Author Archives: Mwandishi Wetu

Machinga Complex sasa kujengwa kila wilaya

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu amesema ili kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, masoko ya wafanyabiashara ndogondogo kama Machinga Complex yanatakiwa kujengwa katika halmashauri zote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Tamisemi yamkalia kooni Boniface Jacob

NAIBU Waziri wa  Ofisi ya Rais, Tawala za  Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) nchini Tanzania, Mwita Waitara amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kufanya uchunguzi ...

Read More »

Takukuru Kinondoni yapanguliwa, uchunguzi waendelea

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, Brigedia Jenerali, John Mbungo amepangua safu ya uongozi wa taasisi hiyo Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es ...

Read More »

CHAUMMA yataka uwazi taarifa za corona, waathirika wafidiwe

CHAMA cha siasa cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nchini Tanzania, kimeitaka Serikali nchini humo kutoa takwimu mara kwa mara, kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na ...

Read More »

Spika Ndugai kushtakiwa mahakamani

HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania kumpa fursa ya kurejea bungeni Cecil Mwambe aliyejivua uanachama wa Chadema, sasa itamfikisha mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Jumatano ya ...

Read More »

Sukari Morogoro majanga, wafanyabiashara wasusa

UPATIKANAJI wa sukari katika Mkoa wa Morogoro, umekuwa mgumu kutokana na uhaba unaotajwa kuchagizwa na bei elekezi ya serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Taarifa kutoka Morogoro zinaeleza, leo ...

Read More »

Obama amnaga Trump, Ikulu yamtetea

BARACK Obama, Rais Mstaafu wa Marekani, amemtuhumu rais wa sasa Donald Trump kwamba ameshindwa kuukabili ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). ...

Read More »

Mbowe aendesha kikao cha kamati kuu kidigitali

KAMATI Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza vikao vyake leo Jumamosi tarehe 9 Mei 2020 kwa njia ya kidigitali chini ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Lwakatare awaita bungeni wabunge Chadema walioingia mitini

WILFRED Lwakatare, kiongozi wa wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, waliorejea bungeni kupinga maelekezo ya viongozi wao ya kutoingia bungeni, amewaomba wenzake waliosalia nje, kurejea bungeni. Anaripoti ...

Read More »

Wagonjwa mil 1.3 wa corona wapona duniani

WAGONJWA 1,394,965 kati ya 4,030,053 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) wamepona ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ugonjwa huo ulioanzia mji wa Wahun nchini China ...

Read More »

Serikali ya Tanzania: Hatujajitenga mapambano ya corona

SERIKALI ya Tanzania imesema haijajitenga na mataifa mengine katika utafiti wa dawa na chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Lwakatare ‘amrithi’ Mbowe U-KUB

WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupia Chadema, amekana kumpindua Freeman Mbowe, katika nafasi ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), bali amechaguliwa na wabunge wenzake kushika nafasi ...

Read More »

Mhasibu wa AMCOS, wafanyabiashara 16 mikononi mwa Takukuru

PAUL Nkuba, Mhasibu wa Chama cha Msingi cha Wakulima wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, cha MHEDI, pamoja na wafanyabiashara 16, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), ...

Read More »

Rais Magufuli ateua mwenyekiti TSC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Willy Komba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (Teachers’ Service Commission – TSC). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mbowe atoa msimamo kurudi bungeni, kukatwa fedha

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, amesema linapokuja suala la usalama wa maisha, pesa haina thamani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na Shirika la Utangazaji la ...

Read More »

Utata waibuka Mwambe kuendelea kuwa ‘mbunge’

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameibua hoja iliyoibua utata kuhusu Cecil Mwambe, aliyekuwa mbunge wa Ndanda, mkoani Mtwara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mhasibu wa halmashauri, msaidizi jela miaka saba kwa wizi Mil 34

MAHAKAMA ya Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara nchini Tanzania imemhukumu Peter Mollel, aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Simanjiro kifungo cha miaka saba gerezani kwa makossa ya wizi akiwa mtumishi ...

Read More »

DC mwingine afariki dunia Tanzania

HAMIM Gwiyama, Mkuu wa Wilaya (DC) wa Nyang’hwale mkoani Geita amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Rebecca Kwandu, Mkuu wa KItengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya ...

Read More »

Wenyeviti wa vijiji wawili, mtendaji kata mbaroni Dodoma

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini Tanzania, imewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, wenyeviti  wawili (wa kijiji na kitongoji),  pamoja na afisa mtendaji wa kijiji wa wilayani Chamwino, ...

Read More »

Mbowe ‘apinduliwa’ bungeni

WABUNGE 12 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliorejea bungeni kabla ya muda waliokubaliana na wenzao kumalizika, wameunda uongozi wao bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa kutoka ...

Read More »

Wabunge 11 watengwa Chadema

TAKRIBANI wabunge 11 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameng’olewa kutoka kwenye group la WhatsApp la wabunge wa chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kuondolewa kwa wabunge ...

Read More »

Rais Magufuli afanya uteuzi wa RAS, DC

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Delphine Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani (RAS). Aanaripoti Mwandshi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Silinde kuikimbia Chadema?

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni wadhamini tu, wakishindwa kunidhamini kwenye uchaguzi, nitarudi kwa wapiga kura kupitia wadhamini (chama) wengine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ni kauli ya ...

Read More »

TMA yatoa utabiri wa hali mbaya ya hewa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa, kwa siku tano kuanzia jana Jumanne tarehe 5 hadi 9 Mei 2020, katika mikoa zaidi ya ...

Read More »

Bei ya petroli, dizeli yashuka Tanzania

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) nchini Tanzania imesema, bei ya mafuta ya taa, petrol na dizeli zimepungua kwa baadhi ya mikoa kuanzia leo Jumatano tarehe ...

