Categorizing posts based on content
KWA kipindi cha miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022 Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023MCHEZAJI na kapteni wa timu ya vijana ya Singida Big Star (U17), Mohammed Banda leo tarehe 19 Januari, 2023 amefariki dunia baada...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023Huawei has demonstrated its commitment to Africa’s energy transition, while also showcasing the full range of its latest solar PV and green home...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador amesema atazingatia ombi la mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin ‘El Chapo’ Guzman, anayetumikia kifungo...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023RAIS wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amesema waasi wa M23 bado hawajaondoka kikamilifu katika maeneo wanayoshikilia mashariki mwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2023SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetuma timu maalum kwenda mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeongeza mkataba wa udhamini kwa Klabu ya Geita Gold Football Club (GGFC) wenye thamani ya Sh...
By Gabriel MushiJanuary 17, 2023BOSI wa kikundi cha mafia maarufu kama Cosa Nostra anayesakwa zaidi nchini Italia, Matteo Messina Denaro amekamatwa huko Sicily baada ya kutoroka...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2023WATU karibu 60,000 wamefariki dunia nchini China kwa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kati ya tarehe 8 Desemba 2022 hadi tarehe...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2023RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema idadi ya vifo kutokana na shambulio la kombora la Urusi kwenye jengo la ghorofa tisa katika...
By Mwandishi WetuJanuary 16, 2023NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, ameagiza uchunguzi ufanyike dhidi ya matumizi ya fedha za kukabiliana na athari za Ugonjwa wa...
By Danson KaijageJanuary 14, 2023Serikali ya Irani, imemnyonga aliyekuwa Naibu Waziri wa Ulinzi wa Irani,Alireza Akbari, kwa kosa la kutoa siri za nchi hiyo na kufanya...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2023WIZARA ya Afya imesema maoni yaliyotolewa na Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), kuhusu sakata la watumishi wa afya katika Zahanati ya Ishihimulwa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2023VIONGOZI wa kundi la waasi la M23 wamekutana na msuluhishi wa kanda rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta, mjini Mombasa, ambapo...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2023CHAMA cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimetoa taarifa ya uchunguzi wa tukio la watumishi wa kada ya Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa wilaya...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2023BONDIA mcheshi nchini Karim Mandonga maarufu kama ‘Mtu Kazi’ amempiga mkwara mzito mpinzani wake Daniel Wanyonyi raia wa Kenya kwamba amekwenda na...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2023RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amemuondoa Kamanda mkuu wa nchi hiyo, Sergei Surovikin aliyekuwa anaongoza vita nchini Ukraine ikiwa ni miezi mitatu tu...
By Mwandishi MaalumJanuary 12, 2023SERIKALI ya Tanzania, imewataka wadau wa afya kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Mwongozo wa Kudhibiti Virusi vya Ukwimwi (VVU), Ugonjwa...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2023MAHAKAMA ya Katiba nchini Uganda jana tarehe 10 Januari, 2023 imefuta sehemu ya sheria ya mawasiliano ambayo imekuwa ikitumika kuwashtaki wakosoaji wa...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2023RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kwamba kundi la waasi la Democratic Forces for Liberation of Rwanda – FDLR, linaloshutumiwa na serikali...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2023SERIKALI ya Zimbabwe jana tarehe 10 Januari, 2023 imepitisha muswada wa sheria inayopiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na wafanyakazi wa afya nchini humo...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2023RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa walimu wote nchini kuacha kufundisha kwa mazoea na badala yake wajifunze mbinu mpya...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023HOFU imetanda kwa raia wa Hong Kong juu ya uwezekano wa kuingia kwa aina virusi vya Covid-mutant kutoka China baada ya mpaka...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023NYOTA wa zamani wa Chipolopolo, Philemon Mulala amefariki dunia baada ya kuumwa na mbwa wake watatu nyumbani kwake Lichtenburg Afrika Kusini. Yameripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023RAIS wa Rwanda Paul Kagame anasema nchi yake haitatoa tena hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mashirika...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023IDARA ya haki ya Marekani inachunguza nyaraka za siri zinazodaiwa kupatikana katika ofisi ya zamani ya Rais Joe Biden, Ikulu ya Marekani...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023KLABU ya Al-Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia imesitisha mkataba wa mshambuliaji wa Cameroon, Vincent Aboubakar ili kumpisha straika mpya raia wa...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023WAANDISHI habari kadhaa wamekamatwa nchini Sudan Kusini baada ya kusambaa video inayomuonesha Rais wa nchi hiyo Salva Kiir yumkini akishindwa kujizuia haja ndogo...
