Tuesday , 7 May 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Abdul Kambaya ang’atuka Chadema,”mimi sio wa kwanza kuondoka”

MWANASIASA maarufu nchini Abdul Kambaya ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiwa zimepita siku 52 tangu alipojiunga na...

Habari Mchanganyiko

Madiwani Songwe wachachamaa mradi wa milioni 600 kukwama

MADIWANI katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe, wamemjia juu meneja wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (RUWASA)...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Mchakato wa kuandaa muswada wa sheria ya habari umefikia 80%

SERIKALI za Tanzania Bara na Zanzibar zimesema mchakato wa kupatikana kwa Sheria ya Habari yenye kukidhi mahitaji ya wadau upo katika hatua za...

Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri aipongeza GGML kwa kutoa fursa za ajira, zabuni kwa Watanzania

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu, Patrobas Katambi ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Habari Mchanganyiko

SDGCA yazifunda asasi za  kirai kuhusu fursa za SADC

ASASI za Kirai (CSOs) na sekta binafsi nchini zimeshauriwa kushiriki kikamilifu fursa zilizopo kwenye nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

Habari Mchanganyiko

DC Mgeni ataka usimamizi  wa miradi ya maendeleo

MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka watendaji Serikali kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo ya maji, ili iweze...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania – NGOs

  MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema...

Habari Mchanganyiko

Ulega atangaza mabadiliko mifugo na uvuvi, nyama ya Tanzania dili Uarabuni

WAZIRI wa Mifugo na uvuvi, Abdallah Ulega ameomba kuidhinishiwa jumla ya Sh. 296 bilioni kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka...

Habari Mchanganyiko

WEMA: Kutenganisha taka ndio njia rahisi ya utunzaji mazingira

  IMEELEZWA kuwa kutenganisha takataka wakati wa kuzitupa ndio njia rahisi itakayosaidia kuhifadhi mazingira na kuleta manufaa kwa jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro...

Habari Mchanganyiko

GGML yaibuka kampuni kinara inayozingatia malengo ya SDGs

KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika tuzo za kampuni za kibiashara zilizoonesha kwa vitendo...

Habari Mchanganyiko

Sheikh Ponda atia mguu sakata la mali za BAKWATA

  KATIBU wa Shura ya Maimamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanajipanga kuishauri Serikali namna bora ya kupata suluhu dhidi ya mali za...

Habari Mchanganyiko

NMB ‘yawapiga msasa’ wanawake wa TUICO Morogoro

WANAWAKE wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri Tanzania (TUICO), wametakiwa kuvutiwa na mafanikio kitaifa na kimataifa...

HabariHabari Mchanganyiko

Sekta ya Mawasiliano imekuwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi nchini-Mohamed

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serikali Mapinduzi Zanzibar Khalid Salum Mohamed miaka ya hivi karibuni kumekuwa na maendeleo makubwa katika sekta ya...

Habari Mchanganyiko

St. Mary Goreti yaonesha njia, yazindua harambee kubwa kuelekea Jubilee

  SERIKALI mkoani Kilimanjaro imeupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti iliyoko Moshi, kwa ubunifu na juhudi katika kuboresha na...

HabariHabari Mchanganyiko

TCRA yawataka wasafirishaji wa vipeto kujisajili na wengine kuhuisha leseni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa wito kwa wadau wa posta wenye leseni kuhakikisha kuwa wanafuata taratibu, kanuni na sheria...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa akagua maandalizi sherehe Mei Mosi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi kuelekea sherehe za siku ya wafanyakazi duniani zitakazofanyika kesho Mei 1, 2023 kitaifa Mkoani Morogoro...

Habari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho ya OSHA, yaibuka benki kinara yenye sera bora ya usalama, afya mahali pa kazi

KATIKA maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi duniani yanayoratibiwa kitaifa na Wakala wa Afya na Usalama Mahali pa kazi...

Habari Mchanganyiko

Benki ya Mwanga wazindua tawi jipya Arusha

BENKI ya Mwanga Hakika (MHB) imezindua tawi jipya na la kisasa jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kutanua mtandao wake wa...

Habari Mchanganyiko

Watoto 37 wafariki kwa kusombwa na maji, Polisi watoa onyo

  JESHI la Jeshi la Polisi Tanzania limetanga kuwa watoto 37 wamepoteza maisha katika matukio ya kusombwa na maji katika maeneo mbalimbali nchini...

