MTU mmoja amefariki duniani wakati nane wakinusurika kifo baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya madini wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 10, 2019Nimewasiliana na wakili Peter kibatala kuhusu uamuzi wa Jaji Matupa wa leo. Huu ndio aina ya uamuzi unaotolewa na Mahakama iliyoingiwa na hofu...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amesema, Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amejitajia mwenyewe ‘kuvuliwa ubunge.’ Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). “Kwa...
By Danson KaijageSeptember 9, 2019MAHAKAAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu, aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida Mashariki kutaka kufungua kesi...
By Faki SosiSeptember 9, 2019MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), ameihoji serikali na kutaka ieleze kama kitendo cha kutoa kibali cha viwanda vya sukari kuagiza sukari nje...
By Danson KaijageSeptember 9, 2019MAHAKAMA Kuu ya Dar es Salaam leo tarehe 9 Septemba 2019, imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, likiwemo...
By Faki SosiSeptember 9, 2019MWILI wa Robert Mugabe, aliyekuwa Rais Mstaafu wa Zimbabwe unatarajiwa kuwasili nchini mwake tarehe 11 Septemba 2019, ukitokea Singapore alikofariki dunia wakati anapatiwa...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2019ISSA Mangungu, Mbunge wa Mbagala ameishauri serikali irudishe mamlaka ya kukusanya kodi ya majengo kwa halmashauri, akidai kwamba Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...
By Danson KaijageSeptember 9, 2019BALOZI Paul Ndobho, aliyewahi kuwa Mbunge wa Musoma vijijini kupitia NCCR-Mageuzi, amefariki dunia katika Hospitali ya Bugando, jijini Mwanza. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeSeptember 9, 2019SEPTEMBA 7, 2017 – SEPTEMBA 7, 2019: MIAKA MIWILI YA MATESO, MATUMAINI Tundu AM Lissu, MB Ndugu na marafiki zangu popote mlipo, Wananchi...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2019UJIO wa Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, utakuwa wa kipekee. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Lissu ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2019PROFESA Abel Makubi, Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) amesema, hospitali hiyo imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh. 2 Bilioni kwa wananchi wa...
By Hamisi MgutaSeptember 8, 2019WAKAZI wilayani Kilosa wametakiwa kufuatilia na kusimamia kikamilifu matumizi ya rasilimali za Umma hasa kwenye sekta ya elimu ili kuboresha miundombinu ya shule...
By Christina HauleSeptember 8, 2019JULUS Mtatiro, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma amelitaka Jeshi la Polisi wilayani humo kutotumia nguvu katika kushughulikia madereva wa pikipiki ‘Bodaboda’ wanaovunja...
By Regina MkondeSeptember 8, 2019CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani kauli zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa umma, zinazochochea watu kuchukua sheria mikononi dhidi ya watuhumiwa. Anaripoti...
By Faki SosiSeptember 7, 2019KLABU ya Simba imemtangaza Senzo Mazingiza kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, akirithi mikoba ya Crescentius Magori, aliyemaliza muda wake, huku akitoa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 7, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amezungumzia miaka miwili tangu Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ashambuliwe na risasi jijini...
By Regina MkondeSeptember 7, 2019MBUNGE wa upinzani ameitaka serikali ieleze, ni lini itaacha kulipisha fedha maiti? Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Ni kutokana na mgonjwa kufia hospitalini...
By Danson KaijageSeptember 6, 2019HATUA ya Bunge la Jamhuri kupitisha Mswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali (Na.5) wa mwaka 2019, imetibua wapinzani. Anaripoti Danson Kaijage...
By Danson KaijageSeptember 6, 2019ALIYEKUWA Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe (95), amefariki dunia, nchini Singapore. Rais wa sasa wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amethibitisha kifo cha mwanasiasa...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2019ROBERT Mugabe, aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe, amefariki dunia. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa kutoka ndani ya familia ya gwiji...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2019SERIKALI imesitisha safari za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenda Afrika Kusini, kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Raia...
By Regina MkondeSeptember 5, 2019SUALA la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2019, limeibuka bungeni na kusababisha mabishano baina ya Mwita Waitara, Naibu Waziri Ofisi ya...
