MBUNGE wa jimbo la Kilosa mkoani Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi, ameomba mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kuupandisha...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2023MKUU wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Serikali haikumsimamisha Mganga Mfawidhi Halmashauri ya Mji Korogwe na daktari mteule wa hospitali ya wilaya...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2023MKUU wa mkoa wa Tanga, Omar Mgumba leo Jumapili amesema majeruhi watatu katika ajali iliyotokea juzi Korogwe mkoani Tanga, wamefariki dunia na kuongezeka...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2023MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema katika kuhakikisha wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba 2022 wanaendelea kidato cha kwanza 2023,...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2023WAKATI Chama Cha Mapinduzi leo tarehe 5 Februari 2023 kikitimiza miaka 46 tangu kuasisiwa kwake, Rais Samia Suluhu Hassan ametumia ukurasa wake wa...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2023JUMLA ya wafungwa 179 wa kivita wa Urusi na Ukraine wamerejea nyumbani kufuatia mpango wa kubadilishana wafungwa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Mshauri mwandamizi...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, kwa kushirikiana na wananchi wa kata ya Nyamrandirira, mkoani Mara, wamechangia fedha na vifaa mbalimbali kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2023MAJINA 12 kati ya 17 ya waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo, Jumamosi tarehe 4 Februari, mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2023KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis leo Jumamosi atakutana na wahanga wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini katika...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza watu 17 waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Tanga,...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2023MAHAKAMA kuu nchini Kenya imemhukumu kifo Ofisa wa Polisi, Fredrick Ole Leliman kwa mauaji ya wakili Willie Kimani na wengine wawili yaliyotokea...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2023ZAIDI wakazi 2,000 wa kijiji cha Nyamishiga Kata ya Lunguya Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na adha ya kutembea...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2023TAIFA la Somalia liko mbioni kuwa mwanachama rasmi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya timu iliyoundwa na taasisi hiyo kutathmini...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2023BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na Waendesha Bodaboda...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea mbuga za wanyama...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023WADAU wa tasnia ya habari wametakiwa kuongeza juhudi katika kupaza sauti kutaka mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuunda tume ya kuangalia namna ya kuboresha mfumo wa...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Zungu, watu wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma,...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023NDEGE ya Shirika la Precision Air imeshindwa kufanya safari yake kama kawaida baada ya kupata hitilafu ya kiufundi huku nyingine ikilazimika kutua...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba, amesema Serikali ina mpango wa kufumua gridi ya taifa, ili kuboresha miundombinu yake chakavu inayosababisha changamoto ya...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023BENKI ya NMB Kanda ya Kusini imetoa msaada wa vifaa tiba kwa hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Benedict ya Ndanda iliyopo Wilayani Masasi...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023MKUU mpya wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewaomba watumishi wa umma wilayani hapo kudumisha umoja na ushirikiano ili kuchochea...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023SAA chache baada ya kuteuliwa kukaimu nafasi ya aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Sheikh mpya wa mkoa...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023BARAZA la Ulamaa la Bakwata katika kikao kilichofanyika tarehe 1 Februari 2023 chini Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir limetengeua uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023HOSPITALI nchini China zimejaa wagonjwa na wazee katika kipindi cha likizo ya Mwaka Mpya wa Lunar. hali hii imetokea ikiwa mamlaka ya China...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeitaka Serikali kudhibiti uuzaji holela wa dawa za asili zisizopimwa ubora,...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023ADHA ya mafuriko kwa wakazi wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo sasa imebaki kuwa historia baada ya jumla ya Sh bilioni 215.9 kutumika...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023MWENYEKITI wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha NCCR-Mageuzi, Jovine Clinton, aliyepotea tangu tarehe 24 Januari 2023, amepatikana akiwa hajitambui katika pori...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Jaji wa Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), ambaye kwa sasa...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema vyama vya upinzani vilifanya makosa kuwapokea baadhi ya makada waliotoka katika chama tawala...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023KIONGOZI wa kanisa Katoliki Papa Francis, ameyataka mataifa ya nje kuacha kupora mali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na bara la...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023SERIKALI imewaagiza maafisa elimu wa mikoa na wilaya kuratibu usimamizi wa adhabu ya viboko shuleni, ili kuepusha vitendo vya walimu kutoa adhabu...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeandaa mafunzo ya siku tano kwa watumishi wake kutoka Kurugenzi ya Kampuni na Majina...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023MASHABIKI wawili wa soka nchini Uganda wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mwanamume mmoja kuuawa katika mji mkuu, Kampala kufuatia mzozo...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023JUMLA ya wahitimu 50 wa vyuo vikuu nchini wamepata fursa ya kupata mafunzo yanayotolewa na Kampuni ya Geita Gold Mining Ltd (GGML) katika...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeongeza mapato hadi kufikia kiasi cha Sh. bilioni 257.4 mwaka 2022 kutoka bilioni 144.4 mwaka 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kufanya tathimini dhidi ya changamoto ya kupanda kwa bei ya mahitaji muhimu ikiwemo vyakula, ili iweze kuchukua hatua...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023MRADI wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma, ulioko wilayani Ludewa, Mkoa wa Njombe, umetajwa kukwama kutokana na...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023MAZINGIRA mazuri ya uwekezaji nchini Tanzania yamezidi kuleta matunda baada ya Jarida la maarufu duniani la Forbes kumtaja mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023HUENDA Serikali nchini Tanzania ikaja na utaratibu mpya wa kupanga shule bora na zile za nafasi za mwisho baada ya kufutilia mbali...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ni vyema utaratibu wa usuluhushi upewe kipaumbele katika utatuzi wa migogoro...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema panapotokea uvunjifu wa amani mara nyingi ni pale haki inapopotezwa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023WAZIRI wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuzichukuliwa hatua kampuni za mawasiliano ya simu...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023MBUNGE wa Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina, ameliomba Bunge kuitisha mchakato wote wa manunuzi wa mkataba wa mkandarasi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuwasilisha bungeni taarifa ya watu wanaodaiwa kuwapa ujauzito wanafunzi...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema muitikio mkubwa wa wanachama wa chama hicho katika mikutano ya hadhara,...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka tume aliyoiunda kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, kukamilisha kazi hiyo ndani ya miezi...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, ameitaka Serikali kuja na mikakati ya kutatua changamoto ya mfumuko wa bei za vyakula huku...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023BAADHI ya wananchi wakazi wa wilaya ya Ulanga, wamepongeza uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kumuondoa mkuu wa wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023UBALOZI wa Ufansa umefungua ofisi ndogo mkoani Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada zinazaofanywa na Serikali, kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023