Habari Mchanganyiko

Tamisemi yafunguka usiri ajali ya Naibu Waziri, Dk. Mpango amjulia hali

  HATIMAYE Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetoa taarifa rasmi kuhusu hali ya kiafya ya Naibu Waziri wake, Dk. Festo Dugange, aliyepata ajali jijini...

Habari Mchanganyiko

Barrick yang’ara maonesho ya OSHA- 2023, yatwaa tuzo 6, mshindi wa jumla

KAMPUNI ya Barrick Tanzania imenyakua tuzo sita katika kilele cha maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi yanayofanyika katika Viwanja...

Habari Mchanganyiko

NMB yajitosa sherehe za Mei Mosi, yatoa milioni 50

WAKATI Watanzania wakiungana na wafanyakazi wengine duniani kusherekea sikukuu ya wafanyakazi maarufu ‘Mei Mosi,’ Benki ya NMB imejitosa kufadhili sherehe hizo. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu matatani tuhuma za ubakaji mwanafunzi

  MWALIMU Tunu Broun (37) wa shule ya msingi Senjele wilayani Mbozi mkoani Songwe amedaiwa kutokomea kusikojulikana akikwepa mkono wa sheria baada ya ...

Habari Mchanganyiko

DC Momba awataka madiwani kubuni mbinu za ukusanyaji mapato

  MKUU wa wilaya ya Momba mkoani Songwe, Fakii Lulandala amewataka watendaji na madiwani kupanga mbinu mpya za kuhakikisha wanabuni vyanzo vipya vitakavyoongeza...

Habari Mchanganyiko

Halmashauri Dodoma yadaiwa kuwaliza bilioni 2 wafanyabiashara soko la Majengo

  KWA kipindi cha miezi 16 mpaka sasa wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo Jijini Dodoma wamedai kupata hasara ya zaidi ya Sh...

Habari Mchanganyiko

Prof. Muhongo aitahadharisha serikali utoaji leseni za uchimbaji madini mapya

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, amezitaka Serikali kuwa makini katika utoaji leseni za uchimbaji madini mapya ya kimkakati, ili yanufaishe...

Habari Mchanganyiko

11,580 wasota mahabusu kusubiri kesi zao kusikilizwa

  MWENYEKITI wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu amesema kuwa mpaka kufikia Aprili mwaka huu, takwimu...

Habari Mchanganyiko

DC Uyui awataka wananchi kutoa ushirikiano zoezi utwaaji ardhi

  MKUU wa Wilaya ya Uyui,  Zakaria Mwansasu amewataka wananchi wa kijiji cha Malongwe kutoa ushirikiano kwa timu kutoka Shirika la Reli Tanzania...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia, atembelea banda la NMB

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa kuhusu uwepo wa watu...

Habari Mchanganyiko

Wahamasisha uzalishaji ‘Pedi’ za kufua kupunguza gharama, uharibifu mazingira

JAMII imetakiwa kujikita katika uzalishaji wa taulo za kike za kufua ‘Pedi’, ili kuimarisha hedhi salama kwa watoto wa kike, pamoja na kuhifadhi...

Habari Mchanganyiko

GGML yaibuka muonyeshaji bora katika maonyesho ya OSHA- 2023

KATIKA maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi  yanayoratibiwa na Wakala wa afya na usalama mahali pa kazi (OSHA), Kampuni...

Habari Mchanganyiko

Infinix, Vodacom wazindua Infinix Hot 30 na chemsha Bongo ya Tech kwa wanachuo 

KAMPUNI ya Vodacom kwa kushirikiana na Infinix leo wametangaza uzinduzi wa sim mpya ya Infinix toleo la HOT  30 pamoja na kampeni ya...

Habari Mchanganyiko

Prof. Ndalichako awataka waajiri kuzingatia sheria ya afya, usalama mahali pa kazi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Prof. Joyce Ndalichako amewataka waajiri wote nchini kuchukua hatua ya...

Habari Mchanganyiko

GGML yaja na teknolojia za kisasa maonesha ya afya na usalama mahali pa kazi

KATIKA kuadhimisha siku ya usalama na afya mahala pa kazi duniani – 2023 ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Morogoro, Kampuni ya Geita Gold Mining...

