Thursday , 25 April 2024
Home mguta
611 Articles79 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wajifungia Zanzibar, Kina Mdee…

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kimejifungia Visiwani Zanzibar, kuweka mkakati wake wa kisiasa, ili kuweza kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi...

Habari Mchanganyiko

Maambukizo ya Corona yafikia milioni 100 dunia

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 100.34, waliofariki kwa ugonjwa huo ni milioni 2.15 na waliopona milioni 72.39. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Ethiopia apimwa joto, ‘apakwa’ vitakasa mikono Chato

  KATIKA kuchukua tahadhari dhidi ya kusambaa kwa maambukizo ya virusi vya corona (COVID-19), Sahle – Work Zewde, Rais wa Ethiopia amepimwa joto...

Habari za Siasa

Silinde atembelea shule ya King’ongo-Ubungo, atoa maagizo

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde ameagiza halmashauri zote nchini Tanzania, kuhakikisha hakuna mwanafunzi...

Habari za Siasa

Aliyekuwa mgombea udiwani NCCR-Mageuzi atimkia Chadema

ALIYEKUWA mgombea Udiwani wa Saranga Jimbo la Kibamba, Dar es Salaam kupitia NCCR-Mageuzi, Frank Rugwana ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Aliyempiga vibao mjamzito akutwa na hatia, aadhibiwa

BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Maendeleo makubwa yanahitaji muda

MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesihi Wazanzibari kuendelea kustahamili shida kabla ya kutarajia matokeo ya haraka ya...

Habari za Siasa

NEC ‘yajitutumua’ kwa Marekani

TUME ya taifa ya uchaguzi nchini (NEC), imeitaka serikali ya Marekani kueleza, ni  namna gani uchaguzi mkuu uliyopita nchini  Tanzania ulivyoingiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

JPM amlilia mbunge wake

RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na kifo cha Martha Umbulla, mbunge wa viti maalumu kupitia ChamaCha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Katika salamu...

Habari Mchanganyiko

Jaji Mkuu Tanzania atoa mwelekeo matumizi ya Kiswahili mahakamani

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, ameagiza mahakimu na majaji kuanza kutoa muhtasari wa hukumu kwa lugha ya Kiswahili, kuanzia Februari 2021....

Habari za Siasa

Magufuli amtumbua kigogo tume ya ardhi

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dk. Steven Nindi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR- Mageuzi yafanya mabadiliko ya uongozi

CHAMA cha NCCR- Magezi, nchini Tanzania, kimefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wake wa kitaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Katika mabadiliko hayo, Martha Chiomba, ambaye alikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia: Katiba mpya ni lazima, hatutapiga magoti

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi “Katiba Mpya ni takwa la lazima kwa Watanzania, penda usipende.” Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli aizungumzia Chato

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema Wilaya ya Chato iliyoko mkoani Geita, ilianza kujengwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Makocha 55 wajitosa kumrithi Sven Simba

KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imesema, makocha 55 wametuma wasifu (CV) wakiwania nafasi moja ya kuwafundisha mabingwa hao...

Afya

Kupima corona sasa Sh. 275,000

HOSPITALI ya Aga Khan imepewa jukumu la kupima virusi vya corona (COVID-19) kwa gharama ya Sh. 275,000 kwa Mtanzania. Anaandika Hamis Mguta, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Msiogope

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewataka Watanzania waliosimama na upinzani katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020, wasiogope. Anaripoti Mwamdishi...

Michezo

Messi kukiputa PSG?

LEONEL Messi, mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona na Argentina anawindwa. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Mkufunzi wa zamani wa Klabu ya Tottenham  Hotspur ya...

Habari za Siasa

Kanisa Anglikana: Tuepushe visasi

VYAMA vya siasa nchini, vimetakiwa kumaliza tofauti zao kwa kukaa meza moja na kuzungumza ili kuweza kufikia mwafaka wa kupata amani badala ya kutunishiana...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yataifisha madini ya mamilioni

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam imetaifa madini yenye gramu zaidi ya 800 ya mfanyabiashara Haji Hassan (52) na Jamas...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yaiamuru Halotel kulipa fidia Sh. 42 Bil.

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam, imeiamuru Kampuni ya Mwasiliano ya Halotel Tanzania, kulipa fidia Sh. 42 Bilioni. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ateua mrithi wa Jaji Nsekela

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi, kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa...

Habari za Siasa

Mwaka 2020 Nenda mwana kwenda – 1

MWAKA 2020 uondoke na usirejee tena, kutokana na jinsi ulivyoacha maumivu, malalamiko, uharibifu na kugharimu maisha ya baadhi ya watu. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu: Kazi ya kudai haki inaendelea vizuri

TUNDU Antipas Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu uliyopita, bado yuko kwenye makazi yake nchini Ubelgiji na anasema, “mapambano yanaendelea.”...

Habari Mchanganyiko

RC Dar amstukiza mkandarasi usiku wa manane

ABOUBAKAR Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amstukiza mkandarasi wa ujenzi wa Soko la Tandale ili kujiridhisha kama ametekeleza maagizo ya...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wamlilia Askofu Banzi

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetuma salamu za pole kufuatia kifo cha Askofu wa Jimbo la Katoliki Tanga, Anthony Banzi. Anaripoti Mwandishi wetu… (endelea). Askofu Banzi...

