Thursday , 28 March 2024
Home mwandishi
8555 Articles1222 Comments
MichezoTangulizi

Argentina bingwa wa dunia, Messi aweka historia

  TIMU ya Taifa ya Argetina imevunja rekodi ya miaka 36 iliyopita baada ya kuinyuka Ufaransa jumla ya penalti 4 – 3 na...

Habari Mchanganyiko

Mkazi Dodoma akabidhiwa pikipiki ya Mastabata

MKAZI wa Kizota jijini Dodoma, Salum Jumanne Rajabu jana Alhamisi Desemba 15, 2022 alikabidhiwa pikipiki yake baada ya kushinda katika shindano la MastaBata...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo: Tutazuia hujuma yoyote itakayolenga kuvuruga uchaguzi jimbo la Amani

CHAMA cha ACT Wazalendo kimehitimisha kampeni ya mgombea wake jimbo la Amani leo kwa kuonya kuwa kitazuia hujuma yoyote ya kuvuruga uchaguzi mdogo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Ruwa’ichi kuongoza vijana 30,000 kuliombea Taifa

VIJANA zaidi ya 30,000 wanatarajia kukutana tarehe 17 Disemba, 2022 kwa ajili ya kuliombea taifa wakiongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la...

HabariTangulizi

Rais Samia amlilia balozi aliyefariki ajalini

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy, kilichotokea katika ajali ya gari...

Habari Mchanganyiko

Mume kizimbani akituhumiwa kughushi ridhaa ya mkewe na kujipatia Sh. 140 milioni

SELEMANI Maziku, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma za kujipatia Sh. 140 milioni, baada ya kughushi...

HabariKimataifa

Marekani yaanza kujiimarisha Afrika, kutoa Sh. 128.4 trilioni

  RAIS wa Marekani Joe Biden ameahidi kuimarisha uhusiano na mataifa ya Afrika, huku akitangaza kusudio la Serikali yake kutoa kiasi cha Dola...

Kimataifa

Rais Kagame akana Rwanda kuchochea vita Congo DRC

  RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amedai kwamba Serikali yake haichochei mgogoro wa kivita unaoendelea mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

PoliticsTangulizi

Mjadala deni ya Taifa: Chadema wataka mikataba ya mikopo iweke wazi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali iweke wazi mikataba ya mikopo inayokopa katika taasisi za kimataifa, ili kujua masharti yake na...

Habari Mchanganyiko

Exim yatoa msaada wa majaketi ya viakisi mwanga kwa bodaboda Mwanza

BENKI ya Exim tawi la Mwanza imekabidhi msaada wa majaketi yenye viakisi mwanga (Reflector Jackets) kwa madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda wa...

Habari Mchanganyiko

NBC yakusanya bilioni 38 mauzo ya Hati Fungani ya Twiga

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kufunga mauzo ya hati fungani yake iliyofahamika kama NBC Twiga Bond kwa mafanikio makubwa baada ya...

Habari Mchanganyiko

Mashahidi 9 kutumika kesi ya kimtandao inayomkabili Mwandishi wa Habari

MASHAHIDI tisa na vielelezo kumi vitatumika  katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika kundi la whassap inayokambili  mwandishi wa habari za...

Habari Mchanganyiko

NMB wazindua akaunti ya kidijitali inayofunguliwa kwa buku tu!

ZAMA mpya ya huduma za kibenki imejiri nchini baada ya Benki ya NMB kuzindua suluhisho la kisasa ‘NMB Pesa Akaunti’ ambayo ni akaunti...

Habari MchanganyikoKitaifa

Wananchi KIA walia kunyang’anywa ardhi

WANANCHI wa vijiji vinavyozunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA), wamelalamikia serikali kwa kudai kuwanyang’anya ardhi bila kuzingatia sheria. Anaripoti Mwandishi...

HabariTangulizi

Dk. Samia atua Marekani, aridhia kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilimo

RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau wapya 3,000. Uamuzi huo...

