Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Kiza ateuliwa Kamishna Uhifadhi Ngorongoro
Habari Mchanganyiko

Kiza ateuliwa Kamishna Uhifadhi Ngorongoro

Spread the love

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Richard Rwanyakaato Kiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi Eneo la Ngorongoro (NCAA). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Kabla ya uteuzi Kiiza alikuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA).

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imesema uteuzi huo unaanza leo tarehe 12 Oktoba, 2023.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

RPC Dodoma akabidhiwa bunduki mbili za wahalifu

Spread the love  Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa ya Kulevya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Spread the loveBenki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi waidai STAMICO mishahara ya bilioni 1

Spread the loveWALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa...

error: Content is protected !!