Saturday , 20 April 2024
Home sosi
808 Articles18 Comments
Habari Mchanganyiko

Kilichosababisha kifo cha Mzee Akilimali chaanikwa

FAMILIA ya mwanachama wa siku nyingi na maarufu  ndani ya Klabu ya soko ya Yanga Ibrahim Akilimali, yaeleza kuwa ugonjwa wa saratani ndio...

Habari Mchanganyiko

Watu mil 3 ‘wapiga chenga’ kusajili laini za simu

LICHA ya kuwa na namba za utambulisho wa uraia (NIDA), watu 3,000,000 hawajasajili laini zao za simu kwa alama za vidole. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amkingia kifua Mbowe

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametetea uamuzi wa Freeman Mbowe, ‘kuomba maridhiano’ na Rais John Magufuli. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mamia wamlilia Marehemu Ali Mufuruki

MAISHA ya mfanyabiashara bilionea, Ali Abdul Mufuruki (60), aliyefariki dunia Jumapili iliyopit, nchini Afrika Kusini, yamegusa watu wengi na kutoka kada tofauti.  Anaripoti Faki Sosi...

Michezo

Dewji afikia kikomo cha uvumilivu Simba

MOHAMMED Dewji ‘Mo’ Mwekezaji wa klabu ya Simba, ameweka wazi kuwa klabu hiyo haitamvumilia mchezaji yeyote atakayeihujumu timu hiyo. Anaripoti Faki Sosi …(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Passport ya Bulaya yaahirisha kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, imeahirisha kusikiliza kesi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, kutokana na upande wa mashtaka kumtaka...

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya alipuka na Bunge Kisutu

ESTER Bulaya, Mbunge wa Tarime Mjini ambaye ni mshtakiwa wa tisa, kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa chama cha Demokrasia na...

Habari za Siasa

Video ya Zitto yaoneshwa kortini

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imekubali kupokea na kuoneshwa kwa video ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha...

Habari za Siasa

Mawakili wamuweka Zitto njia panda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam inatarajia kuamua kupokea au kutopokea kielelezo cha upande wa mashitaka (Jamhuri). Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Ushahidi...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari: Bila tume huru, ni vigumu kuingia Ikulu

PROF. Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai kuwa vyama vya upinzani nchini, haviwezi kuingia Ikulu, bila kuwapo...

Habari za Siasa

Msigwa amtumia ‘Yesu’ kujitetea kortini 

PETER Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwamba amefunguliwa mashitaka ya uongo kama ilivyokuwa...

Habari za Siasa

Wiki ya jasho Mbowe na wenzake

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa siku tano mfululizo, kuanzia kesho tarehe 2 Desemba 2019, itasikiliza mfululizo kesi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Msajili aionya Chadema, Prof. Safari aduwaa

HATUA ya Frederick Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema), Kanda ya Pwani kuangushwa kwenye uchaguzi wa kanda hiyo, imemshtua Prof. Abdallah...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amaliza utetezi, Msigwa aanza 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwamba chama chake hakina dhamira ya kushika...

Habari za Siasa

Zitto hakijaeleweka kortini

HURUMA Shahidi, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, ameahirisha kesi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama ch...

Habari za Siasa

Afya ya Mbowe mgogoro, mawakili ‘wamkomalia’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha shauri namba 112/2019, linalowakabili viongozi tisa wa Chadema, kutokana na kutetereka kwa afya...

Habari za Siasa

Mbowe bado mgonjwa, aomba kughairishwa kesi yeke

FREEMAN Mbowe, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kupumzika kutokana na hali ya afya yake...

Habari za Siasa

Zitto apigwa kalenda

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, Huruma Shaidi ameahirisha kesi ya uchochezi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe kutokana...

Habari za Siasa

Hakimu amgeuzia kibao Lissu

THOMAS Simba, Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemtaka Tundu Lissu kufika katika mahakama hiyo tarehe 19 Desemba...

Habari za SiasaTangulizi

Mdhamini: Nimewasiliana na Lissu, kanijibu hivi 

MDHAMINI wa Tundu Lissu, Ibrahim Ahmed ametoa msimamo wa mdhaminiwa wake, kwamba amepona na hayuko tayari kurejea nchini. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Ibrahim ameieleza...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, Bulaya, Msigwa, Heche waponea chupuchupu

HALIMA James Mdee, John Heche, Peter Msigwa na Ester Bulaya, wametokea kwenye tundu la sindano kufutiwa dhamana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hakimu Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Mikosi Chadema: Mbowe mgonjwa, wabunge wasota mahabusu

HATIMA ya wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuendelea kusota lupango au kuwa nje kwa dhamana, wakati wakiendelea kusubiria kesi...

Habari za Siasa

JPM ateua bosi taasisi ya utafiti madini

RAIS John Magufuli, amemteua Dk. Mussa Budeba, kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Anaripoti Faki Sosi...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaagiza Bulaya, Mdee, Msigwa, Heche kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeamuru kukamatwa kwa wabunge wanne wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia wabunge...

