BENKI ya NMB imetoa traksuti kwa mkoa wa Mtwara ambako kutafanyika shughuli ya kuwashwa Mwenge wa Uhuru Aprili 2, 2023, katika Uwanja wa...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023WAKATI serikali ikiweka mikakati mbalimbali kuimarisha sekta ya kilimo ili kuwanusuru wananchi wake na baa la njaa, kampuni ya mbolea -Yara imezindua...
By Faki SosiMarch 28, 2023MKULIMA maarufu wa mazao ya alizeti, mahindi, mpunga pamoja na mazao mengine ya chakula katika mkoa wa Mbeya, Raphael Ndelwa amesema shehena...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2023MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania tarehe 29 Machi 2023 na kupokewa na Makamu wa Rais Dk. Philip...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023UJIO wa Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, nchini Tanzania unaweza kuwa fursa ya kurudishwa kwa ufadhili wa Marekani kupitia Shirika la...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023TANZANIA ni miongoni mwa nchi tatu barani Afrika zitakazotembelewa na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris zingine zikiwa ni Ghana na Zambia. ...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023KAMPUNI ya Kitanzania inayowezesha huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya kidigitali sehemu mbalimbali duniani (NALA), imepata leseni ya Benki Kuu...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ameipongeza Benki ya NMB na kuitaja kuwa kinara katika kuunga mkono jitihada za Rais Samia...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza makatibu wakuu wote, wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa taasisi za umma kuhakikisha taasisi zote za serikali kuanzia ngazi...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema wizara hiyo ipo hatua ya mwisho ya kukamilisha utayarishaji wa mkakati wa...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023MGOMBEA Urais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Wakili Harold Sungusia, amesema malengo yake ni kukikwamua chama hicho ili kiweze kutoa mchango...
By Regina MkondeMarch 27, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), linatarajiwa kufanya kongamano la siku nne kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali kuhusu tasnia ya habari, ikiwemo Muswada...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa kushirikiana na Mdundo, kampuni ya huduma ya muziki, imeendesha semina ya uwezeshaji kwa wasanii wa kike...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023MAHAKAMA ya Tanzania imesema si kweli kwamba imeshindwa kusikiliza mashauri ya watuhumiwa wa ugaidi kutokana na ukosefu wa bajeti. Taarifa hiyo imekuja kufuatia...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2023RAIA wa China, Zheng Yuan Feng, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumjeruhi mfanyakazi mwenzake katika mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa...
By Mwandishi WetuMarch 25, 2023WADAU wa Umoja wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), wameuchambua Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, uliowasilishwa bungeni jijini...
By Mwandishi WetuMarch 25, 2023WATENDAJI wa kata, mitaa na vitongoji na maofisa afya wote ndani ya Jiji la Dodoma wametakiwa kuhakikisha wanasimamia usafi wa mazingira ambao...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2023MTIA nia ya kugombea Urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Sweetbert Nkuba amelaani kuenguliwa kwa jina lake kwenye hatua za awali...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza uzinduzi wa kampeni ya mkeka wa ushindi na ATM za NBC inayolenga kuwapa watumiaji wake nafasi...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2023UBALOZI wa Uholanzi nchini Tanzania, umempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuimarisha uhuru na utendaji wa vyombo vya habari nchini.Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2023KAMATI ya Uchaguzi ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), imetangaza majina ya walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu...
