RIZIKI Mngwali, mtia nia wa ubunge katika Jimbo la Mafia kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, kelele za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye jimbo...
By Hamisi MgutaJuly 8, 2020BERNARD Membe, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Waziri wa Mambo ya Nje Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, ni...
By Hamisi MgutaJuly 8, 2020BERNALD Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Awamu ya Nne, anataka kile alichofanyiwa Edward Lowassa mwaka 2015, afanyiwe...
By Hamisi MgutaJuly 2, 2020NAIBU Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel ameipongeza hospitali ya CCBRT kwa utendaji kazi mzuri licha ya kuwepo changamoto zinawaikabili hospitali hiyo. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJuly 1, 2020BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limewaonya wamiliki wa shuke kuingilia majukumu yanayotendeka ama kufanywa katika mitihami ya kidato cha sita na ualimu inayotarajiwa...
By Hamisi MgutaJune 28, 2020RAIS John Magufuli amemtumbua hadharani Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe (DAS ), Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi kushika nafasi hiyo hapo...
By Hamisi MgutaJune 28, 2020CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakina imani na uchunguzi unaofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu viongozi wake walioshambuliwa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...
By Hamisi MgutaJune 25, 2020SERIKALI ya Tanzania imepata Sh. 780 milioni kwa ajili ya kujenga kliniki ya huduma za methadone kwa waathirika wa dawa za kulevya mkoani...
By Hamisi MgutaJune 25, 2020MWANADIPLOMASIA mashuhuri nchini Tanzania, Bernard Kamillius Membe, amekosoa utaratibu unaotumika na Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kumtafuta mgombea wake wa urais. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaJune 24, 2020CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetuma ujumbe wa Jaji Semistocles Kaijage, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuhakikisha watendaji wake wanatenda haki kwenye...
By Hamisi MgutaJune 24, 2020SIMON Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) amesema, kama Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kadanganya kuhusu...
By Hamisi MgutaJune 24, 2020UAMUZI wa Idara ya Habari na Maelezo nchini Tanzania kusitisha leseni ya uzalishaji na uchapishaji wa Gazeti la Kila Siku la Tanzania Daima,...
By Hamisi MgutaJune 24, 2020JAJI Mstaafu Joseph Warioba, amsema ni utamaduni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuruhusu rais aliyepo madarakani kutetea kiti chake iwapo hajakiangusha chama. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJune 23, 2020GAZETI la kila siku la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Kampuni ya Free Media Limited, limeingia kifungoni kwa muda usiojulikana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Hamisi MgutaJune 23, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa...
By Hamisi MgutaJune 23, 2020SERIKALI ya Tanzania imeitaka jamii kutotumia kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19) kama kigezo cha kutopeleka watoto kwenye chanjo ili...
By Hamisi MgutaJune 23, 2020HATUA ya Jecha Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM imeibua maswali. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaJune 21, 2020MATARAJIO ya timu ya kampeni ya Donald Trump, Rais wa Marekani katika kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, yanawavunja moyo. Inaripoti...
By Hamisi MgutaJune 21, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea Makao Makuu Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa...
By Hamisi MgutaJune 19, 2020SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshauri wananchi kutowachagua wabunge walopokaji na watovu wa nidhamu. Anaripoti Mwandishi Wetu. …(endelea). Spika Ndugai ametoa...
By Hamisi MgutaJune 19, 2020WAKILI Simba Neo, aliyejitosa katika kinyang’anyiro cha Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Hamisi MgutaJune 19, 2020WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema, Serikali imerudisha huduma za kawaida katika Hospitali ya Rufaa ya...
By Hamisi MgutaJune 19, 2020FELIX Mkosamali, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ametangaza kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti...
By Hamisi MgutaJune 18, 2020KUELEKEA Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, utaendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari ya...
By Hamisi MgutaJune 17, 2020BODI mpya ya ushauri ya Wizara ya Afya kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetakiwa kuisimamia mamlaka hiyo na kuacha kufanya...