Habari

SAT wapigwa msasa juu ya haki za wanyama

JUMLA ya wafanyakazi 65 wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) wamepewa elimu ya kutambua haki za wanyama hasa wmifugo ili kuweza kusaidia mifugo...

HabariKimataifa

Rais Ruto, Odinga kukutana ana kwa ana Marekani

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto leo tarehe 13 Disemba, 2022 atakutana ana kwa ana na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila...

HabariMichezo

Mtangazaji wa soka azirai na kufariki akitangaza mechi Qatar

MWANDISHI wa habari aliyejizolea umaarufu kwa utangazaji mechi za soka kutoka Marekani, Grant Wahl (49) amefariki dunia nchini Qatar baada ya kuzimia alipokuwa...

Habari Mchanganyiko

DC apiga marufuku mifugo kuingia Kilombero

Uongozi Wilayani Kilombero mkoani Morogoro umepiga marufuku mifugo mipya kuingia wilayani humo katika jitihada za kulinda bonde la Bonde la Kilombero. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Marekani yajipanga kuziwekea vikwazo vipya Urusi, China

MAREKANI imepangakutangaza vikwazo vipya dhidi ya nchi zq Urusi na China kuanzia tarehe 16 Disemba, 2022 kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu...

HabariHabari Mchanganyiko

Dk. Samia asamehe wafungwa 1,631

KATIKA kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza msamaha kwa wafungwa 1,631 ikiwamo wa kike walioingia...

HabariSiasa

Vigogo ACT mbaroni kwa uchochezi, kukashifu viongozi wa Serikali

JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini limewakamata na kuwahoji watu wawili ambao ni wanachama wa chama cha ACT Wazalendo kwa tuhuma za kuwakashifu...

HabariSiasa

Shaka CCM tusipoteze muda  wa malumbano

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na...

Habari

Dk. Samia apewa tuzo ya muongozaji bora watalii

RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya kimataifa ya kuwa muongoza watalii bora nchini kutoka Taasisi ya Kimataifa ya International...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Chadema haitafuti vyeo mazungumzo na Samia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema mazungumzo ambayo chama hicho inafanya na Serikali ni ya wazi na wala...

MichezoTangulizi

Morocco yatinga nusu fainali, Ronaldo amwaga chozi

TIMU ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kuiondoa timu ya Taifa...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaombwa kurekebisha Sheria ya NGO’s

  SERIKALI ya Tanzania, imeombwa kufanya marebisho dhidi ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) ya 2002, Kwa sababu imepitwa na wakati...

Habari Mchanganyiko

Ng’ombe 870 washikiliwa kwa kuingia Serengeti, wafugaji waiangukia Serikali

BAADHI ya wafugaji mkoani Arusha wameiangukia Serikali wakiomba ng’ombe zao zaidi ya 800 wanaoshikiliwa kwa kosa la kuingia katika Hifadhi ya Taifa ya...

Habari Mchanganyiko

Ukatili wa kutisha, kina mama mbaroni kwa kuchoma moto watoto

JESHI la Polisi Mkoa wa Njombe, limesema tangu Novemba hadi Desemba 2022, limepokea matukio 33 ya ukatili wa kijinsia, ambapo linawashikilia kina mama...

HabariHabari Mchanganyiko

Karagwe watenga bilioni 1.32 kupokea wanafunzi wapya 2023

HALMASHAURI ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera inatarajiwa kutumia Sh bilioni 1.32 katika ujenzi wa vyumba vya madarasa 66 kwa mwaka huu wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Miaka 61 ya uhuru: Walilia maendeleo, uhuru na haki

WAKATI Tanzania Bara ikitimiza miaka 61 ya uhuru, Serikali imetakiwa kuhakikisha maendeleo, uhuru na haki za Watanzania zinaimarika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Kuku choma festival kurindima kesho Msasani Beach Club

LILE Tamasha la Kuku choma litafanyika kesho Msasani Beach Club jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza...

