Kimataifa

Kimataifa

Trump: UN ni kijiwe cha kupiga soga

DONALD Trump Rais mteule wa Marekani amesema Shirika la Umoja wa Mataifa (UN), limeshuka hadhi kwa kiasi kikubwa na nguvu yake inazidi kupungua kadri muda unavyoenda. Anaandika Wolfram Mwalongo … ...

Read More »

Putin akoleza mahaba kwa Trump

VLADIMIR Putin, rais wa Urusi amemwandikia barua ya kumtakia heri ya sikuu ya krismasi na mwaka mpya Donald Trump ambaye ni rais mteule wa Marekani anayetarajiwa kuapishwa tarehe 20 Januari ...

Read More »

Aliyesuka njama kumuua balozi wa Urusi atajwa

FETHULLAH Gulen Kiongozi wa Dini ya Kiislamu anayeishi uhamishoni nchini marekani ametajwa kuhusika katika njama za kumuua Andrey Karlov Balozi wa Urusi nchini Uturuki tarehe 19 Desemba mwaka huu. anaandika ...

Read More »

Harufu yatawala Urusi Vs Uturuki

HOFU ya kuvunjika kwa uhusiano baina ya Urusi na Uturuki imetanda kutokana na kuuawa kwa Andrei Gennadyevich Karloz, Balozi wa Urusi aliyekuwa kwenye jumba la maonesho ya picha jijini Ankara, ...

Read More »

Odinga: Ni uchaguzi wa kufa, kupona

RAILA Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu na Kiongozi Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Upinzani nchini Kenya (CORD) amesema uchaguzi ujao ni wa kufa na kupona, anaandika Wolfram Mwalongo. Odinga amesema ...

Read More »

Kagame: ICC inaihujumu Afrika

PAUL Kagame, Rais wa Rwanda amesema hana mpango wakujiunga na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kwa madai ya kuundwa kisiasa, anaandika Wolfram Mwalongo. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

UN kumng’oa rais king’ang’anizi Gambia

BAADA ya ujumbe wa marais wa Afrika Magharibi kushindwa kumshawishi Yahya Jammeh, Rais wa Gambia aliyeangushwa katika uchaguzi mkuu wa Disemba Mosi mwaka huu, Umoja wa Mataifa (UN) umesema hautamvulia ...

Read More »

Kwanini Putin anamzimikia Trump?

VLADMIR Putin, Rais wa Urusi amesema kuwa, anamuunga mkono Donald Trump, rais mteule wa Marekani kwa kuwa ndiye pekee anayeweza kurejesha uhusiano wa taifa lake na Marekani, anaandika Wolfram Mwalongo. ...

Read More »

Ban  Ki Moon apata mrithi UN

ANTONIO Manuel de Guterres, Waziri Mkuu wa zamani wa Ureno na Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kitengo cha kuhudumia wakimbizi ndiye Katibu Mkuu Mpya wa Umoja Mataifa (UN), anaandika Wolfram ...

Read More »

Kenyatta awalilia walinzi wake

UHURU Kenyatta, Rais wa Kenya ametuma salamu za rambi rambi kwa familia za watu 40 zizopoteza ndugu zao katika ajari ya Lori la mafuta iliyotokea eneo la Naivasha, ambapo miongoni mwa ...

Read More »

Upinzani wapeta Ghana

NANA Akufo Addo, kiongozi wa chama cha upinzani cha New Patriotic Party (NPP) anaongoza katika matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita nchini Ghana, anaandika Wolfram Mwalongo. Addo yupo mbele ...

Read More »

Waziri Mkuu Uingereza: Kujitoa EU ni kazi ngumu

  Theresa May, Waziri Mkuu wa Uingereza ahofia azma yake ya kujitoa kwenye Jumuiya ya Nchi za Umoja wa Ulaya (EU), anaandika Wolfram Mwalongo. Ikiwa ni miezi mitano imepita tangu ...

