Friday , 3 May 2024
Home mwandishi
8780 Articles1249 Comments
Habari za Siasa

Taswo yampongeza Rais Samia kuigawanya wizara ya afya

  CHAMA cha Wataalamu na Wanataaluma wa Ustawi wa Jamii Tanzania (TASWO), kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kutangaza kuigawanya wizara...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi, wadau wa siasa waibua mambo 80, wato tamko tume huru, mikutano ya hadhara

OFISI ya Msajili wa vyama vya siasa pamoja na Baraza la Vyama vya Siasa limebebeshwa zigo la mambo 80 yaliyojadiliwa katika mkutano wa...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya TCRA kumshushia rungu, Polepole asema ni mtihani midogo

  SAA chache baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kukisimamisha kwa muda kipindi cha ‘Shule ya Uongozi’ kinachoendeshwa na Mbunge wa kuteuliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rufaa ya Sabaya, wenzake Februari 2022

  RUFAA ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili imepangwa kusikilizwa tarehe 14 Februari 2022,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aanika sababu kuigawa wizara ya afya

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia kuigawa Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto na kuunda wizara ya maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Nguvu kazi ya wanawake haijatumika ipasavyo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kwamba nusu ya watu duniani ni wanawake, bado sehemu kubwa ya dunia haijatoa nafasi stahiki...

Kimataifa

Kansela mpya Ujerumani ahutubia Bunge, atoa mwekeleo

  KANSELA mpya wa Ujerumani, Olaf Scholz amelihutubia kwa mara ya kwanza bunge leo Jumatano, tarehe 15 Desemba 2021 na kuelezea miongozo ya...

Kimataifa

Mahakama Afrika Kusini yataka Zuma arudishwe gerezani

  Mahakama ya Afrika Kusini imeamua rais wa zamani wa Taifa hilo, Jacob Zuma anapaswa kurejea gerezani, kwa sababu msamaha wa kimatibabu aliopewa...

Habari za SiasaTangulizi

DPP aanza kufuta kesi za ugaidi Tanzania

  MKURUGENZI wa Mashitaka ya Jinai nchini Tanzania (DDP), Sylvester Mwakitalu, amesema ofisi yake inaendelea “kuchambua na kupitia,” mamia ya majalada ya watuhumiwa...

Habari Mchanganyiko

Makamba aeleza mikakati kusambaza umeme nchi nzima

  WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, January Makamba amesema, Serikali itaendelea kutumia vifaa mbalimbali vya umeme vinavyozalishwa nchini hivyo, wazalishaji wanapaswa kuzingatia ubora...

Habari za Siasa

Vyama vipya vya siasa 10 vyaomba usajili

  IKIWA imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 nchini Tanzania, zaidi ya vyama 10 vipya vimeomba usajili katika Ofisi ya Msajili...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amtwisha zigo la Mbowe Rais Samia

  KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufuata taratibu zote za kisheria na kumuachia Mwenyekiti wa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo yawageuka Chadema, NCCR Mageuzi

  LICHA ya baadhi ya vyama vikuu vya upinzani nchini kutangaza kususia kikao cha wadau wa tasnia ya siasa kupitia Baraza la Vyama...

Habari za Siasa

Rais Samia: Wabunge acheni ubabe migodini

  RAIS Samia amewaonya wabunge kuacha kufanya ubabe katika maeneo ya migodi ili wapewe pesa na kuzitumbua badala yake wasimamie pesa hizo za...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amlipua diwani Kigamboni, alipinga operesheni machinga

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na diwani wa Kigamboni ambaye awali alipinga operesheni ya kuwahamisha wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na sasa ameanzisha...

Michezo

Koffi Olomidé kuingia jela leo?

  HATIMA ya Mwimbaji nguli wa mtindo wa Rumba wa kutoka Jamhuri ya Kidemorkasia ya Kongo (DRC), Koffi Olomidé inatarajiwa kufahamika leo tarehe...