Habari Mchanganyiko

NMB yaahidi neema ya meza, viti shule ya Sekondari ya Kumbukumbu ya Sokoine

 BENKI ya NMB ipo mbioni kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa kumaliza changamoto ya upungufu wa meza na viti kwa walimu wa shule ya...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi wa Tigo wapata mafunzo ya usalama kazini

  WAFANYAKAZI zaidi ya 400 wa kampuni ya simu za mkononi TIGO wamepewa mafunzo ya usalama na Afya mahali pa kazi mwanzoni mwa...

Habari Mchanganyiko

TEF yataja hatua itakayochukua maoni yakiachwa Muswada Sheria ya Habari

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema litaendelea kutumia njia za diplomasia kuhamasisha maoni ya wadau yaliyoachwa katika Muswada wa maboresho ya Sheria...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa awataka wananchi kuitumia kampeni ya Samia Aid kutokomeza ukatili

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi watumie huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign), kutokomeza vitendo vya...

Habari Mchanganyiko

Mfumo wa barcodes, Qrcodes mkombozi kwa wafanyabiashara na nyaraka muhimu

  WAFANYABIASHARA nchini wameshauliwa kulinda bidhaa zao na kuziongezea ubora wa  thamani kwa kutumia mfumo wa Barcodes huku watumiaji wa nyaraka muhimu ambazo...

Habari Mchanganyiko

Watu milioni 2.9 hufariki dunia wakiwa sehemu za kazi

  SERIKALI imesema kuwa takwimu zilizokusanywa mwaka 2022 zinaonesha jumla ya watu milioni 2.9 hupoteza maisha duniani wakiwa katika mazingira ya kazini huku...

Habari Mchanganyiko

NMB yatenga bilioni 1 kuwawezesha wabunifu wanaochipukia

BENKI ya NMB imeendelea kuunga mkono juhudi ya Serikali kupitia Wizara ya Sayansi, Elimu na Teknolojia, kwa kutenga kiasi cha bilioni moja kwa...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kuthamini bunifu za ndani

  MKURUGENZI  Mkuu wa  COSTECH, Dk. Amos Nungu amewataka watanzania kuziamini na kuzitumia bunifu zinabuniwa na vijana wa kitanzania ikiwemo kuzinunua na kurejesha...

Habari Mchanganyiko

Polisi Dodoma waua wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi

JESHI la Polisi mkoani Dodoma limewathibiti na kuwaua majambazi wanne wa kiume ambao majina yao bado hayajatambulika wenye umri kati ya miaka kati...

Habari Mchanganyiko

Halmshauri Tunduma yacharuka, yataka vikundi 50 kurejesha bilioni 1.2 za mikopo

  HALMASHAURI ya mji Tunduma, wilayani Momba mkoani Songwe imevitaka vikundi vyote vilivyokopa mikopo ya asilimia 10 kurejesha kwa wakati wakati wakiendelea kusubiri...

Habari Mchanganyiko

Uholanzi yaridhishwa na mazingira ya biashara, demkkrasia na utawa bora nchini

  BALOZI wa Uholanzi nchini Tanzania, Wiebe de Boer ameeleza kuridhishwa na mazingira ya biashara na uwekezaji, demokrasia, haki za binadamu na utawala...

Habari Mchanganyiko

Kampuni yashusha neema kwa wakulima wa tumbaku Tabora

  KAMPUNI ya Mkwama imejitosa katika ununuzi wa zao la tumbaku mkoani Tabora na kuwataka wakulima wa mkoa huo kulima kwa wingi zao...

Habari Mchanganyiko

Wabunge watoa mbinu za kuongeza mapendekezo yaliyoachwa kwenye Muswada wa Habari

  WADAU wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), wameshauriwa kuwasilisha hoja nzito zitakazoshawishi wabunge kuwasilisha bungeni maoni yao yaliyoachwa katika Muswada wa Sheria...

Habari Mchanganyiko

Mradi mpya wa AMDT, TARI wazalisha tani 40 za mbegu za alizeti

  MFUKO wa Maendeleo ya Masoko ya Kilimo (AMDT) kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) umeanza kutekeleza mradi endelevu...

Habari Mchanganyiko

Makamba: Maji Bwawa la Nyerere yamefikia mita za ujazo bilioni 6

WAZIRI wa Nishati January Makamba ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujazaji maji Bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere Hydro Power. Kwa sasa...

Habari Mchanganyiko

Wabunge wapokea maoni yaliyoachwa kwenye muswada wa habari

  BAADHI ya wabunge wameanza kupokea mapendekezo ya wadau wa habari yaliyoachwa katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma ya Habari ya...

error: Content is protected !!