By Hamisi MgutaJune 17, 2020WANAJESHI 20 wa India wameripotiwa kuuawa baada ya kushambuliwa na Jeshi la China mpakani Magharibi mwa Milima ya Himalaya. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa...
By Hamisi MgutaJune 17, 2020LAZARO Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akibainisha vipaumbele 26...
By Hamisi MgutaJune 14, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini ametangaza nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na kwamba ana dhamira...
By Hamisi MgutaJune 14, 2020IKIWA ni zaidi ya wiki tatu ya maandamano kutokana na polisi wa Minnesota, Marekani kumuua raia mweusi wa taifa hilo George Floyd, tayari...
By Hamisi MgutaJune 14, 2020BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuitaka Serikali kutobadili uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi...
By Hamisi MgutaJune 8, 2020SERIKALI iko mbioni kuwasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Utekelezaji wa Haki na wajibu wa Msingi, Sura ya 3 (The Basic Rights and...
By Hamisi MgutaJune 7, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeleeza kuwa nia ya serikali ya kupitisha Muswada wa sheria mbalimbali Na.3 ya mwaka 2020 inalenga kufunga milango ya kudai...
By Hamisi MgutaJune 7, 2020NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya...
By Hamisi MgutaJune 7, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party, (TLP) Augustine Lyatonga Mrema amesema, katika uchaguzi mkuu mwaka 2020 chama chake hakitaweka mgombea wa Rais...
By Hamisi MgutaJune 5, 2020WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako...
By Hamisi MgutaJune 4, 2020WAFANYAKAZI wanne wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi ya...
By Hamisi MgutaJune 4, 2020MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa marekebisho...
By Hamisi MgutaJune 4, 2020MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameitaka Tume ya Haki za Binadamu Tanzania kufanya wajibu wake wa kuwaelimisha...
By Hamisi MgutaJune 3, 2020MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Pombe Magufuli amefanya kikao na viongozi waandamizi wa chama hicho akiwemo Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed...
By Hamisi MgutaJune 3, 2020POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva tax (UBER), Joseph Tillya Mpokala,(51),Mkazi...
By Hamisi MgutaJune 3, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kutambua wajibu wao wa kutoa huduma iliyobora na inayokidhi matarajio ya wateja ambao...
By Hamisi MgutaJune 2, 2020MSEMAJI wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amesema kutokana na maoni mbalimbali serikali imeridhia mashabiki watakaotaka kwenda viwanjani kutazama mechi mara tu baada ya...
By Hamisi MgutaMay 31, 2020MAUAJI yaliyofanywa na polisi wa Mji wa Minnesota, yamebadili taswira ya miji 25 ya Marekani na kuwa ya vurugu, maandamano na uharibifu wa...
By Hamisi MgutaMay 31, 2020VIGOGO wawili wa upinzani jijini Dar es Salaam, Mustafa Muro (Chadema) na Maalim Amir Mbuju (CUF), wamekimbia vyama vyao na kujiunga na NCCR-...
By Hamisi MgutaMay 28, 2020MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150...
By Hamisi MgutaMay 27, 2020MBUNGE wa Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Mlinga ameihoji Serikali ya Tanzania jinsi ilivyojipanga kudhibiti matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii....
By Hamisi MgutaMay 26, 2020UCHAGUZI Mkuu nchini Burundi umefikia tamati, malalamiko yanayotolewa na vyama vya upinzani baada ya Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye wa chama tawala – CNDD-FDD...
By Hamisi MgutaMay 26, 2020WAZIRI wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake waende kupata...
By Hamisi MgutaMay 23, 2020Tazama LIVE Mkutano wa Bunge, Mkutano wa 19 kikao cha 35 tarehe 22 May 2020
By Hamisi MgutaMay 22, 2020MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital wilaya hiyo inaanza...
By Hamisi MgutaMay 22, 2020