Michezo

Dewji akoleza moto ujenzi uwanja wa Simba, atoa Bil 2

  RAIS wa heshima wa Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji ameiomba bodi ya wakurugenzi wa timu hiyo, kukutana ili kuandaa...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole adai kuvamiwa na wasiojulikana, wabeba TV

  MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM) nchini Tanzania, Humphrey Polepole amedai, kuvamiwa nyumbani kwake jijini Dodoma na watu wasiojulikana kisha kuiba televisheni. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Bulembo amshukia Polepole, ataka CCM amshughulikie

MWENYEKITI Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi, Abdallah Bulembo amemmshukia mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole akimtaka kumwacha, mwenyekiti wa chama...

Michezo

Simba, Yanga hakuna mbabe

  MTANANGE wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga uliopigwa leo tarehe 11 Disemba 2021, katika dimba la Mkapa jijini Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Dk. Mwinyi ang’aka upotoshaji kuuza Visiwa, kugawa tenda bila utaratibu

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema si kweli kwamba ameuza ardhi ya Visiwa vya Zanzibar badala yake...

Michezo

Simba waigomea TFF KATIKA hali ya kushangaza uongozi wa klabu ya Simba ulimzuia kocha wake mkuu Pablo Franco Martin kutoongea na waandishi wa...

Habari

Ununuzi wa Meli: Bosi mpya bandari matatani

  MKURUGENZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Erick Hamissi, anatajwa kuwa mmoja wa watuhumiwa muhimu kwenye mradi wa kitapeli wa...

Habari Mchanganyiko

NMB bonge la mpango yamwaga zawadi milioni 23

  BENKI ya NMB katika kipindi cha wiki tisa, imetumia Sh.117 milioni katika kampeni ya weka akiba na ushinde inayoitwa ‘NMB Bonge la...

Habari za Siasa

Jenerali Ulimwengu: Uhuru wetu umekamilika?

  MWANDISHI wa habari mkongwe nchini Tanzania, Jenerali Ulimwengu, anewataka Watanzania wajiulize kama wana uhuru wa kweli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Askofu Mwamakula awapa mbinu Chadema

  KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amewataka wanachama na wafuasi wa Chama cha Chadema, kuendelea kupasa sauti zao...

Habari za SiasaTangulizi

Miaka 60 ya Uhuru, Zitto Kabwe ataja mambo manne kurejesha umoja

  WAKATI Tanzania Bara ikiadhimisha miaka 60 ya Uhuru, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameishauri Serikali kutekeleza mambo manne muhimu ili kurudisha...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu adai misingi ya uhuru imesalitiwa

  MAKAMU Mwemyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amedai malengo ya wapigania uhuru Tanzania Bara, imesalitiwa katika kipindi cha miaka 60....

Habari za Siasa

Viongozi, wafuasi 53 Chadema Kakonko mbaroni kisa sherehe za Uhuru

  VIONGOZI wa Chama cha Chadema wilayani Kakonko, Kigoma takribani 18 na wanachama wao 35, wanadaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo,...

Habari za SiasaTangulizi

Madai katiba mpya: Bavicha watuma salamu kwa IGP Sirro

  BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) nchini Tanzania, limemuomba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo (IGP), Simon Sirro...

Habari za Siasa

Marais wanne, wastaafu watinga kushuhudia sherehe za Uhuru

  JUMLA ya Marais wa nchi nne pamoja na marais wastaafu watatu wamehudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania...

Tangulizi

Majaji washauri vishawishi dhidi yao viondolewe

  SERIKALI ya Tanzania, ameshauri kuwaondolea vishawishi majaji, ikiwemo kutowapa teuzi za nafasi za uongozi serikalini, ili watende majukumu yao kwa ufanisi. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Matokeo ya urais kupingwa mahakamani yakwamisha Tanzania kusaini mkataba AU

  SERIKALI ya Tanzania, imesema imeshindwa kusaini Mkataba wa Umoja wa Afrika (AU) unaohusu masuala ya uchaguzi, demokrasia na utawala bora (ACDEC), kwa...

