Saturday , 20 April 2024
Home mwandishi
8680 Articles1236 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Sugu: Nampongeza Samia kwa ujasiri, hoja tunazo

  ALIYEKUWA kuwa Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amempongeza Rais Samia Suluhu...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yatangaza nafasi za ajira 320

  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo tarehe 21 Januari, 2023 imetangaza nafasi 320 za ajira kwa vijana wa Kitanzania...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yatangaza nafasi za ajira 320

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo tarehe 21 Januari, 2023 imetangaza nafasi 320 za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye...

Kimataifa

Wagombea urais watukanana hadharani

  WAGOMBEA urais nchini Nigeria wamemaliza kampeni zao huku kila mmoja akitoa wito wa kukamatwa kwa mwenzio na wakishtumiana kwa kashfa za zamani...

Kimataifa

Wanawake, watoto 60 waliotekwa waachiwa huru

  ZAIDI ya wanawake na watoto 60 waliotekwa nyara wiki iliopita na watu wanaoshukiwa kuwa ni wanajihadi, huko kaskazini mwa Burkina Faso wameachiliwa...

Habari Mchanganyiko

Mshindi NMB MastaBata Kote-Kote akabidhiwa pikipiki

MSHINDI wa kampeni la NMB MastaBata Kote-Kote inayoendeshwa na Benki ya NMB, Emmanuel Marumbo kutoka mkoani Tabora amekabidhiwa rasmi Pikipiki yake aina ya...

Habari za Siasa

Mwenezi mpya CCM aanza na vishikwambi kwa walimu

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Sophia Mjema, ametoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na...

Elimu

Musoma Vijijini wafanya harambee posho za walimu, ujenzi wa sekondari

  WAKAZI wa Jimbo la Musoma Vijijini, wakiongozwa na Mbunge wao, Profesa Sospeter Muhongo, wamefanya harambee ya kuchangisha fedha za kukamilisha ujenzi wa...

Habari Mchanganyiko

Binti wa miaka 17 ajinyonga kisa mzazi mwenzie kugomea matunzo ya mtoto

  WINFRIDA Mandindile (17), amejinyonga kwa madai ya mzazi mwenzie kugoma kutoa fedha za matumizi ya mtoto wao mwenye umri wa mwaka mmoja....

Habari Mchanganyiko

Mufti aunda Tume ya watu saba kuchunguza mali, madeni ya BAKWATA

  MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tzania, Sheikh Dk. Abubakar Zubeir, ameunda tume ya watu saba kwaajili ya maboresho ya Baraza Kuu la...

Gazeti

Mkandarasi aeleza changamoto ujenzi soko la Tandale

MKANDARASI Kampuni ya NAMIS Corporate Ltd anayejenga soko la Tandale ameelezea changamoto za kutokamilika kwa wakati kwa soko hilo ikiwemo kutokulipwa kwa wakati....

Habari za SiasaTangulizi

Mamilioni yakusanywa kugharamia mapokezi ya Lissu

  MWITIKIO wa wanachama na Watanzania wanaojitokeza kuchangia gharama za mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, umezidi kuongezeka ambapo hadi...

Kimataifa

Usain Bolt alaghaiwa zaidi ya TSh 27 Bil.

BINGWA wa Olimpiki Usain Bolt analenga kurejesha zaidi ya $12.7m sawa na zaidi ya Tsh 27 Bilioni ambazo wakili wake anasema amepoteza baada...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Mpango aweka jiwe la msingi mradi wa maji Ziwa Victoria

  MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amezitaka Mamlaka za Maji pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kuongeza weledi katika usimamizi wa...

Afya

Asilimia 86 wenye umri zaidi ya miaka 18 wapata dozi kamili ya Uviko-19

  KWA kipindi cha miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022 Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya...

Michezo

Mchezaji Singida apoteza maisha mazoezini

  MCHEZAJI na kapteni wa timu ya vijana ya Singida Big Star (U17), Mohammed Banda leo tarehe 19 Januari, 2023 amefariki dunia baada...

