MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi ameteua kikosi kazi cha watu 23 kinachojumuisha makundi mbalimbali ya wanasiasa, wanazuoni,...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2021SHEREHE za kumpata mshindi wa kula mkate na kunywa soda jana tarehe 22 Disemba, 2021 ziliisha kwa simanzi, baada ya mwanafunzi mmoja...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2021WAKENYA ambao hawatokuwa na cheti cha kupokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona hawatoruhusiwa kupokea huduma za serikali ya Kenya ifikapo mwishoni...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2021MKE wa Rais wa Ufaransa, Brigitte Macron amesema anatarajia kuchukua hatua za kisheria kuhusu madai ya mitandao ya kijamii kwamba yeye alizaliwa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo tarehe 22 Disemba, 2021 wamekutana na kujadili ajenda ya kuiruhusu Jamhuri ya...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021MATUKIO ya ukosefu wa maadili mkoani Dodoma yamezidi kuutikisa mkoa huo baada ya Jeshi la Polisi mkoani humo kumnasa kijana mmoja mwenye...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021KAMATI ya Bunge nchini Libya, imetangaza leo Jumatano tarehe 22 Desemba 2021, kwamba haitawezekana kuandaa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Ado Shaibu, amesema chama chake kinataka kujitofautisha na vyama vingine, hivyo hakitakubali kuendeshwa...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021SAKATA la zabuni za ujenzi wa meli mpya tano, iliyotolewa na Serikali ya Tanzania kwa kampuni mbili kutoka nchini Uturuki, limeanza kuchukua...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amesema, wanasubiri mjadala wa kitaifa kuhusu aina ya Tume Huru ya...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021WAZIRI wa zamani wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania, Balozi Khamis Kagasheki amezungumzia kile kinachoendelea kwa Mbunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza amesema, mwaka 2021 unaomalizika ,...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2021MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia mpango wake wa kusaidia kaya maskini umejenga nyumba ya Mganga wa kijiji cha Kagongo kilichopo...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2021SIKU 75 za wachezaji waandamizi wa vijana wa rambaramba Azam FC ya jijini Dar es Salaam, kukaa kifungoni zimemalizika na kurejea mazoezini...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2021SAFARI ya siku 365 za mwaka 2021, zitahitimishwa siku kumi zijazo huku wananchi wakiwa na kumbukumbu ya tukio kubwa na la kwanza...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2021JESHI la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mmiliki wa shamba, Gelvas Bambo pamoja na wenzake watatu kwa kosa la kufanya vurugu na kuchoma...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021MCHANGO wake Naibu Rais wa Kenya, William Ruto wa Sh milioni 20.3 kwa kukindi akiba na mikopo kilichoundwa na wanawake wanaojihusisha na...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, watasherekea sikuu ya Krismasi na mwaka mpya...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021RAIS wa Congo-Brazzaville, Denis Sassou-Nguesso (78), amewekwa karantini baada ya watu kadhaa wa karibu naye kuthibitishwa kuwa wana maambukizi ya virusi vya...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021UNAWEZA kusema Mbunge wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ana roho ngumu au ya paka, kwani licha ya chama chake, kumweka kiporo,...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2021VIJANA wa Jangwani jijini Dar es Salaam, Yanga wameendelea kuwapa furaha mashabiki wake, baada ya kuwadunda 2-1 maafande wa magereza, Tanzania Prisons....
By Mwandishi WetuDecember 19, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, maambukizi ya virusi vya korona (UVIKO-19), yanaendelea kwa kasi nchini humo na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza timu ya Bunge la nchi hiyo, baada ya kuibuka na makombe saba katika michezo mbalimbali...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2021KUNA uwezekano mdogo kwa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumvua uanachama wa chama hicho, mbunge wa kuteuliwa na Rais,...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2021WAZIRI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameuponda uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 akisema, yalitokea matatizo makubwa ambayo hawajawahi kushuhudiwa...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2021KAMANDA wa Jeshi la Polisi mkoani Simiyu, ACP Blasius Chatanda, amesema mwanaume mmoja ambaye hakumtaja jina, amenusurika kifo baada ya kushambuliwa kwa...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021WADAU kutoka katika Asasi za Kiraia, wameanza kutoa maoni yao juu ya marekebisho ya Sheria ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar....
