Friday , 3 May 2024
Home mwandishi
8779 Articles1249 Comments
Makala & Uchambuzi

Haya ndio maeneo 12 ambayo Tanzania itafaidika uwekezaji DP World bandarini

MJADALA kuhusu makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ambayo inatarajiwa kuwekeza katika Bandari ya Dar es Salaam umezidi kushika...

BiasharaElimu

Teknolojia ya kidigitali kuleta mapinduzi ya elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara   

TEKNOLOJIA za kidigitali na uunganishwaji ni ufunguo wa kuwawezesha vijana wa Afrika kuonyesha uwezo wao. Kwa kuwafungulia milango ya fursa kwa vijana wa...

Biashara

Wateja wa Vodacom kurudishiwa 10% wakilipa kwa simu bidhaa mbalimbali banda la Sabasaba

  KAMPUNI ya Vodacom Tanzania katika msimu huu wa sabasaba imetoa zawadi kwa watanzania kwa kuwarudishia mpaka 10% ya pesa watakapolipia bidhaa mbalimbali...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atumbua wakuu wa wilaya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02 Julai, 2023 ametengua uteuzi wa wakuu wa wilaya ya Kilindi...

Kimataifa

Ripoti: Serikali za Mitaa China tuhumani kuuza ardhi bandia

  RIPOTI ya Wall Street Journal (WJS) inaituhumu Mamlaka ya Serikali za mitaa ya China kwa kuongeza kwenye kukusanya mapato ya takribani dola...

Elimu

Wananchi wajitolea ujenzi shule mpya Mbozi, watoto hutembea kilomita 10

WANANCHI wa vitongoji vilivyopo katika kata ya Mlowo halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamechangia nguvu kazi kujenga shule ya sekondari Nambala...

Habari za Siasa

Tunduma yaanza mikakati kubuni vyanzo vipya vya mapato, yalenga kuipiga teke Ilala

MWENYEKITI wa halmashauri ya mji Tunduma, Ayoub Mlimba amesema katika bajeti ya mwaka huu wa fedha 2023/2024 wamejipanga kubuni vyanzo vipya vya mapato...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM afariki baada ya kugongwa na trekta

MBUNGE wa Jimbo la Mbarali Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Fransis Leonard Mtega (CCM) leo Jumamosi  alasiri amefariki dunia  baada ya kupata ajali...

KimataifaTangulizi

Rais agomea nyongeza ya mshahara wake, “walimu, polisi … wanastahili”

RAIS wa Kenya, William Ruto  amegomea pendekezo la Tume ya mishara ya nchi hiyo (SRC) la nyongeza ya mshahara kutoka TSh 24.8 milioni...

Habari MchanganyikoKimataifa

Lori laparamia daladala, bodaboda, machinga, laua zaidi ya 55 Kenya, Rais atuma salama za pole

WATU zaidi ya 55 wanahofiwa kufariki dunia baada ya lori lenye trela kugonga daladala nchini Kenya pamoja na waendesha bodaboda na watembea kwa...

Elimu

800 wahitimu masomo elimu ya watu wazima

JUMLA wanafunzi 800 wamehitimu masomo katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kati yao wanaume 279 sawa na asilimia 35  na wanawake...

Afya

NHIF yaita Watanzania kujisajili uanachama Sabasaba

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewahimiza wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na waliotoka katika maeneo mbalimbali nchini kufika...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ampa maagizo mazito Balozi wa Tanzania-Uturuki

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amemuagiza Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Balozi Idd Seif Bakari kuhakikisha...

Habari Mchanganyiko

DC Maswa aungana na REA kuhamasisha wananchi vijijini kuunganisha umeme

MKUU wa Wilaya ya Maswa, Aswege Kaminyonge amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali katika Wilaya hiyo kuunga mkono na kuendeleza jitihada zinazofanywa na Wakala...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Ponda ajitosa sakata la DP World, atoa msimamo

  KATIBU wa Shura ya Maimamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameipongeza Serikali kwa kuupeleka bungeni jijini Dodoma, mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kwa...

