NAIBU Waziri wa Maji, Eng. Maryprisca Mahundi ametoa pongezi kwa Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kwa mchango wake wenye bidii katika...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2023RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuonesha njia katika kuunga mkono malengo ya Serikali kwenye mapambano...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2023IMEELEZWA kuwa matumizi ya uzio wa mizinga ya nyuki umewezesha kudhibiti tembo waharibifu ambao wamekuwa wakitoka Hifadhi ya Taifa ya Milima ya...
By Seleman MsuyaJuly 17, 2023WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia mradi wa Uboreshaji Usalama wa Miliki za Ardhi (LTIP) inakusudia kupanga, kupima na kusajili...
By Danson KaijageJuly 16, 2023UONGOZI wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) Pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga wametembelea Uwanja wa...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2023TUME ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini, imetoa mapendekezo juu ya masuala mbalimbali yanayohusu mfumo huo, ikiwemo dhamana kwa...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2023JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeanza uchunguzi wa tukio la kifo cha Felix Mgeni, anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa...
By Regina MkondeJuly 14, 2023WATU 18 abiria waliokuwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha kwa kutumia gari aina ya Coaster, wamenusurika kifo baada dereva wa...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023JESHI la Polisi limesema kuwa litaendelea kuunga mkono juhudi za Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la ulinzi na usalama Daktari Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2023RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kesho Ijumaa tarehe 14 Julai 2023 anatarajiwa kuwaaga jumla ya washiriki 61 watakaopanda mlima Kilimanjaro kupitia kampeni...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2023KAMPUNI ya Ubongo inayozalisha vipindi vya elimu burudani Afrika, ina furaha kuwatangazia maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikisherehekea muongo mmoja...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2023IMEELEZWA kuwa kitendo cha wastaafu kuwekeza fedha zao za fao katika miradi ambayo hawana uzoefu nayo imetajwa kuwa ni moja ya chanzo cha...
By Danson KaijageJuly 13, 2023MWANASIASA mkongwe na Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Balozi Dk. Willbroad Slaa ametangaza kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika jijini Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023JAMII imeaswa kuacha kujisaidia vichakani na badala yake imetakiwa kujenga na kutumia vyoo bora ikiwa ni pamoja na kunywa maji yaliyochemshwa na kunawa...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023KATIKA kukabiliana na majanga ya moto, Halmashauri ya mji Tunduma mkoani Songwe umetenga Sh 377 milioni za mapato ya ndani kununua gari la...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantum Mgonja ameipongeza kampuni ya Mainstream Media Limited kwa uwekezaji uliofanywa katika mkoa wa Kigoma....
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inakwenda kuunganisha mafunzo ya vitendo kwa vijana kupitia mpango wa “Jenga Kesho Iliyobora” Building Better Tomorrow (BBT)...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limepiga hatua katika kufungamanisha sekta ya madini na nishati kwa kuongeza uzalishaji wa Nishati mbadala ya Rafiki...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeitahadharisha jamii kuacha tabia ya kujenga makazi yao karibu na hifadhi za wanyamapori zikiwemo shughuli za...
By Danson KaijageJuly 10, 2023MAAGIZO ya Rais Samia Suluhu Hassan yamesaidia kushusha bei ya mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi wa pili mfululizo, huku...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francisco amemteua Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu la Tabora, Protase Rugambwa kuwa kardinali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJuly 9, 2023WADAU wanaofadhiri fedha kwa ajili ya kuwezesha mpango wa kunusuru kaya maskini katika kipindi cha pili kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...
By Danson KaijageJuly 9, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro kimesema uamuzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Mpango wa Kuhifadhi Tembo Kusini mwa...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2023SERIKALI imenunua mtambo wa kisasa uligharimu zaidi shilingi bilioni 13 kwa ajili yakuchoronga visima vya uzalishaji wa nishati jadidifu ya Jotoardhi ambayo ni...
