JESHI la Polisi Tanzania, limemuaga rasmi IGP Mstaafu, Balozi Simon Sirro leo tarehe 10 Mei 2023 baada ya kustaafu Utumishi ndani ya Jeshi...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, Benki ya NMB na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), umeendelea kusambaza maji katika vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewataka viongozi wa dini nchini kuwa na utaratibu wa kusuluhisha migogoro yao wenyewe badala ya kuipeleka mahakamani....
By Mwandishi WetuMay 8, 2023JESHI la Polisi nchini limeanza uchunguzi wa kifo cha mwanafuzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Nusura Hassan Abdallah kinachodaiwa kutokana na kipigo...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023NAIBU Waziri wa Madin Dk. Steven Kiruswa ametoa wiki moja kuweka alama (bicon) kwenye mipaka baina ya wawekezaji wawili wa uchimbaji wa madini...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023CHAMA cha Walimu (CWT) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, kimesema juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan zinatoa muelekeo chanya wa ukuaji wa sekta...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023BENKI ya NMB imekarabati na kukabidhi wodi ya wazazi pamoja na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ukarabati huo uliogharimu zaidi...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023AFISA Mazingira wa Jiji la Dodoma Dickson Kimaro amewaagiza watendaji wote wa kata na mitaa ndani ya jiji la Dodoma kuwakamata watu ambao...
By Danson KaijageMay 6, 2023WADAU wa mazingira mkoani hapa wametakiwa kuunga mkono utunzaji wa mazingira hasa suala la upandaji miti sababu utunzaji wa mazingira ni sawa...
By Christina HauleMay 5, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Naysan Sahba amesema Tanzania ina mazingira mazuri ya kulinda...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima ameliomba Shirikisho la vyama vya wachimbaji Tanzania (FEMATA) kusimamia suala la utunzaji wa mazingira kwa wachimbaji...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023KAMPUNI ya Vodacom kwa kushirikiana na Infinix leo wametangaza uzinduzi wa simu mpya ya Infinix toleo la HOT 30 pamoja na kampeni ya...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne kuweka nguvu katika kuhakikisha...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ameishauri Serikali kupandisha ukuaji wa uchumi wa nchi ili kuondoa umasikini unaowakabili wananchi....
By Mwandishi WetuMay 4, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imetangaza viwango vipya vya kodi ya majengo vinavyokusanywa kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa wito kwa jamii kuhakikisha watoto wanalindwa ili kufikia malengo yao ikiwamo kutimiza ndoto ya kuwa viongozi imara kwa maslahi...
By Faki SosiMay 4, 2023NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amesema Serikali imeahidi kuhakikisha tasnia ya habari inasonga mbele kwa kutatua...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023UMOJA wa Mataifa umeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini licha ya kukosolewa vikali...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeipongeza Benki ya NMB kwa kuwa kinara miongoni mwa mabenki 44 nchini kwa ubunifu wa kuchagiza ukuaji wa...
By Mwandishi WetuMay 3, 2023MWANASIASA maarufu nchini Abdul Kambaya ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiwa zimepita siku 52 tangu alipojiunga na...
By Kelvin MwaipunguMay 3, 2023MADIWANI katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe, wamemjia juu meneja wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (RUWASA)...
By Mwandishi WetuMay 3, 2023SERIKALI za Tanzania Bara na Zanzibar zimesema mchakato wa kupatikana kwa Sheria ya Habari yenye kukidhi mahitaji ya wadau upo katika hatua za...
By Seleman MsuyaMay 3, 2023NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu, Patrobas Katambi ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...
