe 18 Machi 2019 imetoa uamuzi kwamba, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ni mwenyekiti halali wa...

Habari za SiasaTangulizi

Nassari ajitetea, aomba huruma ya Spika Ndugai

JOSHUA Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki amemtaka Spika Ndugai kupitia upya uamuzi wake ambao haujazingatia ubinadamu na hata kupewa nafasi ya kusililizwa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Segerea kuna mambo ya kuumiza

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa amesema, amekutana na mambo ya kuumiza alipkuwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini...

Habari za Siasa

Mbowe, wenzake wapangiwa hakimu mwingine, wasomewa mashataka upya

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo tarehe 14 Machi 2019 wamesomewa upya mashtaka yao kutokana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

Habari Mchanganyiko

Mama aliyejifungua watoto wanne apiga yowe

RADHIA Solomon (24), mzazi aliyejifungua watoto wanne kwa pamoja (mapacha) yupo kwenye wakati mgumu wa kukabili changamoto ya kumudu malezi ya watoto hao....

Michezo

Manara: Jumamosi ‘DO or DIE’

KUELEKEA mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi AS Vital kutoka nchini Congo, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atokomea, mahakama yaamuru ‘ajisalimishe’

KESI ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini imekwama baada ya kiongozi huyo mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na wadhamini wake...

Habari za SiasaTangulizi

Siri zavuja mgogoro Lipumba Vs Maalim Seif?

MIKAKATI inayofanywa na Kambi ya Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambiliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ina lengo...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yawarejesha Mbowe, Matiko uraiani

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imewarejesha uraiani wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (Hai) na Esther...

Habari za Siasa

Hatma ya Mbowe, Matiko Kesho

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa hukumu ya uamuzi wa rufaa ya mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na...

Habari Mchanganyiko

Rais wa madaktari; Mishahara haitukidhi

RAISI wa Madktari nchini Dk.Elisha Osati, ameiomba serikali kuongeza mishahara kwa watumishi wanaotoa huduma kwenye sekta ya afya nchini ili kumudu mahitaji ya...

Habari za Siasa

Mbowe kusaka dhamana kesho Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuendelea na usikilizwaji  wa rufaa ya Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

BREAKING NEWS: Mbowe aibwaga Serikali Mahakama ya Rufaa

MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kupinga Mahakama Kuu, kusikiliza maombi ya kurejeshewa dhamana kwa wabunge...

Habari za Siasa

Fundo rufaa ya Mbowe, Matiko kufunguliwa

HATMA ya rufaa ya Freeman Mbowe, Mwenyekti wa Chadema Taifa na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini itajulikana kesho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Msiba wa Ruge wakwamisha kesi ya Halima Mdee

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, kufuatia shahidi wa upande wa mashitaka...

Habari Mchanganyiko

Tabia hii ya Ruge ndiyo ilimvutia JPM, Majaliwa

KIFO cha Ruge Mutahaba, aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) kimeibua sifa zilizojificha. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Namna Ruge alivyokuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi akwamisha tena kesi ya Zitto Kabwe

SHAHIDI wa Serikali katika kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo amekwamisha tena kesi hiyo kwa kinachodaiwa kuwa amepata dharura iliyomfanya...

Habari Mchanganyiko

Walichoandika Rais Magufuli, Kikwete na wanasiasa kufuatia kifo cha Ruge Mutahaba

SALAMU za majonzi za watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo viongozi wa serikali, vyama vya siasa na wasanii zimeendelea kuelekekezwa kwa Familia ya Mwanahabari mashuhuri...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee achomoka mahabusu

HALIMA Mdee, Mbunge wa upinzani katika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam amepata dhamana leo baada kukaa ndani kwa saa 24. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kubenea kutumia Sh. 15 mil, kukarabati soko la Manzese  

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ameahidi kusaidia kiasi cha Sh. 15 milioni ili kufanyia ukarabati wa soko la kuku lililopo katika kata...

Habari za Siasa

Kubenea ashtukia ufisadi wa Mil.100 soko la Manzese

ZIARA  ya Saed Kubenea Mbunge wa Jimbo la Ubungo amebaini ufisaidi wa Sh. 100 milioni kwenye machinjio ya kuku kwenye soko la Manzese....

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge mwingine wa upinzani akamatwa

MBUNGE wa upinzani katika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam, Halima James Mdee, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini. Anatuhumiwa kutoa kauli...

Habari za Siasa

Sumaye apokea msaada wa Pikipiki

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Kanda ya Pwani, kimekabidhiwa pikipiki nne kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

Habari za Siasa

Vitambulisho vya ujasiriamali ni bomu-Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelalamikia uanzishwaji wa mradi wa serikali wa ugawaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo na kwamba, ni bomu linalosubiriwa...

