Saturday , 4 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Vijana 400 waguswa na programu ya “Learning for Life” ya SBL
Habari Mchanganyiko

Vijana 400 waguswa na programu ya “Learning for Life” ya SBL

Spread the love

 

PROGRAMU ya Learning for Life” imetimiza dhamira ya Serengeti Breweries Limited  (SBL) ya kuwawezesha zaidi ya vijana 400 Hanang kupitia stadi muhimu na maarifa kwa ajili ya maendeleo yao, ujuzi wa kibiashara, usimamizi wa fedha, na mipango bora ya biashara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Manyara … (endelea).

 Mafunzo hayo ya siku 3 yamekamilika na yametimiza lengo lake la kutoa Mafunzo ambayo yamewaandaa  vijana na stadi za kujiajiri na kujenga fursa za kazi. lengo kuu la Serengeti Breweries Limited ni kuwasaidia kutambua fursa na kuzitumia ipasavyo.

Programu hiyo iliwakutanisha na  wa kutengeneza mtandao wa watu wa ujuzi mbalimbali , kujifunza kutoka kwa wataalamu, na kupata ufahamu wa vitendo kutoka sekta tofauti, yote kwa lengo la kupunguza ukosefu wa ajira, kupunguza umaskini, na kujenga mustakabali ulio bora kwa vijana wa Wilaya ya Hanang.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

RPC Dodoma akabidhiwa bunduki mbili za wahalifu

Spread the love  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa ya Kulevya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Spread the loveBenki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

error: Content is protected !!