Habari

Hizi hapa nauli pendekezwa za treni ya SGR, LATRA yaomba maoni

  SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limetoa nauli pendekezwa za abiria kwa treni ya njia ya Reli ya Kisasa (SGR), ambapo nauli ya...

HabariTangulizi

Maadhimisho miaka 61 Uhuru: Rais Samia atuma ujumbe kwa Watanzania

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuitumia siku ya maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tanzania Bara, kutafakari namna ya kuongeza...

Michezo

Penzi la Kajala, Harmonize lavunjika tena!

YAMKINI uhusiano kati ya Msanii wa Bongo Muvi, Kajala Masanja na wa Bongofleva Rajabu Abdul ‘Harmonize’, umevunjika. Hatua hiyo inakuja baada ya jana...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete amtaka Samia kuwa mkali ‘usivumilie upuuzi’

RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ameushauri uongozi mpya wa CCM unaongozwa na Mwenyekiti Dk Samia Suluhu Hassan kuwa wakali na kutovumilia maneno yanayokigawa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Forbes yamtaja tena Dk. Samia miongoni mwa wanawake 100 wenye uwezo mkubwa duniani

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametajwa na jarida la Forbes kwa mwaka wa pili mfululizo kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi, nguvu...

Habari za Siasa

Wasaidizi wa Samia matumbo joto, kupanguliwa wakati wowote

RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amesema amekusudia kufanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi wa Serikali ili kuachana na viongozi ambao wanashindwa...

Habari za Siasa

Makundi CCM yamchefua Dk. Samia

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wanachama wa chama hicho kuacha kujenga nyufa ndani ya chama baada...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Samia aomba radhi kauli ya Mzee Makamba ‘wazuri hawafi’

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema Katibu Mkuu mstaafu wa chama hicho, Yusuph...

ElimuHabari

Serikali yaahidi kutatua changamoto za DMI

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo ch bahari Dar es Salaam (DMI). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Ahadi hiyo...

Habari Mchanganyiko

UNHCR yaadhimisha miaka 30 ya DAFI, wakimbizi 22,500 wanufaika

  SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), limefanya maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi inayotoa ufadhili wa masomo kwa wakimbizi,...

Habari Mchanganyiko

Watetezi wa haki za binadamu kupigwa msasa

  SHIRIKA linalosimamia haki za watetezi wa haki za binadamu Afrika (Defend Defenders), Kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu...

Habari za Siasa

Mzee Makamba aibua mjadala majibu yake kuhusu mgawo wa maji, umeme

  KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, ameibua mjadala kufuatia kauli yake iliyowataka watu wanaohoji uhaba wa umeme...

Habari Mchanganyiko

Muswada mabadiliko Sheria ya habari waiva

  SERIKALI ya Tanzania, inajiandaa kuwasilisha bungeni jijini Dodoma, mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, Ili kuondoa vifungu vinavyominya uhuru...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Samia, Kinana na Dk. Mwinyi wapenya CCM

  MSIMAMIZI wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein ambaye ni Rais mstaafu wa Zanzibar leo tarehe 7 Disemba,...

Habari Mchanganyiko

DCEA yakamata kilo 16.643 za dawa za kulevya, washirika wa Cambiaso ndani

  MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata jumla ya kilo 16.643 za dawa ya kulevya zikijumuisha kilo 15.19...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaongeza wajumbe NEC kutoka 15-20

  NAFASI za idadi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC), imeongezwa kutoka wajumbe 15 hadi 20 Tanzania Bara vivyo hivyo kwa upande wa...

Elimu

Wanafunzi 1,143 wajitokeza mashindano ya tafiti za kisayansi

  ZAIDI ya wanafunzi 1143 wamejitokeza kuomba kushiriki mashindano ya gunduzi na tafiti za kisayansi yaliyoandiliwa na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi (YST) ambayo...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mdee, wenzake yapigwa kalenda hadi Machi 2023

  KESI ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Chadema, iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar...

error: Content is protected !!