By Regina MkondeMarch 23, 2023SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limepokea ugeni wa wanafunzi wanajeshi wanaoshiriki kozi ya ukamanda na unadhimu kutoka nchini Namibia ambao wametembelea ujenzi wa...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2023BENKI ya NMB imetoa msaada vifaa mbalimbali kwa sekta za elimu na afya vyenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa Wilaya za Kanda...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2023Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 37 anakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mpenzi wake aliyefahamika kwa jina moja la Milca...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2023KAMISHNA wa Madini Dk. AbdulRahman Mwanga ameitaka Taasisi ya Kuendeleza Uchimbaji Mdogo (FADev) kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa majukumu yake ili...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2023KATIBU Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amekabidhi rasmi Uenyekiti wa Kamati ya Wataalam wa Nchi Zinazozalisha Almasi Afrika (ADPA) kwa Katibu...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amekutana na kuzungumza na Balozi wa Marekani nchini, Michael...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2023BENKI ya NMB imetenga mikopo ya Sh20 bilioni itakayotumika kuchangia maendeleo ya sekta ya kilimo nchini ikiwa ni dhamira ya benki hiyo katika...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na wenyeji wake Halmashauri ya Mji Geita, Wilaya ya Geita pamoja...
By Gabriel MushiMarch 21, 2023MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania imetangaza kuchukua hatua kali za kisheria kwa chombo chochote cha utangazaji ambacho kitabainika kuendeela kurusha taarifa zenye maudhui ya...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023WAZIRI wa Kilimo, Hussen Bashe, amesema wizara hiyo tayari imegawa pikipiki 5,500 kati ya 7000 zilizonunuliwa kwa ajili ya maafisa ugani kusimamia...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amewataka mawaziri kushirikiana kwa pamoja katika utekelezaji wa mashamba makubwa ya pamoja katika Programu ya Building...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023IMEELEZWA kuwa vitendo vya uvunjifu wa maadili kwa wauguzi na wakunga pamoja na ‘vishoka’ ambao wamekuwa wakijiingiza katika taaluma hiyo bado ni kikwazo...
By Danson KaijageMarch 18, 2023UONGOZI wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Kata ya Chamwino mkoani Dodoma umefanya matembezi ya amani ya kuunga mkono kauli ya Muft Mkuu...
By Danson KaijageMarch 18, 2023MACHI 19, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan anatamiza miaka miwili ya kuiongoza Tanzania baada ya kifo cha Rais wa awamu ya tano, John...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2023RAI imetolewa kwa Wakuu wa Wilaya nchini kuwa mstari wa mbele kubaini na kuibua mienendo isiyofaa ndani ya jamii ikiwemo vitendo vya...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2023MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kubaka inayomkabili Isack Jacob kutokana na hali ya...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023KWA mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula mwaka hadi...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023JAMII imesisitizwa kuona umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji utakaosaidia kutorudisha nyuma jitihada za upandaji miti na uhifadhi wa mazingira zinazofanywa...
By Christina HauleMarch 17, 2023IBADA maalum ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, imefanyika katika Kanisa la Mt. Yohana Mria Muzeyi,...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amesema mojawapo ya kampuni za madini zinazoongoza nchini kwa kutafsiri na kutekeleza vyema matakwa ya Sheria...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023CHAMA cha Mabenki Tanzania (TBA) kimetoa wito kwa taasisi za kifedha nchini kuhakikisha kuwa makundi yote kwenye jamii hususani wanawake ushirikishwaji wao unapewa kipaumbele....
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya wasoma mita za maji nchini kuacha tabia ya kuwabambikia wananchi bili kubwa za maji kwani hatua hiyo inaichafua...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya utalii wa ndani ili kuinua pato la Taifa ikiwa ni pamoja na kujivunia rasilimali muhimu za nchi...
By Danson KaijageMarch 16, 2023MTANDAO wa Kilimo Hai Afrika (AfrONet), umempongeza Mwenyekiti wa Taasisi ya Kilimo Hai Tanzania (TOAM), Dk. Mwatima Juma kwa kuteuliwa na Rais...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imesema katika kuboresha mfumo wa ukusanyaji mapato, imeanza kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo...
By Gabriel MushiMarch 16, 2023MENEJA wa Shirika la kuhudumia viwanda vidogo Tanzania (SIDO) Mkoa wa Morogoro, Joan Nangawe anasema juhudi za kumkomboa mwanamke na kumtoa katika...
By Christina HauleMarch 16, 2023MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Sylvester Masinde amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimesema kina mpango wa kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kuwasilisha ombi la kufanyiwa...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023