Read More »

Wauza nywele zao kukabiliana na umasikini

HALI ni tete kwa wananchi wa Venezuela kufuatia ugumu wa maisha unaochochewa na mfumuko wa bei unaolikumba taifa hilo kwa sasa, anaandika Wolfram Mwalongo. Katika kukabiliana na ugumu wa maisha, wananchi ...

Read More »

Marekani iliifanya Cuba danguro

SANTIAGO  ndio mji ambao amezikwa mwanamapinduzi Fidel Castro Ruz nchini Cuba. Mji huu upo Kusini, Mashariki mwa kisiwa hicho kikubwa kupita vyote katika ukanda wa Bahari ya Caribbean, anaandika Wolfram ...

Read More »

Hivi Angola itamkumbuka Santos?

TAARIFA za kuondoka madarakani kwa Jose Eduardo dos Santos, Rais wa Angola zimeshutua wengi ndani na nje ya taifa lake, anaandika Wolfram Mwalongo. Swali muhimu ni kwamba, Waangola watamkumbuka Santos ...

Read More »

Bunge lamaliza mzizi wa fitina Colombia

BUNGE la Colombia la ridhia makubaliano ya amani kati ya serikali ya nchi hiyo na kundi la waasi la FARC kufuatia vita vilivyo dumu kwa miaka 50 sasa, anaandika Wolfram ...

Read More »

Papa Francis: Hatutaruhusu wanawake kuongoza kanisa

PAPA Francis, kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani amesema haafikiani na suala la wanawake kuongoza kanisa katika nafasi za juu ikiwemo upadre na uaskofu, anaandika Wolfram Mwalongo. Kiongozi huyo ameeleza ...

Read More »

Mbunge: Odinga ni kigeugeu

ISAAC Mwaura, Mbunge wa kaunti ya Ruiru, Wilaya ya Kiambu nchini Kenya amesema, Raila Odinga ni kigeugeu, anaandika Wolfram Mwalongo. Taarifa iliyoripotiwa na mtandao wa Nairobi News zinaeleza kuwa, Mwaura ...

Read More »

Rais wa Ufilipino adai amesikia sauti ya Mungu

RODRIGO Duterte, Rais wa Ufilipino ambaye siku chache zilizopita alisema hahitaji kuongozwa kama mbwa na taifa la Marekani, amesema ataacha matusi kwani amesikia Sauti ya Mungu ikimuonya, anaandika Wolfram Mwalongo. Duterte ...

Read More »

Gaidi auawa ubalozi wa Marekani Kenya

POLISI nchini Kenya, wamempiga risasi mshukiwa wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab aliyejaribu kuingia kwa mabavu ndani ya ubalozi wa Marekani, eneo la Gigiri jijini Nairobi, anaandika Wolfram Mwalongo. Mshukiwa ...

Read More »

Moitoi: Afrika inaogopa nini ICC?

PELONOMI Venson Moitoi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Botswana na mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Afrika (AUC), amepinga uamuzi wa baadhi ya nchi za Afrika kujitoa ...

Read More »

Duterte achimba mkwara mzito

“HUU ni mwanzo na mwisho wa kutegemea askari wa nje, nataka sera za kujitegemea, sihitaji nguvu kutoka taifa lolote” ni kauli ya Rodrigo Duterte, Rais wa Ufilipino akitishia kuvunja makubaliano ...

Read More »

ICC itabaki salama?

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) itabaki salama? Ni swali linaloweza kuibuka baada ya Nchi za Afrika kuunda mkakati wa kujitoa katika mahakama hiyo, anaandika Wolfram Mwalongo. Msukumo wa ...

Read More »

Sumu yazua taharuki Democratic

POLISI jijini New York nchini Marekani wamekanusha taarifa za sumu iliyopatikana kwenye ofisi ya Mgombea Urais wa chama cha Democratic Bi. Hillary Clinton huko Manhattan, anaandikaWolfram Mwalongo. Sintofahamu imegubika taifa hilo ...