Habari za SiasaTangulizi

CUF Maalim: Tunahofia Jaji ametishwa

CHAMA cha Wananchi (CUF), kinachoongozwa na Maalim Seif Sharif Hamad, umedai kuwa kuna mkakati unaopangwa na baadhi ya maofisa wandamizi wa serikali, kumshinikiza...

Habari za Siasa

Chadema, serikali wavutana kuhusu Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kutishika na matamshi wanayodai kutolewa na mmoja wa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tano na...

Habari za Siasa

CUF Lipumba; Tumeathirika

UAMUZI wa kufutwa kwa Bodi ya Chama cha Wananchi (CUF) uliotolewa jana tarehe 18 Februari 2019 na Jaji Benhajj Masoud kutaathiri shughuli za...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko ‘ngoma bado mbichi’

MAHAKAMA ya Rufani leo tarehe 18 Februari 2019 imeanza kusikiliza rufaa ya serikali ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kusikiliza rufaa ya...

Tangulizi

Rufaa ya Mbowe ulinzi mkali waimarishwa

ULINZI makali umeimarishwa na Jeshi la Polisi na Magereza kwenye Mahakama ya Rufani wakati mahakama hiyo ikijiandaa kutoa uamuzi wa rufaa ya Freeman Mbowe na...

Habari za Siasa

Fatuma Karume: Naachia ngazi TLS

FATUMA Karume, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) hatogombea tena nafasi hiyo baada ya kustaafu Aprili mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba, Maalim Seif nani kununa leo?

UAMUZI utakaofikiwa leo tarehe 18 Februari 2019 na Jaji Benhajj Masoud wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kuhusu wajumbe halali wa...

Habari za Siasa

Mpambano mzito Ndugai vs Zitto

KESI ya kikatiba inayohusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Mamlaka ya Bunge kuhoji wenye kinga...

Habari za Siasa

Rufaa yawakwamisha Mbowe, Matiko

UAMUZI wa Rufani ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema)-Taifa na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime vijijini umekwamisha usikilizwaji wa kesi...

Michezo

Wambura ‘kilio’, arejeshwa mahabusu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali pingamizi la upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Makamu wa Rais wa...

Habari Mchanganyiko

Kesi kupinga wakurugenzi kusimamia chaguzi; serikali yakwama kortini

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la serikali kwenye shauri la kupinga utaratibu wa kuteuwa Mkurugenzi wa Tume ya...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya kina Kitilya yatua Mahakama ya Mafisadi

SERIKALI imeiomba amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuhamisha kesi ya uhujumu uchumi aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Uhujumu uchumi NIDA: TAKUKURU wamtaka kumhoji upya mtuhumiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeombwa kufanya mahojiano upya na Xavery Kayombo, anayeshitakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi wa...

Habari Mchanganyiko

Mmiliki wa Mwendokasi kizimbani kwa uhujumu uchumi

MKURUGENZI wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa...

MichezoTangulizi

‘Ulissu’ wamponza Michael Wambura

MICHAEL Richard Wambura, aliyepata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), amepandishwa kizimbani jijini Dar es Salaam. Ameshitakiwa kwa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wahofia usalama wa Zitto

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kuwepo kwa hofu ya kudhuriwa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na...

Habari za Siasa

Msikiti UDOM ‘wawakutanisha’ Sheikh Ponda, Rais Magufuli

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini ametaka hatua stahiki zichukuliwe kwa walioshiriki kuvunja msikiti katika Chuo Kikuu...

Habari za SiasaTangulizi

Mshahara wa Lissu, sasa kaa la moto

MJADALA juu ya kusimamishwa mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, umezidi kupamba moto. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ambaye...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo washtukia polisi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetilia shaka maelezo ya Jeshi la Polisi kuhusu mauaji ya kijana Isaka Petro aliyofanyika katika Kanisa la Sabato wilayani Itigi,...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yamkubalia Mdee shingo upande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali shingo upande sababu za Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kushindwa kuhudhuria kesi yake leo 7 Februari 2019....

Habari za Siasa

Magufuli apingwa mahakamani

FATMA Karume, Wakili na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) anaongoza mawakili wenzake upande wa mashtaka kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu Serikali...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Sijaingilia uhuru wa Mahakama

RAIS John Pombe Magufuli, amedai kuwa hajawahi kuingilia utendaji wa kazi za muhimili wa Mahakama. Amesema, “katika uongozi wangu, sijaingilia muhimili wa Bunge...

Habari za Siasa

Kauli yake dhidi ya Magufuli, Mdee kupanda Kisutu tena

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam leo anapanda tena kizimbani kuendelea na shauri lake kuhusu kutoa lugha chafu dhidi ya...

Tangulizi

Kesi ya uchochezi; Mahakama yamtaka mdhamini wa Lissu

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomas Simba ameagiza wadhamini wa Tundu Lissu katika kesi inayohusu tuhuma za uchochezi kupitia...

error: Content is protected !!