Friday , 26 April 2024
Home sosi
809 Articles18 Comments
Habari za Siasa

Zitto aeleza ndoto ya ACT-Wazalendo 2020-2025

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeanza kueleza mikakati yake, iwapo kitapewa mamlaka ya kuiongoza Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari Mchanganyiko

Simulizi msisimko majeruhi ajali ya ndege Mafia

HASSAN Bakari Ali, majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Mafia wilayani Pwani, ameeleza kilichomtokea. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ajali hiyo ilitokea Jumanne...

MichezoTangulizi

Manara aburuzwa kortini, adaiwa Mil 83

HAJI Manara, Msemaji wa Klabu ya Simba na wenzake watatu, tarehe 6 Agosti 2019 wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kudaiwa Sh. 83.5 milioni....

Habari za SiasaTangulizi

Mwandishi Kabendera, afunguliwa kesi ya kushirikiana na wahalifu

MWANDISHI wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, hatimaye amefikishwa mahakamani kwa makosa matatu, likiwamo utakatishaji fedha na kushirikiana na kinachoitwa, “makundi ya...

Habari Mchanganyiko

Wafanyakazi wa Tigo matatani

WAFANYAKAZI wa Mtandao wa Tigo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kudukua taarifa za...

Habari Mchanganyiko

Mamia wamuaga kaka yake Mbowe

MAMIA ya watu leo tarehe 2 Agosti 2019, wamejitokeza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Nshara Machame kuuagwa mwili...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yagoma kuitwa idara

MAHAKAMA ya Tanzania, imepiga marufuku kuitwa idira na kwamba ni mhimili pekee unaojitegemea. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Onyo hilo limetumwa leo tarehe 30...

Habari Mchanganyiko

Mahakama zahamia mfumo wa digitali

MAHAKAMA ya Tanzania imebadili mfumo wake wa uendeshaji, na sasa wamejielekeza kutumia teknolojia zaidi katika utoaji wa haki. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tehere...

Habari Mchanganyiko

Wachafukoga marufuku kuingia mjini-Makonda

WATANZANI wachafu wamepigwa marufuku kuonekana mijini hususani katika kipindi hiki cha Mkutano wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

Usawa na utu havitoshi, lazima haki iwepo – Butiku

JOSEPH Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amewataka wanasiasa nchini kusimamia haki kwa kuwa utu na usawa pekee havitoshi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbatia apewa miaka mitano NCCR-Mageuzi

JAMES Mbatia, amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi huku Angelina John, akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Ambar Hamis ameukwaa umakamu...

Habari za Siasa

Zitto awataka viongozi wa dini kukemea wanaohatarisha amani

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ametoa wito kwa viongozi wa dini kukemea vitendo vya baadhi ya viongozi wa siasa, wanaohatarisha...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala apinga Sinema ya Mbowe kuoneshwa Mahakamani

UPANDE wa utetezi kwenye kesi namba 112 ya uchochezi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umepinga kuoneshwa kwa video...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mahakama yakubali ushahidi wa Jamhuri 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Julai 2019, imepokea kielelezo cha kamera ya kurekodi video na tepu...

Habari Mchanganyiko

Raia wa Hungary kortini kwa dawa za kulevya

AKOS Berger, Raia wa Hungary amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya kuhujumu uchumi na kukutwa dawa za kulevya....

Habari Mchanganyiko

Ugonjwa wa Lissu: Mahakama yaahirisha kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeahirisha kesi inayowakabili wahariri wa Gazeti la Mawio, kutokana na kuumwa kwa mshitakiwa wa...

Habari za Siasa

Makabidhiano ya dhahabu yamkwamisha Mbowe, wenzake 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 24 Julai 2019 imeahirisha kusikiliza kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema. Anaripoti...

Habari za Siasa

Viongozi Chadema kumaliza wiki kizimbani

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watapanda kwenye kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuendelea kusikiliza kesi ya uchochezi inayowakabili...

Michezo

Malinzi, Mwesigwa wana kesi ya kujibu – Mahakama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea amuasa Rais Magufuli

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amemtahadharisha Rais John Magufuli kuwa kuitekeleza sheria...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru ashutumiwa vikali

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemtuhumu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali kwamba anapotosha ukweli kuhusu kusinyaa kwa uchumi wa nchi. ...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magunia  ya mkaa, yageuka jeneza la Naomi

NAOMI Orest Marijani (36), mkazi wa Gezaulole, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, aliyeripotiwa kutoweka nyumbani kwake, tokea tarehe 15 Mei mwaka huu,...

Habari za Siasa

Polisi wamng’ang’ania Mdee

JESHI la Polisi mkoani Kagera, bado linamshikilia Halima Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), tangu jana...

Habari za Siasa

Rais Museveni kumfuata Rais Magufuli kesho

YOWERI Museveni, Rais wa Uganda anatarajiwa kutua kwenye ardhi ya Tanzania kesho 13 Julai 2019, kwa ziara ya siku moja. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo kuwa ‘Kanani ya Siasa’ 2020?

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinaweza kuwa nchi ya Kanani kwa wanasiasa kutoka kwa vyama mbalimbali vya nchini Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Anaandika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Msiba wa wafanyakazi Azam watikisa, mwendokasi wapigiwa kelele

VIONGOZI  mbalimbali wa kisiasa na watu mashughuli wametao neno la pole kwenye msiba wa wafanyakazi watano wa Azam TV  waliofariki jana kwenye ajali ...

Habari za Siasa

Utekaji watikisa, hofu yapanda

MATUKIO ya utekaji, utesaji na hata kupotezwa yamekuwa yakitikisa nchi kwa sasa huku wananchi wakipiga yowe, yakomeshwe. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Hali hiyo imewaibua wazee...

Habari za Siasa

Wakili wa Mbowe, Jamhuri watoana jasho

UPANDE wa Jamhuri umewasilisha hoja zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, juu pingamizi la upande wa utetezi kuhusu kupokelewa kwa kielelezo cha...

Michezo

Wema Sepetu adakwa tena, atupwa rumande

WEMA Sepetu, Mwigizaji na Mshindi wa Mashindano ya Urembo mwaka 2006, amekamatwa tena leo tarehe 4 Julai 2019 na Jeshi la Magereza muda...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala apinga ushahidi wa kamera Mahakamani kesi ya Mbowe

WAKILI upande wa utetezi Peter Kibatala amepinga kupokelewa kwa kielelezo cha kamera na tape mbili za kurekodia video (Min-Dv) zilizotolewa kwenye ushahidi kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe Vs Jamhuri: Neno kwa neno

SHAHIDI wa tano kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, hajui...

Habari za SiasaSiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, wenzake:Shahidi aibua mapya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya viongozi wa Chadema leo tarehe 1 Julai 2019.Anaripoti Faki Sosi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kuvuliwa Ubunge: Chadema yabadili gia angani

HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki siku mbili zilizopita, kumejibiwa vikali na Chama cha...

Habari za Siasa

Takukuru yakwama kuwahoji viongozi ACT-Wazalendo

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) imeshindwa kuwahoji viongozi waandamizi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa kile kilichodaiwa kuwa Ofisa aliyetakiwa...

Michezo

Mahakama yampa onyo kali Wema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imerejesha dhamana ya Wema Sepetu, Msanii wa Filamu nchini huku ikimpa onyo la kutorejea...

Habari za Siasa

JPM akerwa wabunifu umeme kutosaidiwa

RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), kushindwa kuwasaidia John Mwafute na Jairos Ngairo ambao...

Habari Mchanganyiko

Mvutano waibuka kesi ya Sheikh Ponda

SERIKALI imeitaka Mahakama ya Rufani kuirudisha kesi ya jinai No. 245 ya mwaka 2012, inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda, katika Mahakama ya Kisutu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya uvamizi: Sheikh Ponda arudishwa kortini

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, leo tarehe 11 Juni 2019 anapandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Rufani,...

Habari Mchanganyiko

Tuhuma za rushwa: Ofisa TRA, Polisi wapandishwa kizimbani

CHARITY Ngwala (28), Ofisa Msaidizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), H 4810 PC Ramadhani Uweza (28) na H 48 86...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif akabidhiwa cheo ACT-Wazalendo, yumo Jussa, Bimani, Mazrui

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemteua Maalim Seiff Sharif Hamad, kuwa mshauri mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Gwiji huyo wa siasa...

Habari Mchanganyiko

Familia yarejesha ‘uhai’ wa Kapteni Komba

FAMILIA ya aliyekuwa gwiji wa sanaa nchini, Kapteni Jonh Komba, inatarajia kuzindua taasisi ya kumbukumbu ya kuenzi sanaa yake. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Uamsho moto; Masheikh wamvaa JPM, Kikwete, Bunge

JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini, imeibua upya sakata la masheikh wa Uamsho, waliopo mahabusu kwa takriban miaka sita sasa kwa madai ya...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi mlenga shabaha (Sniper): Sijui kilichomuua Akwelina

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea na usikilizaji wa kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na...

Habari za Siasa

Polisi wamtaka Rungwe kuripoti Oysterbay

JESHI la Polisi limemtaka Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Umma (CHAUMMA) kuripoti katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay leo tarehe 3 Juni...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani Tanzania waivaa Tume ya Uchaguzi 

MUUNGANO wa vyama Nane vya upinzani nchini, umetuhumu Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), kuvunja katiba na sheria za nchi, kwa kuendelea kung’ang’ania...

Habari za SiasaTangulizi

Mlenga shabaha (Sniper) atinga kwenye kesi ya viongozi Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi wa shahidi wa nne kwenye kesi  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema),...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi nilipigwa jiwe na wafuasi wa Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya Uchochezi nambari 112 ya mwaka 2018,  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Maalim Seif, Zitto waivaa Ukonga

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Maalim Seif Sharif Hamad, mwanachama namba moja wa chama hicho, walilivaa Jimbo la Ukonga...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ailia kiapo CCM 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekula kiapo hadharani kwamba, hatolala mpaka ahakikishe kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekaa kando....

Habari MchanganyikoTangulizi

Kutekwa Mo: Dereva teksi asomewa mashtaka matatu

MOUSA Twaleb ambaye ni dereva teksi, leo tarehe 28 Mei 2019, amepandisha katika Mahakama ya Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akituhumiwa kwa...

error: Content is protected !!