Jeshi la Israel linadai kuwa hadi sasa limeshawaua viongozi sita wa juu wa kundi la Hamas tangu kuanza vita dhidi ya Ukanda wa...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023TIMU ya Singida Fountain Gate, maarufu kama Singida Big Stars, imemwalika Rais Samia Suluhu ahudhurie katika mechi zake kama anavyofanya kwa timu nyingine...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, Prof. Sospeter Muhongo (CCM) ameitaka Serikali imuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, kwa kukamilisha ndoto...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imechoka kwa kuwa imeshindwa kutafuta suluhu ya changamoto ya mgawo wa umeme. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, amesema tangu Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan iingie madarakani, bajeti ya mkoa huo imeongezeka...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023BAADA ya safari ya siku 14, zaidi ya kilometa 1,500 kupita wilaya 20 za mikoa 10 tofauti nchini, hatimaye msafara wa waendesha baiskeli...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023KUFUATIA kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama nchini Israel na maeneo mengine ya jirani, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandaa mpango...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi wa miji mikubwa nchini, kuchukua jitihada za makusudi katika kuandaa mikakati ya kukabiliana athari za mvua...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameagiza apewe ripoti ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya watumishi wa umma waliohusika katika usimamizi wa miradi saba yenye...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, amewataka viongozi wa umma wanaotumia nyadhiofa zao kujilimbikizia mali, wajitafakari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Manyara…(endelea). Dk. Mpango ametoa...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki misa ya kumuombea Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyefariki dunia tarehe 14 Oktoba 1999. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023Viongozi sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali ya gari ya abiria Toyota Haisi lenye namba...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023MAELFU ya wananchi mkoani Manyara, wamejitokea kumpokea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ili kumuunga mkono kwa kazi kubwa anayofanya kuleta maendeleo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023Jeshi la Polisi Tanzania limewataka watu wote wanaomiliki silaha pasipo kuwa na vibali, kutumia msamaha wa usalimishaji silaha kwa hiyari, kusamilisha silaha hizo...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023Uongozi wa Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML) ambao ndio wadhamini wakuu wa Klabu ya Geita Gold FC. yenye maskani yake mkoani...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi ya mtandao binafsi...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha wanaanzisha miradi ya...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023NAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kutoa mafunzo ambayo yanaendana na soko la ajira na kuwashauri...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023MPIRA wa Miguu ni sehemu ya kaaida ya maisha ya wanadamu, mashabiki na wachezaji huwa na hisia moja ya kushangilia ushindi...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited kupitia chapa yake ya Serengeti Premium Lager, inafurahi kutangaza ushirikiano wake na Polisi wa Trafiki wa Tanzania kwa...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023WAPALESTINA waishio katika Ukanda wa Gaza, wameanza kukimbia makazi yao baada ya Israel kuwapa saa 24 wakitaka wahamie sehemu nyingine ili kupisha mashambulizi...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kutekeleza ahadi yake ya kuunda baraza la vijana la taifa, ili...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023MAAFISA usafirishaji abiri kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda, wameishukuru Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaondolea changamoto zilizokuwa zinawakabili ikiwemo...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema viongozi wa umma wanaofanya vibaya katika utekelezaji wa majukumu yao, hawatapewa nafasi nyingine serikalini. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023UPATIKANAJI huduma ya maji safi na salama Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, umeongezeka kutoka asilimia 72 iliyokuwa kabla ya 2021 na kufikia 92%,...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023IFANYE Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake ya bahati...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023JENGO la Dakhalia la Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame ilioko Kibuteni Wilaya ya Kusini Unguja, limeungua moto sehemu ya juu, imeripotiwa....
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Richard Rwanyakaato Kiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi Eneo la...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023ALIYEKUWA Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Dk. Rugemeleza Nshala leo Alhamisi amehojiwa na katika Kituo cha Polisi Kanda Maalumu Dar Es Salaam...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023WANANCHI wa Mkoa wa Manyara, wameahidi kumchagua kwa kishindo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa 2025, kutokana na kazi kubwa...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023Katika kuhakikisha Tanzania inalinda rasilimali madini ili zichangie maendeleo ya nchi na kuinua uchumi wa watanzania, Serikali imesimamisha leseni zote nchini za Kampuni...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023Chama Cha Mapinduzi – CCM, wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro kimewataka watendaji wote wa serikali wilayani hapa kuacha uzembe kazini na kufanya kazi...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023Serikali kupitia Wizara ya Madini imetatua rasmi mgogoro wa wachimbaji wadogo wa madini uliodumu kwa mwaka mmoja katika Kitongoji cha Mafurungu – Wilaya...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023BURAK Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa mwanamitindo wakati...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023DIEUDONNÉ Murengerantwari anatuhumiwa na wizara ya sheria ya Burundi kwa madai ya kuhujumu utendaji wa uchumi wa taifa, ufisadi na ufujaji wa mali...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023WAKATI vita kati ya Israel na Palestina ikizidi kushika kasi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2000, asilimia kubwa ya wafuatiliaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023WAKILI Boniface Mwabukusi amedai Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limemhoji kuhusu tuhuma za kutumia wimbo wa chama kingine ambacho kinatajwa kuwa ni Chadema...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023BENKI ya NMB kupitia Klabu za Biashara ‘NMB Business Club’ imeandaa mafunzo ya kifedha kwa wafanyabiashara jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewataka vijana kuchangamkia fursa ya mkopo wa Mshikofasta inayotolewa na...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023SERIKALI ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kutekeleza ahadi yake ya kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyrere, kwa kufufua...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023HALI za wapalestina waishio ukanda wa Gaza, imezidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya anga na mabomu yanayoendelea kufanywa na Israel, ambayo yamesababisha...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru,...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023SERIKALI imeahidi kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa wamiliki wa shule binafsi, ili ziweze kutekeleza majukumu yake vizuri ya kutoa elimu bora kwa...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limemwachia Wakili Boniface Mwabukusi, baada ya kumshikilia kwa saa kadhaa tangu alivyoitikia wito wa kuripoti ili kuhojiwa...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitawabeba viongozi mizigo katika chaguzi zijazo, huku kikiwataka waliopewa dhamana wakati huu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023EXPANSE Studios iko tayari kuandika historia huko G2E Las Vegas, ambayo ni Roma ya sasa kwenye ulimwengu wa iGaming, ili kuwasilisha bidhaa...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023WATENGENEZAJI wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino mtandaoni, ukikutana na wachezaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2023MAPIGANO ya kijeshi kati ya Kundi la Hamas la Palestina na Jeshi la Israel, yaliyoanza Jumamosi iliyopita, yamepoteza maisha ya watu zaidi...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2023WAKULIMA katika mabonde ya Bugwema na Suguti, katika Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji ili...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2023NAIBU waziri, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewataka watumishi wa umma, kutokimbia kufanya kazi pembezoni mwa nchi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2023