KAMPUNI Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Twende Butiama wamepanda miti na kusaidia madawati kwa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka walimu na wafanyakazi wa chuo hicho kuboresha huduma kwa wateja na kujiandaa kutoa mafunzo kidijitali ili...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2023KIJANA wa Kitanzania kwenye safari ya kutimiza ndoto zako najua utakuwa unawaza ni lini utazifikia hizo ndoto, lakini ukiwa na Meridianbet ni rahisi...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2023IKIWA ni sehemu ya dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya sekta elimu nchini, Benki ya NMB imekabidhi madawati na meza yenye thamani ya...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2023NAFASI ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako, lakini kuna kisa kimoja nataka ukifahamu kabla sijakupa mchongo kamili wa jinsi ya kutusua ulivyo....
By Mwandishi WetuOctober 4, 2023WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk Pindi Chana amefurahishwa na mafanikio ya utekelezaji wa mpango wa Serikali wa kusajili watoto wote chini...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2023KONGAMANO la kujadili mkataba wa bandari na upatikanaji katiba mpya, lililoandaliwa na wanaharakati akiwemo Dk. Wilbroad Slaa, kwa kushirikiana na taasisi ya Tanzania...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2023BEI ya mafuta ya petroli kwa mwezi Oktoba 2023, imepanda kwa Sh. 68, huku dizeli ikiongezeka kwa Sh. 189. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2023SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy, ameondolewa madarakani kwa tuhuma za kukiasi chama chake cha Republican, akituhumiwa kushirikiana na Serikali ya Rais...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2023KATIKA jitihada za kukuza na kuendeleza umoja miongoni mwa Watanzania na watu kutoka mataifa mengine, Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-Pesa iliungana...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2023UTAMU wa kubeti ule bhana, na ukitaka kula ni rahisi tuu weka dau lako dogo pata kikubwa zaidi. Mechi za Usiku wa Ligi...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023Makamu mwenyekiti wa Umoja wa wanawake CCM, (UWT), Zainab Shomari amesema Serikali imeendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya ujenzi wa miundombinu ya...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023JESHI la Polisi mkoani Songwe limewakamata watu wawili kwa tuhuza za kukutwa wakitengeneza noti bandia za nchini Zambia. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe…(endelea). Akizungumza...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023Shirika la afya la Duniani (WHO) limeridhia chanjo ya pili ya ugonjwa wa malaria kwa watoto ambayo inaweza kuokoa maisha ya maelfu ya...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023HOSPITALI ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na madaktari Bingwa kutoka nchi Japan kupitia taasisi ya Tokushikai Medical group ya Japan wanatarajia kuanzisha huduma...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023Benki ya Taifa ya Biashara – NBC imetumia maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwatembelea mawakala mbalimbali na wateja wa benki...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023WANANCHI wa Kijiji cha Kwikerege, kilichopo katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameamua kujenga zahanati yao ili kuepuka aza ya kutembea umbali...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya BetPawa Tanzania, jana Jumatatu imezindua awamu ya pili ya programu yake ya kuwasaidia Watanzania wenye mawazo chanya...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023HATIMAYE kilio cha wengi kimesikilizwa na sasa ni mwendo wa kujichukulia maokoto ya kutosha pale Meridianbet, ni kwa wale wazee wa kuzichanga...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023BENKI ya NMB imeanzisha dirisha maalumu la kuwahudumia Watanzania wanaoishi nje ya nchi, huduma ambayo Serikali imesema itasaidia kuongeza fedha diaspora wanazotuma na...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2023JE, unataka kushinda zawadi za kuvutia kama pikipiki, simuau mizunguko ya bure? Je, unapenda kubashiri michezo au kucheza sloti na kasino mtandaoni? Basi...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2023WAFANYABIASHARA waliopoteza mali zao katika ajali ya moto iliyotokea kwenye Soko la Kariakoo, maeneo ya Mnadani, wameiomba Serikali iwasaidie ili waweze kupata mitaji....
By Mwandishi WetuOctober 2, 2023CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Mobhare Matinyi kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2023KUELEKEA Kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki Oktoba 14, 1999, msafara wa waendesha baiskeli unaojulikana...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2023WANANCHI wametakiwa kuwaripoti askari polisi wanaowaomba fedha za mafuta ya gari kwa ajili ya kufika maeneo ya matukio, ili wachukuliwe hatua za kisheria....
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023SERIKALI ya Urusi imefungua milango ya ushirikiano wa kiuchumi, kijamii na teknolojia, kwa mataifa ya Afrika, huku ikiahidi kutoingilia masuala yake ya ndani....
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa pili wa jumla katika Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023KAMPUNI ya Meridianbet kama ilivyo kawaida yao kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii kile kidogo walichovuna, Leo mapema wamefika Zahanati iliyopo Sinza na kutoa...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman leo Jumamosi ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi na wafanyakazi kutoka taasisi...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023SERIKALI imeanza kutekeleza maombi ya Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo (CCM) ya kupeleka vifaa tiba na watumishi katika kituo kipya cha...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023Basi Jeshi la Magereza lenye namba MT 0040 limegonga treni ya abiria namba YD16 yenye injini namba 9015 iliyokuwa ikitokea mikoa ya Bara...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023WADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani mwezi Mei mwaka huu. CNN inaripoti …(endelea). Msemaji wa idara ya Serikali ya...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023KAMISHNA wa Polisi Utawala Menejimenti ya rasilimali watu, CP Suzan Kaganda amewataka askari Polisi wanawake kuchangamkia fursa za elimu ili kuongeza ujuzi...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023MWEZI wa Oktoba wengi hupenda kuuita mwezi wakutoboa wakiwa na maana ya kwamba, maokoto yanakuwamengi sana, huenda ikawa ni kweli lakini nataka nikuibiesiri...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa ya viwanda ambapo...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Ally Senga Gugu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amepokea Mwenge wa Uhuru...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023PROGRAMU ya “Learning for Life” imetimiza dhamira ya Serengeti Breweries Limited (SBL) ya kuwawezesha zaidi ya vijana 400 Hanang kupitia stadi muhimu na...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara ya Madini ya Serikali ya Uganda kushiriki...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi za kusoma vyuo vikuu ndani...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amefungua milango ya ushirikiano kwa vikundi vya kijeshi vya kujitolea ,ili kuongeza nguvu katika vita kati yake na...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023WATU takribani 50 wamefariki dunia huku wengine 50 wakijeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea karibu na msikiti nchini Pakistan, wakati wakisherehekea sikukuu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewataka watumishi wa umma wanaofanya makosa ya rushwa, uhujumu uchumi na ufisadi, waache mara moja kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023BAADA ya kupita maeneo mbalimbali hatimae kampuni yaMeridianbet imeibukia mitaa ya Tandika jijini Dar-es-salaam na kufanya uzinduzi wa duka jipya ambalo litatoahuduma zote...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023Zaidi ya Sh bilioni tano zimewekezwa katika kampuni ya MSALABS inayomiliki maabara ya upimaji wa sampuli za madini kwa kiwango cha kimataifa mkoani...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo yao ili...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imetoa mafunzo kwa wakulima ili waweze kutumia viuatilifu vilivyosajiliwa kwa usahihi. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023SERIKALI imewaomba viongozi wa dini, waendelee kuelimisha wananchi kudumisha amani na umoja, ili kuleta maendeleo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Wito huo umetolewa na...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023CHANGAMOTO ya afya ya akili, imetajwa kuwa chanzo cha migogoro inayopelekea ndoa nyingi kuvunjika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 28...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2023