By Danson KaijageSeptember 5, 2019NDEGE ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL), iliyokuwa inashikiliwa kwa siku kadhaa katika uwanja wa ndege ya Oliver Tambo, hatimaye imerejeshwa nyumbani....
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2019NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), iliyokuwa imeshikiliwa nchini Afrika Kusini, tayari imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2019BUNGE limeelezwa, katika kipindi cha Januari hadi Juni 2019, kumekuwa na jumla ya matukio 66 ya watoto waliotupwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageSeptember 4, 2019WAFUGAJI wa kuku nchini wameshauriwa kufuata maelekezo ya wataalam na kuongeza uzalishaji ili bei ya kuku kuweza kushuka na jamii kununua na kula...
By Christina HauleSeptember 4, 2019RAIS John Magufuli amewasamehe January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Mazingira na Muungano na Willium Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kumwomba radhi. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeSeptember 4, 2019UKATILI wa kijinsia dhidi ya watoto, umeongezeka kwa asilimia 7.7 kutoka matukio 13,457 mwaka 2017 hadi 14,419 mwaka 2018 huku mikoa mitano ikiongoza. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 4, 2019NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), aina ya Air Bus A220-300 iliyoshikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, imeachwa huru. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 4, 2019MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo anatarajia mwelekeo mpya wa vyama vya upinzani nchini baada ya Zitto Kabwe na...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2019TABIA ya kujisomea hujengwa, kwa kutambua hivyo Benki ya UBA Tanzania imekuwa ikishiriki kutoa mchango wa vitabu kuhakikisha inajenga tabia hiyo kwa wanafunzi...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2019KITUO cha Runinga cha EATV, Global TV na Le Mutuzi Online, vimepewa onyo na Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...
By Regina MkondeSeptember 3, 2019SONIA Mgogo, Mbunge wa Viti Maalum (CUF), ameitaka serikali kueleza mpango wake wa kuwawezesha madaktari bingwa ili wafanye kazi nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Ddodoma …...
By Danson KaijageSeptember 3, 2019SERIKALI imetakiwa ieleze, ni lini itahakikisha miradi ya maji ambayo inatakiwa kutekelezwa, inatekelezwa kwa wakati. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endela). Pia imetakiwa...
By Danson KaijageSeptember 3, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge ametangaza kusitisha kutoa karatasi zinazoonesha orodha ya vikao vya shughuli za Bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Ametoa...
By Danson KaijageSeptember 3, 2019MIRAJI Mtaturu ameapishwa rasmi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, akirithi mikoba ya Tundu Lissu aliyevuliwa ubunge wa Jimbo hilo. Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeSeptember 3, 2019MAHAKAMA Kuu nchini Kanda ya Dar es Salaam, imesitisha kutoa uamuzi wa kuapishwa ama kutoapishwa kwa Mbunge Mteule wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu....
By Faki SosiSeptember 2, 2019KAMPUNI ya kuandaa filamu nchini Tanzania (J FILM 4 LIFE), imeanza utaratibu wa kutafuta vipaji vya kuigiza kwa watoto ili kushiriki kwenye vilamu...
By Kelvin MwaipunguSeptember 2, 2019RAIS John Magufuli amesema, yeye ni mpangaji wa muda pale Ikulu, na kwamba watendaji kata na Watanzania ndio wanaoamua nani awe mpangaji wa jengo...
By Regina MkondeSeptember 2, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), tayari kimepoteza uongozi wa moja ya ngome yake kuu iliyokuwa inaishikilia kwa takribani miaka 25 mfululizo. Ni...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2019MBUNGE wa Kigoma Mjini, kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, yuko nchini Ubelgiji, alikokwenda kumjulia hali mwanasiasa mahiri nchini, Tundu Antipas Lissu....
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2019KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally, amepingana utamaduni ulioanza kujengwa ndani ya chama wa kupachika majina ya wagombea kwenye...
By Hamisi MgutaSeptember 1, 2019WATU watano waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea jana usiku tarehe 31 Agosti 2019, Kibiti mkoani Pwani sasa kufanyiwa uchunguzi wa vinasaba (DNA)....
By Hamisi MgutaSeptember 1, 2019