By Gabriel MushiJanuary 8, 2023KUNDI la waasi la wanamgambo la M23, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameirudisha kambi ya kijeshi mashariki mwa nchi hiyo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2023MAMLAKA inayoshughulika na uidhinishaji Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imeidhinisha dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa Ukimwi miongoni mwa watu wazima kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023TAKRIBANI watu 29 nchini Mexico wameuawa wakati wa operesheni ya umwagaji damu ya kumkamata mtoto wa kinara wa biashara haramu ya dawa...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023KEVIN McCarthy amechaguliwa kuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani huku kukiwa na majibizano makali ambayo karibu yashuhudiwe wawakilishi wa chama...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023WATUMISHI wawili wa kada ya afya katika Halmashauri ya wilaya ya Uyui kutoka Zahanati ya Ishihimulwa waliokuwa wakijibizana kuhusu vifaa vilivyoisha muda...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023AFTER launching the TECH4ALL initiative at Mobile World Congress (MWC) Barcelona four years ago, Huawei and its partners shared the latest insights...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023KESI ya kimkataba kati ya Feisal Salum (Fei Toto) dhidi ya klabu ya Yanga itasikilizwa kwa saa 3 na kamati ya Sheria...
By Kelvin MwaipunguJanuary 6, 2023MWANAUME mwenye umri wa miaka 42 amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua katika jimbo la Utah nchini Marekani...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023Mrepublican Kevin McCarthy wa California ameshindwa katika duru ya nne, ya tano na ya sita ya uchaguzi wa kuwa spika wa Baraza la...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya wanafunzi 14 walioandika matusi katika mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa kidato cha pili...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023WIZARA ya mambo ya nje nchini Ufaransa, imethibitisha kupokea barua kutoka serikali ya Burkina Faso, inayomtaka balozi wake nchini humo Luc Hallade kuondoka....
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023MMILIKI wa zamani wa Chumba cha kuhifadhu maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jela huko Colorado baada ya kupasua mamia ya miili...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) leo tarehe 4 Januari, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023MWAKA 2022 ulikuwa mwaka wenye changamoto kwa Serikali ya China hasa wakati inakabiliana na kudhibiti ugonjwa wa Uviko-19. Imeandikwa na chombo cha habari...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2023MWANAMFALME Harry anasema “Ningependa kurudiana na baba yangu, ningependa kuwa na kaka yangu,” kwenye utangulizi wa mahojiano kabla ya kutolewa kwa kumbukumbu...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023MFALME na muasisi wa soka la kisasa kutoka Brazil, mkongwe Pele aliyefariki wiki iliyopita atazikwa katika ghorofa ya 9 ya makaburi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2023WAUMINI wa kanisa Katoliki leo tarehe 2 Januari, 2023 wameanza kutoa heshima zao mjini Vatican kwa papa mstaafu Benedict XVI, ambaye mwili...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2023DUBAI imefuta ushuru wa asilimia 30 kwenye bidhaa za pombe ili kuvutia zaidi watalii watembelee jiji hilo. Pia imepanga kuacha kutoza leseni za...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2023SERIKALI imepiga marufuku wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 waliochaguliwa kujiunga na shule za kutwa, kuhamia shule za bweni, hadi zitakapotokea nafasi...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2022RAIS wa mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameeleza namna alivyoguswa na kifo cha Mfalme wa Soka duniani, Edson Arantes do Nascimento maarufu kama...
By Gabriel MushiDecember 30, 2022GWIJI wa soka raia wa Brazil – Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki dunia leo tarehe 29 Disemba, 2022 akiwa na...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022