Read More »

Corona: WHO yatoa onyo

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetoa tahadhari kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa ili kukabiliana na virusi vinavyosababisha homa ya mapafu (corona). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). WHO imetoa taarifa hiyo ...

Read More »

Dk. Masumbuko Lamwai, afariki dunia

DK. Masumbuko Mahunga Selasini Lamwai, aliyepata kuwa mbunge wa Ubungo (NCCR -Mageuzi) na mbunge wa kuteuliwa na Rais, mwanasheria nguli nchini, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

ACT-Wazalendo yatimiza miaka sita, Zitto atoa ujumbe

CHAMA cha siasa cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania leo Jumanne tarehe 5 Mei 2020 kinaadhimisha miaka sita tangu kiliposajiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ACT-Wazalendo kilipata usajili wa ...

Read More »

Rais Magufuli sasa kufunga Bunge mwishoni mwa mwezi

BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa iliyotolewa ...

Read More »

Meya Jacob agonga mwamba kuingia ofisini, barua zamiminika kwa DED

BONIFACE Jacob, Meya wa Manispaa wa Ubungo jijini Dar es Salaam leo Jumatatu tarehe 4 Mei 2020 ameshindwa kuingia ofisini kuendelea na majukumu yake ya kila siku. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

SAKATA LA MEYA UBUNGO: Tamisemi yaingilia kati 

HATMA ya Meya wa Ubungo, Boniface Jacob, sasa iko mikononi mwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Wabunge 10 Chadema wamgomea Mbowe, watinga bungeni

TAKRIBANI wabunge 10 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamegoma kutii maelekezo yaliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa kutoka ...

Read More »

Spika Ndugai amuelezea mbunge mwenye corona

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema, mbunge aliyekuwa aliyeambukizwa virusi vya corona (COVID-19), ataruhusiwa mda wowote kutoka sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Amesema, ...

Read More »

Rais Magufuli ateua bosi mpya MSD

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Dk. Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Dawa ya corona kutua Tanzania

DAWA ya ugonjwa wa corona (COVID-19), inayotengeneza nchini Madagascar, sasa itatumika nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ni kwa kuwa, Serikali ya Tanzania ina mpango wa kupeleka ndege ...

Read More »

Rais Magufuli amteua Dk Mwigulu kumriti Balozi Mahiga

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa katiba na sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …. (endelea). Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi tarehe 2, ...

Read More »

Balozi Mahiga alivyozikwa, Samia Suluhu amwakilisha Rais Magufuli

SAFARI ya mwisho hapa duniani ya Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga imehitimishwa leo Jumamosi tarehe Mei 2, 2020 kwa mwili wake kuzikwa kijijini kwao katika makaburi ya ...

Read More »

Mwanadiplomasia Balozi Mahiga afariki dunia

BALOZI Dk. Augustine Philip Mahiga, amefariki dunia, asubuhi hii ya leo, tarehe 1 Mei 2020, mjini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mwanadiplomasia huyo mahiri ulimwenguni, anakuwa mbunge wa ...

Read More »

Bil. 33 kutumika kuimarisha huduma za kijamii nchini

WIZARA ya Afya, kupitia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya Sh. 33.1 bilioni kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21. ...

Read More »

Mahakama Mtwara yamwachia huru Mwambe

MAHAKAMA ya Mkoa wa Mtwara leo tarehe 30 Aprili, 2020, imemwachia huru aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya Chadema, Cecil Mwambe katika kesi ya uchochezi namba 263 ya mwaka ...

Read More »

INFINIX KUJA NA BIGI MAKINI – INFINIX NOTE 7

Kampuni pendwa ya simu Tanzania, Infinix Mobility iko mbioni kuleta simu yenye hadhi ya juu-NOTE 7 na kupewa jina la BIGI MAKINI kutokana na kioo chake kuwa na size kubwa ...

Read More »

Mbunge Richard Ndassa afariki dunia

RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ndassa alizaliwa tarehe 21 ...

Read More »

Corona sasa yamkumba mbunge wa Tanzania

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Akson, amelitangazia Bunge kuwa mmoja wa wabunge wa Bunge hilo, amepatwa na virusi vya Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).  Akizungumza ...

Read More »

Mch. Getrude Lwakatare afariki dunia

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God), amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 20 Aprili 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Wagonjwa 23 wa corona waongezeka Z’bar

WIZARA ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya 23 wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa ...

Read More »

Vita dhidi ya Corona: Wanywa bia baa wapigwa ‘stop’

SOPHIA Mjema, Mkuu wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, amepiga marufuku mikusanyiko ya watu katika baa, ikiwa ni sehemu ya hatua za kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa wa Homa ...

Read More »

Mkataba wa Muungano watikisa Bunge

MNYUKANO mkali umeibuka bungeni, baada ya baadhi ya wabunge kuhoji kuwapo kwa vifungu vya Katiba ya Zanzibar, vinavyopingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Maduka 400 kufungwa Arusha

MADUKA zaidi ya 400 yako hatarini kufungwa na Halmashauri ya Jiji la Arusha, kutokana na wamiliki wake kushindwa kulipa malimbikizo ya kodi ya pango Sh. 262.5 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Kasi ya Corona yamshtua JPM, atangaza siku 3 za maombi

RAIS John Magufuli ametaka Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu mfululizo, ili awanusuru na athari za Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Wananchi watakiwa kutochoka kunawa mikono

KAIMU Meneja wa forodha Mikoa ya Songwe na Mbeya, Anangisye Mtafya amewataka Wasafiri na wafanya biashara wa maeneo ya mipakani kutochoka kusafisha mikono kwa sabuni na maji safi yanayotiririka wakati ...

Read More »
error: Content is protected !!