BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC ) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamezindua mpango rasmi wa ufadhili wa masomo...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023KARIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Balozi Mhandisi Aisha Amour amezungumzia umuhimu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini,...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023HATIMAYE Serikali ya Tanzania, imeamua kujiandikia historia yake nyingine ya kuingiza nchi katika mikataba tata ya kinyonyaji, kufuatia hatua ya Bunge lake,...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MDHAMINI Mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC) leo Ijumaa aimekabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023BONANZA la Kudumisha Mashirikiano baina ya Benki ya NMB na Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), linafanyika Jumamosi hii tarehe 10 Juni, 2023 kwenye...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023CHAMA cha wanasheria Tanzania (TLS), kimejitosa katika sakata la umilikishwaji wa bandari baada ya serikali kuanzisha makubaliano ya awali na kampuni ya...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imetoa msaada wa vitanda vinne vya akina mama kujifungulia katika vituo vya afya vya Nyankumbu na...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023KUTOHUDHURIA kwa China katika mkutano wa kurekebisha deni la Sri Lanka huko Washington kilichoitishwa mwezi Aprili mwaka kumetoa taswira ya Beijing kuendelea...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023SAKATA la mkataba wa uendeshaji, uendelezaji na uboreshaji wa bandari nchini Tanzania kati ya Mamlaka ya Bandari (TPA) na kampuni ya DP...
By Mwandishi WetuJune 8, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema Serikali ya Tanzania bado haijasaini mikataba ya utekelezaji wa mkataba...
By Mwandishi WetuJune 8, 2023HEDHI ni sehemu ya maisha ya kawaida na yenye afya, lakini kwa watu wengi wanaopata hedhi, ni chanzo cha aibu, hofu na ubaguzi....
By Mwandishi WetuJune 8, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema hakuna ukweli wowote juu ya muda wa miaka 100 wa uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023MDHAMINI Mkuu wa Ligi ya NBC , Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo Jumatano imezindua kombe jipya la ligi kuu ya soka...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023KATIKA kuhakikisha wimbi la ajali za barabarani zinapungua kama sio kumalizika kabisa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kushirikiana na Chuo cha...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023ALIYEKUWA mbunge wa Kinondoni, kupitia vyama vya The Civil United Front – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati ya...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amewafuta kazi Meja Jenerali Aloys Muganga, Brigedia Jenerali Francis Mutiganda, pamoja na maafisa wengine 14 wa Jeshi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023UONGO 1: Serikali imekodisha Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World kwa miaka 100* Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) ambayo ni moja ya migodi maarufu ya AngloGold Ashanti nchini Tanzania, imeadhimisha Siku ya Mazingira Duniani...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023WANAFUNZI na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph cha jijini Dar es Salaam, wamebuni Satellite ambayo hadi kukamilika kwake itagharimu Dola za...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023“HAKUNA namna ambayo serikali yaweza kukimbia maamuzi ya Mahakama kwa kutekeleza kile ambacho kimeamriwa kisimame; na au kinyume cha sheria. Pale ambapo...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dk. Damas Ndumbaro, amekana madai kuwa serikali yake, alisema, baadhi ya wananchi wa kabila la Wamasai,...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023SERIKALI ya Tanzania inatarajia kuingia makubaliano na kampuni ya Dubai ya DP World ya kuweka uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023SERIKALI mjini Kyiv nchini, Ukraine imeushutumu utawala wa Rais Vladimir Putin wa Urusi, kwa kulipua bwawa lake kubwa katika kituo cha kuzalisha umeme...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amefanye uteuzi wa wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi nchini mwake, katika mojawapo ya mabadiliko makubwa kabisa ya...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imewazawadia mawakala wa usajili wa (Freelancer) ya jiko la gezi na mtungi wake ikiwa ni sehemu ya kampeni yake...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ameitaka klabu ya Yanga kumaliza tofauti zake na mchezaji wake wa...
By Mwandishi WetuJune 5, 2023KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix Tanzania mwisho mwa wiki iliyopita imezindua series ya Infinix NOTE 30 ambazo zimekuja maalum kwa...