Kimataifa

Mahakama yapinga ombi la Trump la kuondolewa mashtaka ya ubakaji

  JAJI mmoja wa mahakama ya serikali mjini New York nchini Marekani ametupilia mbali juhudi za rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald...

KimataifaTangulizi

Mshahara wa milioni 28 kwa Rais Ruto wazua gumzo Kenya

RAIS wa Kenya, William Ruto, naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu Mkuu, Musalia Mudavadi kuwa ni moja ya maafisa wa ngazi ya...

Habari Mchanganyiko

Dk. Michael alifunda Jeshi la Polisi Songwe

MKUU wa mkoa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Songwe, Dk. Francis Michael amewataka  askari wa mkoa huo kufanya...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua Makamu NEC, Mkaguzi mkuu wa Serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Benjamin Magai kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa...

Kimataifa

Majeshi ya Urusi yadai kuua majenerali Ukraine

JESHI la Urusi lililopo katika operesheni maalum nchini Ukraine limedai kuwaua majenerali wawili katika shambulizi la mapema wiki hii. Anaripoti Joseph Nyoni kwa...

Michezo

Mamdonga atambulisha ngumi yake mpya sabasaba

BONDIA machachari nchini Karim Said maarufu ‘Mandonga Mtu kazi’ ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kutangaza ngumi mpya iitwayo...

Elimu

Wanafunzi 275 watumia darasa moja kusoma, Serikali yataja mikakati

KUTOKANA na uwepo wa msongamano mkubwa wa wanafunzi katika shule ya msingi Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe uliosababisha wanafunzi 270 kusomea katika darasa...

Habari Mchanganyiko

NMB, Agricom kukopesha wakulima matrekta, pembejeo za kilimo

KATIKA kukuza mchango wa sekta ya kilimo kwenye pato la Taifa na kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa mkulima mmoja mmoja na wadau...

Habari Mchanganyiko

Wakala wa meli Tanzania: Uwekezaji DP World ni muhimu

CHAMA cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya...

Biashara

Wakala wa meli Tanzania waunga mkono ujio wa DP World

  CHAMA cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari...

Habari Mchanganyiko

Zanzibar yataka taasisi uhisani kuongeza nguvu utatuzi wa changamoto za jamii

TAASISI zinazojishughulisha na masuala ya uhisani Afrika Mashariki, zimetakiwa kuongeza nguvu katika kutatua changamoto zinazoikabili jamii ili kuimarisha ustawi wa wananchi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge laazimia mambo 4, laahirishwa, Majaliwa atoa hofu mkataba bandari

HATIMAYE Bunge la Bajeti limeahirishwa baada ya kutumia siku 85 tangu lilipoanza tarehe 4 Aprili 2023, huku azimio lake la kuridhia makubaliano ya...

Habari za Siasa

ACT yajipanga kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi

  KATIBU Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema Chama hicho kimejipanga kuongeza ushiriki wa wanawake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi za...

Biashara

Waziri Nape aipongeza Vodacom, azindua ofisi ya kisasa Jijini Dodoma

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amepongeza jitihada za Vodacom Tanzania kwa kufungua ofisi ya kisasa katika makao...

Habari Mchanganyiko

Mkutano wa uhisani Afrika kuunguruma Zanzibar

MKUTANO wa nane wa uhisani Afrika Mashariki (EAPC), unatarajiwa kuanza kufanyika  tarehe 28  hadi 30 Juni 2023, visiwani Zanzibar.Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Kwa...

Kimataifa

Rais wa zamani alaani mali zake kutwaliwa na utawala mpya

WAKILI wa Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu, amelaani hatua ya serikali ya nchi hiyo, kutwaa mali mbalimbali zinazohusishwa na familia mwanasiasa...

Biashara

Wafanyabiashara Tunduma watoa dukuduku ujenzi soko la bilioni 1.9

WAFANYABIASHARA katika soko la Majengo halmashauri ya mji Tunduma wameio na Serikali iharakishe ujenzi soko jipya ili waweze kuendelea na zao katika maeneo...

Habari Mchanganyiko

Bosi wa kampuni akutwa amefariki gesti

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limeona taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Deogratius...

