LEO Ijumaa saa 4:00 asubuhi, tarehe 19 Machi 2021, Ikulu ya Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, ataapishwa kuwa...
By Hamisi MgutaMarch 19, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani ameahidi kusimamia ujenzi wa barabara ya Korogwe Vijijini hadi Tanga Mjini, ili kutekeleza ahadi...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021TIMU ya soka ya Kenya ‘Harambee Stars’ imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya timu ya Tanzania ‘Taifa Stars.’ Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021TUZO kubwa ulimwenguni, zinazotolewa nchini Marekani maarufu ‘Grammy,’ zimeshuhudia gwiji wa muziki, Beyonce akiweka rekodi kwa kushinda na kufikisha tuzo 28 tangu...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021KOCHA wa Simba ya Dar es Salaam, Didier Gomes amesema, mchezo wao dhidi ya Al Merrikh ya Sudan, utakuwa mgumu lakini “lazima...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, hakuna kipindi ambacho taifa hilo, lipanaswa kujenga umoja, kama kipindi hiki cha sasa....
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021IDADI ya wananchi waliouawa nchini Myanmar tangu jeshi la nchi hiyo kupora madaraka na kuanza kwa mandamano tarehe 1 Februari 2021, wamefika...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021NI mikasa na maajabu inayoandika historia, katika kijiji cha Kiponzelo mkoani Iringa nchini Tanzania. Anaripoti Hamisi Mguta, Iringa … (endelea). Kijiji ambacho...
By Hamisi MgutaMarch 14, 2021RAIS mpya wa shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, ameomba umoja wakati akitafuta kurejesha sifa ya shirika hilo. Anaandika Mwandishi...
By Hamisi MgutaMarch 13, 2021CHARLES Majura (35), fundi simu na mkazi wa Dar es Salaam, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kwa madai ya kusambaza...
By Hamisi MgutaMarch 13, 2021MCHEKESHAJI maarufu nchini Kenya, Eric Omondi, amekamatwa kwa kukiuka kanuni ya maadili ya Bodi ya Ukaguzi wa Filamu nchini humo (KFCB). Anaripoti...
By Hamisi MgutaMarch 11, 2021SARAH Martin Simbaulanga, alivuma katika vichwa vya habari nchini Tanzania, miaka ya 1987, baada ya kuiibia Benki ya NBC, mamilioni ya shilingi,...
By Hamisi MgutaMarch 10, 2021KUKOSA kiungo kimoja katika mwili wako ama kuwa na ulemavu sio mwisho wa maisha. Anaripoti Hamis Mguta, Iringa…(endelea). Kauli hii inathibitishwa na...
By Hamisi MgutaMarch 10, 2021MAMBO yanabadilika kadri teknolojia inavyozidi kukua. Panya ni mnyama mwenye historia ya uharibifu tu akiingia ndani ya nyumba, lakini hii ni tofauti....
By Hamisi MgutaMarch 8, 2021WATETEZI wa haki za binadamu nchini Tanzania, wametoa wito kwa mawakili wanawake kuwa mstari wa mbele katika kushughulikia kesi zinazohusu maslahi ya...
By Hamisi MgutaMarch 7, 2021WAKATI Serikali ya Tanzania ikilalamikia hatua ya Kenya kuzuia mahindi yake kuingia nchini humo, Zitto Kabwe ameshauri diplomasia itumieke. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaMarch 7, 2021PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema, wataalamu na wanasayansi Tanzania wamekuwa na hofu ya kueleza hali halisi kuhusu...
By Hamisi MgutaMarch 7, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Tabora kimeiomba serikali kuwapa kipaumbele wazawa katika miradi ya ujenzi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea). Kauli...
By Hamisi MgutaMarch 7, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Tanzania, kupima na kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Hamisi MgutaMarch 5, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amenusa ufisadi wa Sh.19 bilioni, Manispaa ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam na kuagiza Taasisi ya...
By Hamisi MgutaFebruary 26, 2021TATIZO la wastaafu nchini Tanzania, kuchelewa kulipwa mafao yao, linasababishwa na baadhi ya mawaziri kutowajibika ipasavyo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....
By Hamisi MgutaFebruary 26, 2021DAKTARI Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, ameeleza namna alivyokabiliana na tatizo la upumuaji, kwamba alifikishwa hospitali akiwa na...
By Hamisi MgutaFebruary 23, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu, jijini Dar es Salaam, kuanzia Jumatano hadi Ijumaa, tarehe 26...
