Author Archives: Hamisi Mguta

Kubenea afungua pazia Manzese

MGOMBEA ubunge, jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, Saed Kubenea, amezindua kampeni yake ya kutafuta ridhaa ya wananchi, kwa mkutano mkubwa wa hadhara kwenye viwanja vya Manzese, kwa Bakhressa. ...

Read More »

Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Bil 422.8

TANZANIA imesaini mkopo wa Sh. 422.8 Bil kutoka Benki Kuu ya Dunia ili kuimarisha huduma ya afya nchini. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akisaini mkopo huo Katibu Mkuu wa Wizara ...

Read More »

Wanawake tushiriki kampeni – Mongela

MTANDAO wa Wanawake, Katiba na Uchaguzi (T-WCP/Ulingo), umehimiza wanawake nchini kushiriki kikamilifu mikutano ya kampeni ili kusikiliza sera za wagombea zinazohusu masuala ya wanawake na kuzichambua. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). ...

Read More »

Serikali yamzuia Lowassa Taifa

SERIKALI imezuia matumizi ya Uwanja wa Taifa (Uhuru) wa Temeke, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli za kisiasa. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea) Mkurugenzi wa Idara ya Habari ...

Read More »

PSPF kuwakopesha wanachama wake viwanja

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu ameipongeza PSPF kwa kushirikiana na Kampuni ya Kupima na Kupangilia Miji (PIL) na Benki ya Posta Tanzania kwa kutoa huduma ...

Read More »

Ghasia azindua mafunzo mabasi ya mwendo kasi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amewataka madereva wanaofanyiwa mafunzo ya kutumia mabasi yaendayo kasi kuyazingatia ili kuwa na ...

Read More »

TFF, Simba, Yanga watakiwa kulipa kodi TRA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeliomba Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuzisimamia klabu zake kushiriki kulipa kodi ili kuongeza mapato ya taifa. Anaandika Hamisi Mguta …(endelea). Rai hiyo ...

Read More »

Wanawake waaswa kupima afya ya uzazi

WANAWAKE wametakiwa kupima afya zao mara kwa mara ili kujikinga na magonjwa mbalimbali yanayoshambulia mfumo wa uzazi na kusababisha ugumba na vifo. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Ushauri huo umetolewa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube