BENKI ya NMB imetoa traksuti kwa mkoa wa Mtwara ambako kutafanyika shughuli ya kuwashwa Mwenge wa Uhuru Aprili 2, 2023, katika Uwanja wa Nangwada Sijaona. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Col. Ahmed Abasi (wapili kulia) akipokea moja ya traksuti zitakazovaliwa na halaiki katika sherehe za kuwashwa kwa mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kaimu meneja wa Kanda ya kusini wa Benki ya NMB, Roman Degeleki (wapili kushoto) katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa Nangwanda sijaona, uwanja ambao shuguli ya uwashaji wa mwenge wa uhuru utafanyika. Kushoto ni Meneja wa mahusiano ya benki ya NMB na serikali wa kanda ya Kusini, Augustino Bayona
NMB imetoa traksuti hizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara (RC), Ahmed Abasi kutoka kwa Kaimu meneja wa Kanda ya kusini wa Benki ya NMB, Roman Degeleki.
Wapambania haki za Binadamu wamebuni Mbinu za Mwanamke kupata SIFA ZINAZOSTAHIZI KWA KUMWEKEA VIKWAZON VYA KILA MTU ANATAKIWA KUMUONA MWANAE ALIYEMZAA (MZEE/kabila ANATAKA URAIS KULE ULIKOENDA KUONA). MHE ULIKOOA KULE KUNA MTU ANATAKIWA KUGAWA NCHI YA TANZANIA KILA MKOA UWE NCHI..
KAMA UNA MATOTO WA KIKE UNAJUA FURSA ULIONAYO KAMA MZAZI
KAMA UNA MTOTO WA KIUME UNAJUA FURSA ULIYONAYO USIMSAHAU BASH YUPO KULE