Habari za SiasaTangulizi

LIVE: Miaka 60 ya Uhuru, marais Afrika wajitokeza

  HAPPY Birth Tanganyika. Ndiyo Tanganyika ama kwa sasa Tanzania Bara, leo Alhamisi, tarehe 9 Desemba 2021, inaadhimisha miaka 60 ya Uhuru. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Watanzania wengi hawafahamu makucha ya wakoloni

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Watanzania wengi hawayajui makucha ya wakoloni kwa kuwa walizaliwa baada ya uhuru wa Tanzania Bara...

Elimu

Wadau wajadili elimu jumuishi, kuwainua wenye ulemavu

  SHIRIKA la Light for the Word, limeitaka jamii ya Kitanzania kushirikiana kwa pamoja kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wanafunzi ikiwemo za macho na...

Kimataifa

Mrithi wa Angela Merkel apatikana Ujerumani

MRITHI wa Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amepatikana leo mjini Berlin, kufuatia Bunge la nchi hiyo, kumuidhinisha Olaf Scholz kuwa Kansela mpya. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuhutubia taifa leo

  LEO Jumatano tarehe 8 Desemba 2021, saa 3:00 usiku, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari....

Habari Mchanganyiko

Miaka 60 ya Uhuru: Fataki kufyatuliwa maeneo matatu Dar leo

  MILIPUKO salama ya fataki inalipuliwa leo Jumatano tarehe 8 Desemba 2021, kuanzia saa 5 usiku, katika maeneo ya Uwanja wa Taifa, Daraja...

Michezo

Simba, Yanga zategana

  ZIKIWA zimebaki siku nne, kuelekea kupigwa kwa pambani la watani wa jadi kati ya Simba ambao watakuwa wenyeji wa mchezo huo dhidi...

Habari za SiasaTangulizi

Ulimwengu: Anayezuia mjadala wa katiba mpya ni mfu kimawazo

  MWANDISHI wa habari mkongwe nchini Tanzania, Jenerali Ulimwengu, amesema, mtu anayedhani marekebisho ya katiba yaliyofanyika 1977, yanakidhi matakwa ya uendeshaji wa nchi...

Habari

Askofu Shoo aomba wimbo wa Taifa ubadilishwe

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, ameomba neno haki, liongezwe katika wimbo wa taifa hilo, kwani...

Habari

Viongozi wa dini wahimiza haki

  VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali nchini Tanzania, wamehimiza Watanzania kuwa walinzi wa haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Wito huo...

Habari

Dk. Amani Karume: Maendeleo ya wananchi si majengo tu!

  RAIS mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume ameeleza kufarijika kuona namna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

Habari

Kakoko tena TPA, Takukuru…

  MADAI mapya ya ufisadi yaliyoibuliwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), hayawezi kumwacha salama,...

MichezoTangulizi

Rekodi ya kipee kwa mwamuzi Herry Sasii mchezo wa Simba na Yanga

  BODI ya Ligi kupitia kamati ya waamuzi, imemchagua Herry Sasii kuwa refa kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...

Habari

Mgombea urais aahidi kutoa mkopo kwa wanandoa wapya

  Mgombea urais nchini Kenya ameahidi mikopo ya kati ya Dola za Marekani 4,400 (Sh milioni 10.1) na 8,800 (Sh milioni 20.20) kwa...

Habari Mchanganyiko

Balozi Kanza aanza kuita wawekezaji kutoka Mexico, Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza amekutana kwa mazungumzo  na Meya wa mji wa Dallas, Meya Eric Johsnon pamoja na...

Kimataifa

Adama Barrow atangazwa mshindi uchaguzi Gambia

  Rais wa Gambia, Adama Barrow ameshinda tena uchaguzi mkuu wa nchi hiyo katika kura zilizopigwa kwa mara ya kwanza kwa miongo kadhaa...

Habari

Wakazi Ukerewe, Mbinga waibuka washindi NMB Bonge la Mpango

  DROO ya nane ya Kampeni ya ‘NMB Bonge la Mpango – 2merudi Tena,’ imefanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha, ambako Theofrida Masudi...

error: Content is protected !!