Read More »

Rais wa Colombia atwaa tuzo ya Nobel

JUAN Manuel Santos, rais wa Colombia ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka 2016 baada ya kufanikiwa kuingia makubaliano ya amani na waasi wa Farc nchini humo na kusitisha ...

Read More »

ANC chaanguka katika uchaguzi Pretoria

CHAMA cha African National Congress (ANC) ambacho kinatawala nchini Afrika Kusini  cha kimepoteza udhibiti baada ya kushidwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Pretoria, anaandika Pendo Omary. ANC kimeshindwa katika ...

Read More »

Mtoto wa Obama aamua kuuza Mgahawa

Sasha Obama mtoto wa Barack Obama rais wa Marekani ameanza kazi ya uhudumu katika Mgahawa mmoja nchini Marekani, anaandika Wolfram Mwalongo. Sasha mwenye umri wa miaka 15 ameamua kuhudumia wateja ...

Read More »

Mapya yaibuka hukumu ya Katumbi

HUKUMU ya kifungo cha miaka mitatu kwa Moise Katumbi Kiongozi wa Upinzani na rais wa klabu ya soka ya TP Mazembe ya nchini Kongo ilitolewa kwa shinikizo la Majasusi na ...

Read More »

Clinton, tumaini jipya la wanawake

HILLARY Clinton, mke wa rais wa 42 wa taifa la Marekani Bill Clinton ameidhinishwa kuwa mgombea urais wa chama cha Democrat cha nchini humo huku akiweka rekodi ya kipekee, anaandika Pendo ...

Read More »

Hofu kuu Uingereza

HALI ya wasiwasi iliyoanzishwa na upigaji kura wa Uingereza kuondoka Jumuiya ya Ulaya (EU) imekumba chama kikubwa cha upinzani cha Leba. Nusu ya Baraza la Mawaziri la upinzani linatarajiwa kujiuzulu ...

Read More »

Waziri mkuu wa Uingereza ajiuzulu

Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika Muungano wa Ulaya (EU), anaandika Pendo Omary. Cameron akiwa amejawa na huzuni ...

Read More »

Kongo yaikomalia UN ripoti ya siri

TUME ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) imewataka Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kutoa ripoti ya siri inayoonesha uwezekano wa kufanyika kwa Uchaguzi Umkuu nchini humo, anaandika Wolfram ...

Read More »

Rais Maduro agoma kung’olewa

SERIKALI ya Venezuela imefuta mpango wa kupiga kura ya maoni kumwondoa Nicolas Maduro, rais wa nchi hiyo kutokana na kudorora kwa uchumi wa nchi hiyo, anaandika Wolfram Mwalongo Maduro amesabisha ...

Read More »

Mseveni avuruga mabalozi

MABALOZI kutoka nchi za Ulaya, Marekani na Canada jana walisusa sherehe za kuapishwa Yoweri Mseveni, Rais wa Uganda kwa madai ya kiongozi huyo kuishutumu Mahakama ya Kimataifa ya Uhallifu wa ...

Read More »

Buhari: Sitaki kuombwa radhi

 MUHAMMADU Buhari, Rais wa Nigeria amekataa kuombwa radhi na David Cameroon, Waziri Mkuu wa Uingereza aliyelitaja taifa lake (Nigeria) kuwa ni miongoni mwa mataifa yaliyo na ufisadi mkubwa, anaandika Wolfram ...

Read More »

Raia wa Rwanda wapandishwa kizimbani Ufaransa

SERIKALI ya Ufaransa imewapandisha mahakama raia wawili wa Rwanda- Octavian Ngenzi na Tito Barahira kwa madai ya kushiriki katika mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994, anaripoti Wolfram Mwalongo. Shirika la ...

Read More »

London yapata Meya Muislam

JIJI la London nchini Uingereza limempata Sadiq Khan ambaye ni meya wa kwanza Muislamu katika historia ya jiji hilo, anaandikaWolfram Mwalongo Khan mwenye umri wa miaka 45 amechaguliwa kwa kura 1,300,000 ...