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakijutii kutoshiriki mkutano wa wadau wa siasa, kikidai baadhi ya maazimio yaliyotolewa na washiriki wake,...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021MMILIKI wa shamba lenye machimbo ya madini ya dhahabu, Iddrisa Hussein pamoja na wachimbaji wadogo wa eneo la Mahagi Kijiji cha Izunya...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeiomba Serikali kuimarisha utolewaji wa huduma za afya kwa wazee, kwa kuwa...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuongezeka kwa idadi ya watu wenye dalili za kukohoa, mafua, maumivu...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021HUMPHREY Polepole, Mbunge wa Kuteuliwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametoa ujumbe kuzungumzia adhabu ya kusimamishwa kwa kipindi chake cha Shule ya...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2021KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) imewaitaka wabunge wake watatu kuwahoji kutokana na sababu tuhuma zinazowakabili. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2021CHAMA cha Wataalamu na Wanataaluma wa Ustawi wa Jamii Tanzania (TASWO), kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kutangaza kuigawanya wizara...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2021OFISI ya Msajili wa vyama vya siasa pamoja na Baraza la Vyama vya Siasa limebebeshwa zigo la mambo 80 yaliyojadiliwa katika mkutano wa...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2021SAA chache baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kukisimamisha kwa muda kipindi cha ‘Shule ya Uongozi’ kinachoendeshwa na Mbunge wa kuteuliwa...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2021RUFAA ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili imepangwa kusikilizwa tarehe 14 Februari 2022,...
By Mwandishi WetuDecember 17, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia kuigawa Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto na kuunda wizara ya maendeleo...
By Mwandishi WetuDecember 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kwamba nusu ya watu duniani ni wanawake, bado sehemu kubwa ya dunia haijatoa nafasi stahiki...
By Mwandishi WetuDecember 16, 2021KANSELA mpya wa Ujerumani, Olaf Scholz amelihutubia kwa mara ya kwanza bunge leo Jumatano, tarehe 15 Desemba 2021 na kuelezea miongozo ya...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021Mahakama ya Afrika Kusini imeamua rais wa zamani wa Taifa hilo, Jacob Zuma anapaswa kurejea gerezani, kwa sababu msamaha wa kimatibabu aliopewa...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021MKURUGENZI wa Mashitaka ya Jinai nchini Tanzania (DDP), Sylvester Mwakitalu, amesema ofisi yake inaendelea “kuchambua na kupitia,” mamia ya majalada ya watuhumiwa...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, January Makamba amesema, Serikali itaendelea kutumia vifaa mbalimbali vya umeme vinavyozalishwa nchini hivyo, wazalishaji wanapaswa kuzingatia ubora...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021IKIWA imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 nchini Tanzania, zaidi ya vyama 10 vipya vimeomba usajili katika Ofisi ya Msajili...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufuata taratibu zote za kisheria na kumuachia Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021LICHA ya baadhi ya vyama vikuu vya upinzani nchini kutangaza kususia kikao cha wadau wa tasnia ya siasa kupitia Baraza la Vyama...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2021RAIS Samia amewaonya wabunge kuacha kufanya ubabe katika maeneo ya migodi ili wapewe pesa na kuzitumbua badala yake wasimamie pesa hizo za...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na diwani wa Kigamboni ambaye awali alipinga operesheni ya kuwahamisha wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na sasa ameanzisha...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2021HATIMA ya Mwimbaji nguli wa mtindo wa Rumba wa kutoka Jamhuri ya Kidemorkasia ya Kongo (DRC), Koffi Olomidé inatarajiwa kufahamika leo tarehe...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2021RAIS wa heshima wa Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji ameiomba bodi ya wakurugenzi wa timu hiyo, kukutana ili kuandaa...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2021