Habari Mchanganyiko

Biteko: Ushirikiano kati ya Tanzania, Canada umeimarisha sekta ya madini

  WAZIRI wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Canada katika sekta ya madini umeendelea kuimarika hususan katika...

Habari Mchanganyiko

PPRA yafanya utafiti matumizi ya kikosi kazi katika miradi ya maendeleo

MAMLAKA ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma nchni (PPRA) imeeleza kuwa utumiaji wa utaratibu wa kikosi kazi “ Force Account “katika utekelezaji wa miradi...

Kimataifa

Focusing on 4T technologies, helping thousands of industries transform from energy consumers to energy producers

Huawei has demonstrated its commitment to Africa’s energy transition, while also showcasing the full range of its latest solar PV and green home...

Habari za Siasa

CUF: Hakutakuwa na ACT-Wazalendo Zanzibar uchaguzi 2025

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza kuwa kimejipanga kurejesha heshima yake visiwani Zanzibar, ifikapo 2025 kwa kuunda Serikali au kushiriki Serikali ya Umoja...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema:Tutakuwa wajinga kukataa ruzuku kwa mazingira ya sasa

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kiko tayari kuchukua fedha za ruzuku kutoka Serikalini, kutokana na maridhiano yanayofanywa na Rais Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ampa kibarua Rais Samia, aanika atakachoanza nacho akiwasili

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema usalama wake pindi atakaporejea Tanzania akitokea nchini Ubelgiji, utakuwa...

Kimataifa

El Chapo aomba kurejeshwa Mexico

  RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador amesema atazingatia ombi la mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin ‘El Chapo’ Guzman, anayetumikia kifungo...

Habari za Siasa

Chadema wamvaa Waziri Mkuu Majaliwa, Waziri Bashe

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kuwa uhaba wa mbolea nchini umesababishwa na Serikali kushindwa kulipa deni la Sh. 325 bililioni,...

Habari Mchanganyiko

Kada wa Chadema afia vitani Ukraine, akitetea Urusi

  RAIA wa Tanzania, mwanachama mwandamizi na kada mashuhuri wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tarimo Nemes Raymond, amefariki dunia akiwa vitani...

Kimataifa

Rais Congo: M23 bado wapo, wamedanganya

  RAIS wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amesema waasi wa M23 bado hawajaondoka kikamilifu katika maeneo wanayoshikilia mashariki mwa...

Habari Mchanganyiko

Haya hapa majina ya vijana walioitwa kwenye usaili Jeshi la Polisi Tanzania

  MKUU wa Jeshi la Polisi IGP Camilus Wambura leo tarehe 17 Januari, 2023 amewatangazia vijana walioomba kuajiriwa na Jeshi la Polisi usaili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Likizo ya Mch. Kimaro: Waumini Kijitonyama waonyesha hisia zao

  BAADHI ya waumini wa Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam wamejitokeza mbele ya kanisa hilo wakiwa na mabango...

Elimu

Wizara ya Elimu kuchunguza tuhuma vitendo vya ulawiti shuleni

  SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetuma timu maalum kwenda mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Likizo ya mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT yawa gumzo

  TAARIFA ya likizo ya siku 60 ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani,...

Kimataifa

Bosi wa mafia akamatwa baada kujificha kwa miaka 30

  BOSI wa kikundi cha mafia maarufu kama Cosa Nostra anayesakwa zaidi nchini Italia, Matteo Messina Denaro amekamatwa huko Sicily baada ya kutoroka...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wizara ya Fedha yaeleza hali ya uchumi na mwarobaini wake

SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imejipanga kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha uchumi unaendelea kukukua kwa kusimamia urekebishwaji wa baadhi...

Kimataifa

 Maelfu wafariki dunia kwa UVIKO-19 China

  WATU karibu 60,000 wamefariki dunia nchini China kwa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kati ya tarehe 8 Desemba 2022 hadi tarehe...