Read More »

Mkosoaji Kenya apigwa risasi

JACOB Juma, mfanyabiashara mashuhuri jijini Nairobi, Kenya pia mkosoaji katika Serikali ya Kenya ameuawa kwa kupigwa risasi. Juma ambaye ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii umekuwa ukizua mjadala, ameuawa jana ...

Read More »

Bosi TP Mazembe kuwania Urais RDC

MOISE Katumbi Gavana wa zamani wa jimbo la Katanga, Mkurugenzi wa klabu ya TP Mazembe na mfanyabiashara marufu nchini Kongo ametangaza kugombe urais wa Novemba mwaka huu, anaandika Wolfram Mwalongo. ...

Read More »

Mtoto apatikana hai chini ya kifusi

MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja amepatika akiwa hai katika jengo la ghorofa sita lililoanguka Jumanne wiki iliyo pita jijini Nairobi ambapo watu 20 walifariki dunia na zaidi ya 90 ...

Read More »

Trump: China inaibaka Marekani

DONALD Trump anayewania Urais kupitia chama chake cha Republican nchini Marekani amesema, China imekuwa ikibaka sera za kibiashara za Marekani kwa kuchezea sarafu yake (sarafu ya Marekani) hivyo kuongeza ushindani ...

Read More »

Jaji amwachia huru mbakaji

SAID Chitembwe, Jaji nchini Kenya amemwacha huru Martin Charo aliyehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kubaka mtoto wa mika 13. Chitembwe amesema, mtoto huyo alijifanya ni mtu ...

Read More »

Bilioni 10 zatengwa kilimo cha mirungi

UHURU Kenyatta, Rais wa Kenya amesema, serikali yake imetenga Dola za Marekani 10 milioni kwa ajili ya kusaidia wakulima wa zao la mirungi. Akizungumza wakati wa kusaini mswada wa kulitambua ...

Read More »

Idadi ya wanaojiua Marekani yaongezeka

KITUO cha Afya nchini Marekani kimeeleza kuwa, takwimu ya watu wanaojiua katika taifa hilo imeongezeka kwa asilimia 25 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita, anaandika Wolfram Mwalongo. Idadi hiyo inatajwa ...

Read More »

Nchi 165 kujenga historia mpya

ZAIDI ya nchi 165 zinatarajiwa kuingia mkataba wa kihistoria wa mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye hafla inayofanyika leo mijini New York nchini Marekani, anaandika Regina Mkonde. Kwa mujibu wa ...

Read More »

Deby ashinda tena urais Chad

TUME ya Uchaguzi nchini Chad (CEN) leo imemtangaza Idriss Deby kuwa mshindi wa kiti cha urais, anaandika Pendo Omary. Deby ambaye pia ni Mwenyekiti wa mpya wa Umoja wa Afrika ...

Read More »

Fidel Castro: Nakaribia mwisho 

FIDEL Castro, kiongozi mwanzilishi na mwanamapinduzi wa chama tawala cha   kikomunisti nchini Cuba, amesema kuwa anakaribia mwisho wa maisha yake, anaandika Wolfram Mwalongo. Amesema, wananchi na viongozi wa taifa ...

Read More »

Clinton na Sanders watoleana uvivu

WAGOMBEA wa Demokrati Hillary Clinton na Bernie Sanders wametoleana na uvivu kwa majibizano makali katka mdahalo ulio fanyika katika jiji la New York huku kila mmoja akitilia shaka uwezo wa ...

Read More »

Mwanahabari auawa kwa risasi

HASSAN Hanafi, mwanahabari aliyesaidia kundi la Al-Shabaab kuua wanahabari wenzake nchini Somalia ameuawa, anaandika Happiness Lidwino. Shirika la Habari la Uingereza (BBC) limeripoti kuwa, Hanafi ameuawa kwa kupigwa risasi mapema ...

Read More »

Magufuli ashiriki kumbukumbu ya mauaji ya kimbari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ameshiriki uzinduzi wa kumbukumbu za mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 1,000,000 waliuawa. ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube