Monday , 20 May 2024
Home 2018

Year: 2018

Michezo

Taifa Stars yazinduka kwa DR Congo

TIMU ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ imezinduka usingizi baada ya kuitandika DR Congo kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe na wenzake wapewa kesi ya Akwilina, wanyimwa dhamana

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na viongozi watano wa chama hicho wamesomewa mashtaka nane katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu likiwemo la kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe na wenzake wafikishwa mahakamani Kisutu

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayowakabiri. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Waganga wamtuhumu Katibu kutumia madaraka vibaya

BAADA ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa Umoja Chama Waganga wa Tiba Asilia, Wakunga (UWAWATA “T”) kukutana na kufanya mageuzi kwa kuondoa uongozi...

Habari Mchanganyiko

Wakulima watakiwa kutowaogopa maofisa ugani

AFISA kilimo wa mkoa wa Dodoma, Benard Abraham amewataka wakulima kuwasiliana na maofisa ugani pale wanapoona mimea yao au mazao inashambuliwa na wadudu....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, viongozi Chadema wafutiwa dhamana

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine wandamizi wa chama hicho, “wameswekwa rumande,” kwenye kituo cha polisi...

Habari za Siasa

Deni la Taifa lazidi kupaa

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Serikali (CAG) ya mwaka 2016/17 imeonyesha deni la Taifa limezidi kupaa kwa asilimia 12 ukilinganisha na ripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Moil yafunga biashara Tanzania, yahamia Uganda, DR Congo

KAMPUNI ya mafuta ya Moil, inadaiwa kuwa imeanza kuondoa biashara zake za uuzaji wa mafuta nchini na kuzihamishia katika nchi za Uganda na...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amdhibiti Prof. Lipumba, amshika pabaya

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepiga marufuku uanzishaji wa matawi mapya na kuagiza viongozi wake ngazi ya majimbo kuwa macho na nyendo zozote za...

Habari za SiasaTangulizi

Nondo aachiwa kwa dhamana Iringa

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo ameachiwa kwa dhamana leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za Siasa

Kubenea atinga kwa Lissu

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, leo Jumapili amekutana na madiwani wa jimbo la Singida Mashariki, linaloongozwa na Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa, Mbowe waufuata waraka wa Maaskofu KKKT

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama hicho, Edward Lowassa wameshiriki kwenye ibada ya Jumapili ya matawi kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Mipango ya Jaji Mutungi, Lipumba kumng’oa Maalimu Seif yafichuka

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa Msajili wa vyama siasa nchini Jaji Francis Mutungi na Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Maaskofu wa KKKT watoa waraka mzito kwa serikali

MAASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametoa waraka mzito waliouta ‘Ujumbe wa Sikukuu ya Pasaka’ ambao utasomwa kesho katika makanisa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo waikaba Polisi

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam imekiruhusu chama cha ACT-Wazalendo kulishtaki Jeshi la Polisi Tanzania kwa kuzuia ziara za chama hicho. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Mkurugenzi awataka watendaji wake wajitathimini

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Sengerema mkoani Mwanza, Magesa Mafuru amewataka watendaji katika ofisi ya Ofisa maendeleo ya jamii kujitathimini katika utendaji wao...

Habari za Siasa

Wananchi Mwanza wajutia kumchagua Mbunge

WAKAZI wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wamejikuta wakizilaumu nafsi zao na kujutia kumchagua Mbunge wa jimbo hilo, Angelina Mabula kutokana na kile...

Habari za Siasa

Mnyika, Heche wang’ang’aniwa Polisi, Mdee asakwa

JOHN Mnyika, Naibu Katibu Mkuu (Bara) na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti, John Heche wamezuiliwa polisi kwa madai ya kuwa wameshindwa kufuata...

Habari za SiasaTangulizi

Machozi ya Mbowe kwa JPM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Mbunge wa Hai, Freeman...

Habari Mchanganyiko

ATC yaleta taharuki Dodoma

NDEGE ya shirika la ndege la taifa (ATC), iliyokuwa imetokea Dar es Salaam kuja Dodoma leo Jumatano, imeshindwa kutua kwenye uwanja wa ndege...

Habari Mchanganyiko

Watengeneza pombe feki, wakwepa kodi wagunduliwa

IMEBAINIKA kuwa hadi sasa kuna kampuni 11 ambazo zinadaiwa kujihusisha na utengenezaji pombe kali zisizokuwa na viwango ambazo zimekuwa zikisambazwa sokoni kinyume na...

Habari za SiasaTangulizi

IGP, DCI ‘wamkimbia’ Nondo mahakamani Dar

WAKATI Mwenyekiti wa Mtandao wa Wananfunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo akipandishwa kizimbani leo asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa, Mahakama...

Habari Mchanganyiko

Wafuasi wa Mange Kimambi waanza kuwekwa mbaroni

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa madai ya kuchochea maandamano ya...

Habari za SiasaTangulizi

Ni sarakasi, Polisi Vs Nondo, Daruso, LHRC

BADO hakijaeleweka. Wakati Mawakili wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso)...

Michezo

Yanga sasa kuja kidigitali

KLABU Yanga imezindua kipindi cha televisheni kilichopewa jina la ‘Yanga TV Show’ sambamba na mfumo wa kuwapa habari wanachama wake utakaoitwa ‘Yanga Kidigitali’...

Habari za Siasa

Abdul Nondo atikisa

JESHI la polisi nchini, bado linaendelea kumshikilia, kinyume na sheria za nchi, Abdul Nondo, mwanafunzi wa mwaka wa tatu kutoka Chuo Kikuu cha...

Habari Mchanganyiko

Kuuza na kununua kemikali mpaka cheti

MKEMIA Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele ameagiza kuwa kila mtu atakayeuziwa au kununua kemikali lazima aoneshe cheti cha usajili kwa kuwa sheria...

Habari Mchanganyiko

Dodoma waomba muda vitambulisho vya Taifa

WAKAZI wa kata ya Kizota Manispaa ya Dodoma ambao kwa hivi sasa wapo kwenye zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa, wameomba muda...

Habari za Siasa

Mawaziri hawa hawako salama

WAZIRI wa Kilimo, Charles Tizeba na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina siku zao zinahesabika kutokana kushindwa kuhudhuria bila kutoa taarifa kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Nondo ‘awaponza’ Sirro, AG na DCI

MAWAKILI wanaomwakilisha Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo wamefungulia kesi Mkuu wa jeshi la Polisi nchini (IGP), Mkurugenzi wa Upelelezi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makunga ajiuzulu, TEF waridhia

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limeridhia kujiuzuru kwa Mwenyekiti wake Theophil Makunga aliyeomba kujiuzulu. Anaripoti Angel Willium … (endelea). Makunga aliomba kujiuzulu jana...

Michezo

Wambura hatunaye tena katika soka

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemfungia maisha kutojiusisha na soka Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho hilo, Michael Wambura...

Habari za SiasaTangulizi

Marekani yachunguza serikali ya JPM

WAJUMBE wawili kutoka nchini Marekani kutoka katika kitengo cha Mshauri wa Marekani kinachohusu Siasa na Uchumi wametua nchini kwa kile kinachodhaniwa kuchunguza Serikali ya...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi TSNP wahojiwa saa saba kuhusu Nondo

JESHI la Polisi nchi limewahoji viongozi wa Mtandao wa wafunzi (TSNP) kama mashahidi kwenye kesi anayotarajiwa kufunguliwa Mwenyekiti wa mtandao huo Abdul Nondo....

Michezo

Ninje wa Chalenji, apewa Ngorongoro Heroes

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemteuwa Ammy Ninje kuwa Kocha Mkuu wa muda wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa...

Habari za SiasaTangulizi

Namba ya simu ya Nondo yazua taharuki

NAMBARI ya simu ya mkononi ya Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), ambaye bado anashikiliwa na polisi jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yahofiwa kuburutwa ICC

KAULI za viongozi wa serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli kwa wananchi, zinaweza kusababisha kufikishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai...

Habari za SiasaTangulizi

Mambosasa: Tunamshikilia Nondo kwa kutoa taarifa ya uongo

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linamshikilia Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo kwa kosa la...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai apasua vichwa wabunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, amepanga upya Kamati za Bunge, kufuatia kumalizika kwa muda wa kamati za awali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika...

Habari za Siasa

Job Ndugai apangua Kamati za Bunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefanya uteuzi wa wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Namaingo wazindua mradi mpya Msolwa

JUHUDI za Taasisi ya Namaingo Business Agents (NBA), imezindua mradi Shamba Mji Msolwa wilayani Mkuranga, Pwani ikiwa ni mwendelezo wa kuinua uchumi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ataka Tume Huru kabla ya 2020, amuomba Prof. Kabudi amuunge mkono

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo, amewasilisha hoja binafsi Bungeni ili kupata Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, huku akimtwisha...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli apingwa kila kona

RAIS wa Jamhuri, John Pombe Magufuli, ameonya wananchi wake wanaotaka kufanya maandamano ya amani kupinga utendaji wa serikali yake, kuwa watakabiliana na jeshi...

Michezo

Yanga yazidi kuikaribia Simba, bado tatu

YANGA imerudi nafasi ya pili baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Mwingine apotea​

ADUL Nondo, mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ambaye alikuwa mstari wa mbele kupinga kitendo cha...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu azidi kuimarika, kutembea kwa miguu yake kwanukia

MBUNGE wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, aliyeko kwenye matibabu nchini Ubelgiji, anaendelea kuimarika siku hadi siku. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aruhusiwa hospitali

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC ameruhusiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za Siasa

Afya ya Mbowe yazidi kuimarika

AFYA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe inazidi kuimalika baada ya kufikishwa kwenye hospitali na Rufaa ya KCMC...

Habari Mchanganyiko

Mengi awapa ‘dili’ vijana katika hali ngumu

MWENYEKITI wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Reginald Mengi, amewaomba vijana kuchangamkia fursa za kibiashara zinazojitokeza wasipotoshwe na msemo wa hali ngumu, wakati...

Habari za SiasaTangulizi

Mtatiro awajibu waliomvua uanachama

MWENYEKITI wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amejibu uongozi wa CUF wilaya ya Ubungo, uliomvua uanachama, na kusema...

error: Content is protected !!