Habari za Siasa

RC K’njaro ataka ‘spidi’ ujenzi wa madarasa

ANNA Mghwira, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ameagiza watendaji na wakurugenzi wa mkoa huo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa madarasa mapema ili wanafunzi waliochaguliwa...

Habari za Siasa

Mwaka 2020 Taifa limepoteza vigogo hawa 

MWAKA 2020, umekuwa wa vilio na majonzi kwa Watanzania baada ya kuondokewa na viongozi waandamizi mbalimbali akiwemo, Rais mstaafu wa awamu ya tatu,...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aeleza sababu kumwangukia Maalim Seif

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema, aliamua kufanya mazungumzo na Chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Maalim Seif Shariff Hamad ili kuunda Serikali ya...

Habari Mchanganyiko

Nafasi ya Mkapa yapata mrithi UDOM

BALOZI John Kijazi, Katibu Mkuu Kiongozi nchini Tanzania, amesimikwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Anaripoti Hamisi Mguta…(endelea). Kabla ya nafasi...

Habari za Siasa

Museveni ajiimarisha Ikulu, amteua mwanaye kumlinda

RAIS wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amemteuwa mwanaye Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba. kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais (SFC). Inaripoti mitandao...

Habari za SiasaTangulizi

Mwaka 2020 mchungu kwa Mangula

  PHILIP Japhet Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alichungulia kaburi katika mwaka huu wa 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Simulizi ya Dada Bajaji “Wanaume wananisumbua”

KUTANA na Happy Mushi maarufu ‘Dada Bajaji’ akisimulia safari fupi ya maisha yake. Happy anayefanya shughuli zake katika eneo la Goba jijini Dar...

AndroidHabari za Siasa

Bwege anena mazito baada ya kushindwa ubunge

ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Selemani Bungara maarufu ‘Bwege’ ametoa msimamo wake wa kisiasa mara baada ya kushindwa...

Habari za Siasa

Umakamu wa Rais: Je, ni Maalim Seif?

BARAZA la Uongozi la Chama cha ACT-Wazalendo, tayari limependekeza jina la Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), lakini...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wakubali kuingia Ikulu Z’bar

CHAMA cha ACT – Wazalendo, kimekubali kuungana na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), visiwani Zanzibar. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

RC Dar aagiza usafi kila Jumamosi, Ma DC…

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Aboubakar Kunenge amewataka wakuu wa wilaya za jiji hilo (DC) kuhakikisha wanasimamia shughuli ya usafiri...

Habari za Siasa

Mdee asema Chadema imewainua wanawake, apata kwikwi kujibu maswali

HALIMA James Mdee na wenzake 18 wamepata kigugumizi kuweka wazi, mchakato uliofanyika kupatikana kwao hadi kwenda bungeni jijini Dodoma kuapishwa kuwa wabunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee: Hatuondoki Chadema ‘tunamheshimu Mbowe’

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima James Mdee amesema, yeye pamoja na wenzake 18 hawatoondoka ndani ya chama hicho...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee na wenzake wafukuzwa Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetangaza kuwafukuzwa uanachama wanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa tuhuma za usaliti. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Majaliwa azindua uchepushaji maji mto Rufiji, Misri yatangaza fursa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua kazi ya uchepushaji maji ya mto Rufiji kwenda handaki ili kupisha ujenzi wa tuta kuu la...

Habari za Siasa

Lissu alivyopata hati ya kusafiria

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, “sikimbii vita, nakwenda kufungua uwanja mwingine wa mapambano...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aondoka Tanzania, aacha ujumbe

TUNDU Antipas Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, katika uchaguzi mkuu uliyopita, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameondoka nchini kwenda Ubeljiji....

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo ‘yawapiga stop’ wabunge wake kwenda bungeni

KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema, wananchi wasitegemee kuwaona wabunge wa chama hicho wakienda bungeni. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Viti Maalum vya Ubunge, mtihani mwingine Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kinakabiliwa na mtihani mwingine mzito juu ya hatma ya nafazi zake za wabunge wake wa...

Michezo

Etienne aita 27 Stars, Kaseke, Ninja ndani

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania Etienne Ndayilagije ameita kikosi chenye wachezaji 27 kitakacho ingia kambini kwa ajili ya kujiwinda na mchezo...

Michezo

Al Ahly, Zamalek watinga fainal klabu Bingwa

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Raja Casablanca, klabu ya soka ya Zamalek imetinga hatua ya fainali ya kombe...

Habari Mchanganyiko

GGML kujenga bustani ya kisasa Geita

WAKAZI wa Mji wa Geita wanafurahia kuwa sehemu ya mradi wa bustani ya kupumzikia inayoanza kujengwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

Tangulizi

Uchaguzi Marekani: Trump kukimbilia mahakamani

DONALD Trump, Rais wa Marekani amesema, uchaguzi mkuu nchini humo uliofanyika jana Jumanne tarehe 3 Novemba 2020 umekubwa na udanganyifu na kupanga kwenda...

Habari za SiasaTangulizi

Keissy: Viongozi serikalini, CCM wamenihujumu

ALLY Mohamed Keissy, aliyekuwa mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania amesema, kilichomfanya akashindwa kutetea nafasi hiyo ni hujuma...

error: Content is protected !!