HabariHabari Mchanganyiko

Spika Dk. Tulia awataka majaji wanawake kutenda haki

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amewataka Majaji wa Mahakama nchini kuzingatia weledi, kufuata misingi ya...

Habari Mchanganyiko

Mgeja ashauri mawakala wa mbolea ya ruzuku wawepo hadi vijijini

MKURUGENZI wa Kampuni ya Agricultural Pharm, Khamis Mgeja, ameiomba Serikali kutatua changamoto ya huduma za pembejeo vijijini ili kuwaondolea wakulima adha ya kutembea...

Habari Mchanganyiko

Rais Mwinyi aikabidhi cheti NMB

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemkabidhi Afisa mkuu wa Teknolojia na mabadiliko ya kidigitali wa...

Habari Mchanganyiko

Makaa ya mawe yazidi kupaisha sekta ya madini

  KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa uchimbaji wa makaa ya mawe hususan katika mkoa wa Ruvuma umeendelea...

Habari

Uhaba wa maji Musoma Vijijini kuwa historia kufikia Juni

  HISTORIA ya uhaba wa maji kwa baadhi ya wananchi wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, inatarajia kufutika ifikapo Juni 2023,...

Kimataifa

25 wafariki dunia katika shambulizi Ukraine

  RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema idadi ya vifo kutokana na shambulio la kombora la Urusi kwenye jengo la ghorofa tisa katika...

HabariHabari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo: CUF imekwisha

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema Chama cha Wananchi – CUF sio kwamba ushawishi wake kwa Watanzania umeshuka bali sasa umekwisha baada ya...

Habari

DR Congo yawalaumu waasi ADF shambulizi lililoua 10 kanisani

  SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewalaumu waasi ADF wenye mfungamano na kundi la Islamic State kwa shambulio la bomu katika...

HabariHabari za Siasa

Chadema yaahidi kupigania marekebisho sheria ya habari

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitapigania marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016 ili vifungu vinavyodhoofisha uhuru wa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yapangua sekretarieti, Sophia Mjema amrithi Shaka

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza safu mpya уа Wajumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC) na Wajumbe wa Sekretarieti ya...

Habari za Siasa

Zitto ajitosa sakata la DCI, DPP kufikishwa kortini kwa kushindwa kuchunguza wasiojulikana

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameahidi kutoa ushirikiano katika kesi ya jinai iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Luqman Maloto, dhidi...

Kimataifa

Iran yamnyonga waziri aliyedaiwa kutoa siri Uingereza

  Serikali ya Irani, imemnyonga aliyekuwa Naibu Waziri wa Ulinzi wa Irani,Alireza Akbari, kwa kosa la kutoa siri za nchi hiyo na kufanya...

Afya

Serikali yaikana TANNA sakata la watumishi wa afya Tabora

  WIZARA ya Afya imesema maoni yaliyotolewa na Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), kuhusu sakata la watumishi wa afya katika Zahanati ya Ishihimulwa...

Kimataifa

M23 wakubali kuachia ngome yao, wakutana na Uhuru Kenyatta

  VIONGOZI wa kundi la waasi la M23 wamekutana na msuluhishi wa kanda rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta, mjini Mombasa, ambapo...

Habari za Siasa

DCI, DPP kortini kwa kushindwa kuchunguza matukio ya wasiojulikana ikiwemo la Lissu

  MWANAHABARI Luqman Maloto, amefungua kesi ya jinai dhidi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini...

Habari za Siasa

Lissu atoa angalizo “siku zijazo hazitakuwa rahisi”

  MAKAMU Mweneykiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu amesema siku zijazo hazitakuwa rahisi licha ya ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan na utayari...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kurejea rasmi nchini Januari 25 baada ya miaka mitano uhamishoni

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu ametangaza kurejea nchi rasmi tarehe 25, Januari, 2023 ikiwa ni zaidi ya miaka mitano ya...

error: Content is protected !!