BiasharaTangulizi

TLS yaishauri Serikali kufuta vifungu tata mkataba DP World, “vinakiuka masilahi ya Taifa”

CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeshauri Serikali kuondoa vifungu vinavyominya maslahi ya Taifa katika mkataba wa makubaliano ya kiserikali kati yake na...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Tulia aeleza sababu za kengele ya hatari kulia Bungeni

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema kengele ya hatari iliyofanya mhimili huo usitishe shughuli zake kwa muda, imetokana na marekebisho yaliyokuwa yanafanywa...

Biashara

RC Chalamila azindua NMB Onja Unogewe, aiita akili kubwa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ameipongeza Benki ya NMB  kwa kuzindua huduma mpya chini ya Mwamvuli wa Teleza...

Kimataifa

Biden asisitiza kuwa Rais Xi Jinping ni ‘Dikteta’

  RAIS wa Marekani Joe Biden amesisitiza kuwa ataendelea kumwita Rais wa China Xi Jinping ‘Dikteta.’  Imeripotiwa na VOA … (endelea). Biden alitoa...

HabariKitaifa

Spika Tulia aeleza sababu za kengele ya hatari kulia Bungeni

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema kengele ya hatari iliyofanya mhimili huo usitishe shughuli zake kwa muda, imetokana na marekebisho yaliyokuwa yanafanywa...

GazetiHabari

Kikao cha Bunge chaahirishwa ghafla, larejea

KIKAO cha Bunge kilichokuwa kinaendelea leo Jumanne, tarehe 27 Juni 2023, kimeahirishwa ghafla baada ya kutokea dharura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kikao hicho...

Biashara

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World

  MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa...

Elimu

Tunduma waiangukia Serikali kukamilisha ujenzi sekondari ya Samia

WADAU wa elimu mkoani Songwe wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa mabweni katika shule mpya ya wasichana ya Dk. Samia S.H sekondari inayojengwa kwa...

Habari za Siasa

JUVICUF wataka elimu zaidi kuhusu mkataba bandari

WAKATI Serikali ikiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Kampuni ya DP World, kuhusu ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, Jumuiya...

Biashara

NMB yatangaza neema Zanzibar, Rais Samia atoa neno

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Benki ya NMB kwa jitihada zake za kuendelea kuiunga mkono Serikali kwa kuongeza ushirikishwaji wa kifedha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Simulizi mwanafunzi aliyedaiwa kuwekwa kinyumba na Baba Jose inasikitisha, RC aonya viboko

TAKRIBANI mwezi mmoja na siku kadhaa tangu Mwanafunzi Ester Noah (18) wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari ya Pandahili mkoani Mbeya...

Habari za Siasa

Mkutano wa CHADEMA Temeke kupinga bandari wasusiwa na viongozi, wananchi

MKUTANO ulioandaliwa leo na chama cha upinzani cha CHADEMA na kada wake wa zamani, Wilbrod Slaa, kwenye viwanja vya Bulyaga, Temeke, jijini Dar...

Habari Mchanganyiko

Katibu Mkuu Maji apokea taarifa ya utekelezaji Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu

KARIBU Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba amefanya ziara ya Kikazi Mkoani Morogoro ambapo amekutana  na viongozi pamoja na watumishi wa sekta...

Habari za Siasa

Kamati ya siasa yakagua miradi ya bilioni 9.3 Ileje, yabaini madudu

KAMATI YA siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe  imekagua miradi nane yenye thamani ya Sh 9.3 bilioni katika wilaya ya Ileje...

Biashara

NBC Connect yabisha hodi Dodoma

KAMPUNI pamoja na taasisi mbalimbali  ambazo ni wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara ya (NBC) mkoani Dodoma, sasa zinaweza kupata uzoefu mpya...

Habari za Siasa

Tanzania yafungua rasmi ubalozi wake nchini Indonesia

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Alhamisi imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza katika...

Kimataifa

Mlipuko wa gesi waua 31 China, tisa mbaroni

WATU takribani 31 wamepoteza maisha huku kadhaa wakijeruhiwa, baada ya mtungi wa gesi ya kupikia kulipuka katika mgahawa wa Fuyang, ulioko mjini Yinchuan...

error: Content is protected !!