By Hamisi MgutaFebruary 22, 2021SAFARI ya Maalim Seif Sharif Hamad, katika harakati za kisiasa Visiwani, haikuwa rahisi. Ilipitia milima na mabonde; miamba na miba; dhuroba na...
By Hamisi MgutaFebruary 20, 2021BASTOLA ya Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama (CCM) iliyoibwa tarehe 15 Februari 2021, katika eneo la Kawe Beach, jijini Dar es Salaam,...
By Hamisi MgutaFebruary 18, 2021WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowassa amemtaja Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba alikuwa mwanasiasa...
By Hamisi MgutaFebruary 18, 2021KATIBU Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma. Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaFebruary 17, 2021MWILI wa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, aliyefariki leo Jumatano, tarehe 17 Februari 2021, Hospitali ya Taifa...
By Hamisi MgutaFebruary 17, 2021MWANDISHI wa habari wa televisheni ya ITV na Redio One, Vedasto Msungu amefariki dunia leo Jumatano, saa 11 jioni, tarehe 17 Februari...
By Hamisi MgutaFebruary 17, 2021TIMU za Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam, zimetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu...
By Hamisi MgutaFebruary 17, 2021UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania umesema, Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (77), alikuwa kiongozi anayeweka mbele watu...
By Hamisi MgutaFebruary 17, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Kim Poulsen raia wa Denmark (61) kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa...
By Hamisi MgutaFebruary 15, 2021BARAZA Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), limeelekeza misikiti yote kufanya maombi maalumu (kusoma dua) kwa ajili ya kumuomba Munga kuliepusha taifa na...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021ALIYEKUWA rais wa Marekani, Donald Trump, ameponea chupuchupu kitiwa hatiani, kutokana na madai ya kuchochea vurugu katika jengo la Bunge, tarehe 6...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021JOYCE Kiria, Mwanaharakati wa masuala ya wanawake, anasaka Sh. 5 Mil ili kulipa faini baada ya kuweka maudhui mtandaoni bila kufuata sheria. Anaripoti...
By Hamisi MgutaFebruary 14, 2021HUMPHREY Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema mwenyekiti wake Rais John Magufuli hatoongeza...
By Hamisi MgutaFebruary 9, 2021WAKATI Tundu Lissu, Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akieleza chama hicho ‘kujivuwa’ kuwapeleka mahakamani Halima Mdee na wenzake,...
By Hamisi MgutaFebruary 9, 2021JOSEPH Msukuma, Mbunge wa Shinyanga Vijijini amesema, serikali imekuwa ikiwekeza mabilioni ya fedha katika miradi ambayo haina faida kwa Taifa. Anaripoti Mwamdishi Wetu,...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF), umetangaza kutoa ruzuku ya Sh.5 milioni kwa kila andiko la mradi inayohusiana moja kwa moja na upandaji miti...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021REGINA Qwaray, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), ameihoji mkakati wa serikali wa kuongeza bajeti ili kuboresha elimu katika Vyuo vya Ufundi (VETA) mkoani...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021KUTOKANA na wanyama kuongezeka katika Hifadhi ya Mbuga ya Selous, tembo na nyati wanatajwa kuzua taharuki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021MLIPUKO wa Virusi vya Ebola, umeibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Taarifa ya mlipuko huo, imetolewa na...
By Hamisi MgutaFebruary 8, 2021SIKU chache kupita baada ya viongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania kutoa mwongozo kuhusu kujikinga na maambukizi mapya ya virusi vya corona, Chama...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021JUTORAM Kabatele Mahala, ni Mtanzania aliyebuni alama sita za barabarani kwa ajili ya kuwalinda makundi ya watu wenye walemavu barabarani ambazo zinatumika...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021NI vuta nikuvute kwa miaka mitano sasa, kati ya wakazi wa Kijiji cha Kongo, Kata ya Yombo wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani na...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amemuagiza Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kutowachekea wakandarasi wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeitunuku tuzo Kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), kwa kutambua mchango katika...
By Hamisi MgutaJanuary 29, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemsamehe kumfuta kazi, Anderson Msumba, Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga aliyetuhumiwa kununua gari kinyume...
By Hamisi MgutaJanuary 28, 2021VYOMBO vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, imewakamata watuhumiwa 314 wa uhamihaji haramu, ambao watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma...
By Hamisi MgutaJanuary 28, 2021WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima amewaonya watumishi wa afya wanaoiba dawa, wakibainika watafukuzwa kazi pamoja na kunyang’anywa taaluma zao. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJanuary 28, 2021