By Mwandishi WetuMay 3, 2023ASASI za Kirai (CSOs) na sekta binafsi nchini zimeshauriwa kushiriki kikamilifu fursa zilizopo kwenye nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
By Seleman MsuyaMay 3, 2023MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka watendaji Serikali kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo ya maji, ili iweze...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023WAZIRI wa Mifugo na uvuvi, Abdallah Ulega ameomba kuidhinishiwa jumla ya Sh. 296 bilioni kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023IMEELEZWA kuwa kutenganisha takataka wakati wa kuzitupa ndio njia rahisi itakayosaidia kuhifadhi mazingira na kuleta manufaa kwa jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023KAMPUNI ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) imeibuka mshindi wa jumla katika tuzo za kampuni za kibiashara zilizoonesha kwa vitendo...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023KATIBU wa Shura ya Maimamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanajipanga kuishauri Serikali namna bora ya kupata suluhu dhidi ya mali za...
By Regina MkondeMay 2, 2023WANAWAKE wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri Tanzania (TUICO), wametakiwa kuvutiwa na mafanikio kitaifa na kimataifa...
By Mwandishi WetuMay 1, 2023Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serikali Mapinduzi Zanzibar Khalid Salum Mohamed miaka ya hivi karibuni kumekuwa na maendeleo makubwa katika sekta ya...
By Mwandishi WetuMay 1, 2023SERIKALI mkoani Kilimanjaro imeupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti iliyoko Moshi, kwa ubunifu na juhudi katika kuboresha na...
By Mwandishi WetuMay 1, 2023Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa wito kwa wadau wa posta wenye leseni kuhakikisha kuwa wanafuata taratibu, kanuni na sheria...
By Mwandishi WetuApril 30, 2023WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi kuelekea sherehe za siku ya wafanyakazi duniani zitakazofanyika kesho Mei 1, 2023 kitaifa Mkoani Morogoro...
By Mwandishi WetuApril 30, 2023KATIKA maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi duniani yanayoratibiwa kitaifa na Wakala wa Afya na Usalama Mahali pa kazi...
By Mwandishi WetuApril 30, 2023BENKI ya Mwanga Hakika (MHB) imezindua tawi jipya na la kisasa jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kutanua mtandao wake wa...
By Mwandishi WetuApril 30, 2023JESHI la Jeshi la Polisi Tanzania limetanga kuwa watoto 37 wamepoteza maisha katika matukio ya kusombwa na maji katika maeneo mbalimbali nchini...
By Mwandishi MaalumApril 29, 2023HATIMAYE Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetoa taarifa rasmi kuhusu hali ya kiafya ya Naibu Waziri wake, Dk. Festo Dugange, aliyepata ajali jijini...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023KAMPUNI ya Barrick Tanzania imenyakua tuzo sita katika kilele cha maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi yanayofanyika katika Viwanja...
By Gabriel MushiApril 29, 2023WAKATI Watanzania wakiungana na wafanyakazi wengine duniani kusherekea sikukuu ya wafanyakazi maarufu ‘Mei Mosi,’ Benki ya NMB imejitosa kufadhili sherehe hizo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023MWALIMU Tunu Broun (37) wa shule ya msingi Senjele wilayani Mbozi mkoani Songwe amedaiwa kutokomea kusikojulikana akikwepa mkono wa sheria baada ya ...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023MKUU wa wilaya ya Momba mkoani Songwe, Fakii Lulandala amewataka watendaji na madiwani kupanga mbinu mpya za kuhakikisha wanabuni vyanzo vipya vitakavyoongeza...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023KWA kipindi cha miezi 16 mpaka sasa wafanyabiashara wa Soko Kuu la Majengo Jijini Dodoma wamedai kupata hasara ya zaidi ya Sh...
By Danson KaijageApril 29, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, amezitaka Serikali kuwa makini katika utoaji leseni za uchimbaji madini mapya ya kimkakati, ili yanufaishe...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023MWENYEKITI wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu amesema kuwa mpaka kufikia Aprili mwaka huu, takwimu...
By Danson KaijageApril 29, 2023MKUU wa Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu amewataka wananchi wa kijiji cha Malongwe kutoa ushirikiano kwa timu kutoka Shirika la Reli Tanzania...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa kuhusu uwepo wa watu...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023