By Mwandishi WetuJune 5, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza klabu ya soka ya Yanga, kwa hatua waliyofikia katika michuano ya...
By Mwandishi WetuJune 4, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumatatu, tarehe 5 Juni 2023, ameialika Ikulu jijini Dar es Salaam, timu ya Yanga, kupata chakula...
By Mwandishi WetuJune 4, 2023HALMASHAURI ya mji Tunduma Imetenga kiasi cha Tshs Miloni 60 kujenga machinjio ya mifugo katika mtaa wa Msampa kata ya Chapwa wilayani Momba...
By Mwandishi WetuJune 4, 2023TAKRIBANI watu 260 wamefariki na wengine karibu 650 wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea nchini India, huku mamlaka zikisema, “waokoaji hawajaweza kuwapata...
By Mwandishi WetuJune 4, 2023HALMASHAURI ya mji Tunduma iliyopo wilayani Momba mkoani Songwe imepatiwa Sh 17 bilioni kutoka serikali kuu kujenga bandari kavu katika mtaa wa Mpemba....
By Mwandishi WetuJune 4, 2023SERIKALI kupitia mamlaka ya Bandari nchini (TPA), imewekeza takribani Sh. 800 bilioni, ili kutekeleza miradi ya uboreshaji wa bandari zake. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 3, 2023TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini (THBUB), imetoa matokeo ya uchunguzi wa kifo cha Nusura Abdallah, mwanafunzi wa Chuo Kikuu...
By Mwandishi WetuJune 3, 2023WANAHISA wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Sh 143.1 bilioni kwa mwaka 2022, sawa na Sh 286 kwa kila hisa moja katika...
By Mwandishi WetuJune 2, 2023MAMIA ya magunia ya madawa ya kulevya aina ya bangi, yamekamatwa wilayani Arumeru mkoani Arusha, mchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha …...
By Mwandishi WetuJune 2, 2023ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samwel Peter Kamanga na wenzake sita, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
By Mwandishi WetuJune 2, 2023Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za...
By Mwandishi WetuJune 2, 2023KAULI ya hivi karibuni ya Rais wa China, Xi Jinping ya kuwataka vijana watafute kwa uchungu kwa mikono yao wenyewe imewakatisha tamaa....
By Mwandishi WetuJune 2, 2023BENKI ya NMB imeendelea kufanya kazi kwa karibu na Asasi ya Tawala za Mitaa (ALAT Taifa), ikiwemo kudhamini Mikutano yake Mikuu ya Mwaka...
By Mwandishi WetuJune 2, 2023SERIKALI kupitia Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetenga Sh. 573 milioni, kwa ajili ya ujenzi wa Sekondari ya Wanyere, wilayani Musoma Vijijini,...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema wakurugenzi wa halmashauri ambao watashindwa kufikia...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Livingston Lusinde amesema CCM haina mpango wakuliachia jimbo la Moshi mjini pamoja halmashauri ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023SERIKALI ya Tanzania na Benki ya Dunia (WB), wamejifunga kwenye mkataba wa utekelezaji awamu ya pili ya uboreshaji wa miundo mbinu jijini Dar...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023KATIKA kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa vifaa tiba nchini, Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo ya Temdo Tanzania (TEMDO) imeanzisha karakana ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuanzia mwaka wa masomo wa 2023/2024 kimepanga kuwapa wanafunzi ujuzi na maarifa muhimu katika fani za ujasiriamali,...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetangaza rasmi kwamba shamba la Razaba lilipo eneo la Bagamoyo, mkoani Pwani, ni mali halali ya serikali...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023JESHI rasmi la serikali ya Sudan, limesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya kusimamisha mapigano kati yake na wanamgambo wa Rapid Support Forces...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023SHIRIKA la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP), limetangaza kuwa zaidi ya wakimbizi laki mbili waliopo nchini Tanzania, wataanza kupokea nusu ya...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Hussein Ally Mwinyi, amezindua Kamati ya Maridhiano Visiwani, yenye lengo la kuendeleza dhamira ya...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023