By Seleman MsuyaJuly 9, 2023SERIKALI imetumia helkopta kutafuta makundi ya tembo waharibifu waliozagaa katika vijiji 25 vya wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kuwavisha vifaa maalum vya...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023JUMLA ya kesi 72 za makosa ya usafirishaji haramu wa binadamu zilifunguliwa mkoani Songwe huku watuhumiwa 127 wakihukumiwa baada ya kukutwa na hatia...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023ZAIDI ya wakazi 13,051 wa vijiji vya Ntembo, Msia, Ikumbilo na Mlale kutoka wilaya ya Ileje mkoani Songwe wameiomba Serikali iharakishe ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua programu maalum ya ujenzi wa vituo maalum 16 kwa ajili ya kuthibiti wanyama waharibifu...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023NDEGE ndogo zisizo na rubani (drone) zinatarajiwa kutumika katika ulinzi wa bomba la mafuta linalotumika kusafirisha mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam...
By Gabriel MushiJuly 7, 2023KUELEKEA maadhimisho ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu duniani yatakayofanyika tarehe 30 Julai mwaka huu, mkoa wa Songwe umetajwa kuwa kinara kwa...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023JUMA Nyakanyenge, mkazi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wake...
By Danson KaijageJuly 7, 2023IMEELEZWA kuwa asilimia 30 ya watoto wenye umri kuanzia siku 0 hadi miaka nane wanakabiliwa na udumavu wa akili huku mikoa yenye uzalishaji...
By Danson KaijageJuly 7, 2023WAZIRI wa Nishati, January Makamba amesema Serikali za Tanzania na Zambia zipo katika mazungumzo jinsi ya kujenga bomba jipya la mafuta pamoja na...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023ALIYEKUWA Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Rugemeleza Nshalla, amewataka watu anaodai wanapanga kumuuwa waache mara moja, kwa kuwa wakifanya...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2023KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke aliyefahamika kwa jina la Veronica Paul (27) amedaiwa kumuua kikatili mtoto wa kambo Mageshi Busanda (7) kwa...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amezindua huduma ya Bima inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu (Takaful)...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023MAONESHO ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam, yanayofanyika katika viwanja vya SabaSaba, yamekuwa ni fursa adhimu kwa wadau mbalimbali kushuhudia...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2023IMEELEZWA kuwa utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (LNG) unaotarajiwa kuanza hivi karibuni, utazingatia makubaliano ya mikataba matano. Anaripoti...
By Seleman MsuyaJuly 6, 2023AJALI mbaya ya gari imetokea leo Jumatano katika barabara kuu ya Tunduma – Mbeya (TANZAM) maeneo ya Mpakani – Chapwa wilayani Momba mkoani...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023BEI za mafuta ya dizeli na petroli yaliyopokelewa katika Bandari ya Dar es Salaam, imeshuka kwa mwezi Julai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023JESHI Polisi Mkoa wa Songwe liliwashikilia na kuwahoji viongozi wa watano wa Chama cha Ushirika wa Kilimo na Masoko (Amcos) cha Isaiso kilichopo Kata...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023KATIBU mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023SERIKALI imesema kupitia Bajeti ya mwaka 2023/2024, imepanga kufanya upembuzi yakinifu, usanifu wa kina kwa ajili ujenzi wa Bwawa la Yongoma lililopo...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023KAMATI ya Kitaifa ya Kuongoa Shoroba (NWCRC) imesema Serikali ipo katika mchakato wa kuandaa mpango makakati wa kuongoa shoroba 61 zilizopo, huku...
By Seleman MsuyaJuly 4, 2023JESHI la Polisi kupitia Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam kimeendelea kupata elimu na maarifa kutoka kwa vyuo mbalimbali ndani...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah ametoa rai kwa wahariri wa vyombo vya habari kuweka misingi imara ya kukuza...
By Gabriel MushiJuly 4, 2023KAMANDA wa polisi mkoa wa Songwe, Kamishna msaidizi wa Jeshi la polisi, Theopista Mallya amewaasa vijana kujiepusha na vitendo vya kihalifu ili kuishi...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023KESI ya kupinga mkataba wa kiserikali wa ushirikiano juu ya uendeshaji bandari nchini, ulioingiwa kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai,...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023WATU zaidi ya 55 wanahofiwa kufariki dunia baada ya lori lenye trela kugonga daladala nchini Kenya pamoja na waendesha bodaboda na watembea kwa...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetakiwa kutatua changamoto za kodi zinazokabili Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), zisizoingiza faida. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeJune 30, 2023