Habari za Siasa

Mawakili wakwamisha kesi ya Mbowe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha shauri namba 112 la mwaka 2018 la uchochezi linalowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kutokana...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba awageuka washirika wake

PROF. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Wananchi (CUF), ameungana na vyama vingine makini vya upinzani nchini, kukiondoa chama chake, katika...

Habari za Siasa

CHAUMMA: Muafaka ni Tume Huru, Katiba Mpya

CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kimesema muarobaini wa dosari zilizojitokeza katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni Tume Huru na...

Habari za SiasaTangulizi

Wazee ACT-Wazalendo: Tusilaumiane

SIKU moja baada ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazakendo kusema ‘tusilaumiane’, kauli hiyo imerejewa na wazee wa chama hicho. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe abanwa kizimbani, apangua hoja

FREEMAN Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kuwa ametoa maelezo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe Kortini: Katika hili, namshangaa Rais Magufuli

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwamba anamshangaa Rais...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo kuifuata Chadema?

UKAKASI, hujuma na mbinu chafu zinazofanywa na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa, zinaelekea kuvuruga maana ya uchaguzi huo. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za Siasa

Utetezi wa Mbowe neno kwa neno Kisutu

NOVEMBA 4, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba akiongozwa na Wakili Peter Kibatala, Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema alianza...

Habari za Siasa

Rais aagiza Kilombero, Ifakara kufanyiwa mabadiliko

RAIS John Magufuli amemuelekeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleman Jafo kufanya mabadiliko kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad awekwa kando, Spika Ndugai kupumua?

PROFESA Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amewekwa kando na sasa Charles Kichere ameteuliwa kuchukua nafasi hiyo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yawaita viongozi wa dini, wastaafu kutuliza joto

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimewataka viongozi wa dini na viongozi wa serikali waliostaafu kukemea hujuma zinazojitokea katika uchaguzi Serikali za Mitaa kwani zinaweza kusababisha...

Habari za SiasaTangulizi

Gari la Mdee lamkwamisha kufika Kisutu 

HALIMA Mdee, mbunge wa Kawe, ameshindwa kufika mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kusikiliza madai ya kumdhalilisha Rais John...

Habari Mchanganyiko

Mufti Aboubakar atoa msimamo ndoa chini ya miaka 18 

MUFTI wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir ametoa msimamo kuhusu ndoa chini ya miaka 18, kwamba Uislam unatazamia baleghe. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yaingia ‘Top Ten’ mazingira bora uwekezaji Afrika

TANZANIA imeshika nafasi ya saba, katika nchi 20 zenye mazingira bora ya uwekezaji barani Afrika. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Nape abanwa mbavu

VIDEO inayoonesha kina mama wakigombana kwa ajili ya maji, katika kijiji cha Shuka, kata ya Navanga mkoani Lindi, imemtesa Nape Nnauye, mbunge wa...

Habari za Siasa

Upelelezi kesi ya Kabendera danadana

UPANDE wa Mashtaka wa kesi inayomkabili mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, umedai bado upepelezi haujakamilisha. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Wadhamini wa Lissu wabanwa mahakamani 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewataka wadhamini wa aliyekuwa mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu...

Habari za Siasa

Shahidi Jamhuri, Wakili wa Zitto neno kwa neno

SHAHIDI wa 13 kwenye kesi namba 237/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Philbert Katundu, amesema hakuona tatizo kwenye mkutano wa kiongozi...

Tangulizi

Hakimu amgomea wakili wa Mbowe

THOMAS Simba, Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam amegomea ombo la wakili wa Freeman Mbowe na...

Habari Mchanganyiko

Wizi wamuibua JPM  

RAIS John Maguifuli amesema kuwa amebaini zaidi ya shilingi bilioni 1 walizodhulumiwa wananchi za mauzo ya korosho na vyama vya ushirika mkoani Mtwara....

Habari za Siasa

Kubenea aishiwa uvumilivu, kutinga kwa msajili wa vyama vya siasa

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea amesema anatarajia kumwandika barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, kutokana na kuzuiliwa kufanya...

Habari za Siasa

Mama Samia kumwakilisha JPM uzinduzi wa mkutano wa AALCO

MAMA Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, anatarajia kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye uzinduzi wa mkutano wa 58 wa Shirika la Mashauriano ya...

ElimuHabari za Siasa

Majina ya waliopata mikopo ya elimu ya juu 2019/20 haya hapa

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetoa majina 30,675 ya wanafunzi watakaopata mikopo kwa mwaka 2019/20. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

‘Mbowe, Zitto, Lissu lazima watengeneze ‘kemistri’ kali 2020’

NI lazima Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe watengeneze ‘kemistri’ kali ili kumkabili Rais John Magufuli, iwapo atateuliwa na chama chake (CCM)...

Habari za Siasa

Mawakili Chadema, Jamhuri wavutana mbele ya hakimu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imepanga kesho tarehe 18 Oktoba 2019, kutoa uamuzi mdogo kwenye kesi ya uchochezi inayowahusu...

Habari za Siasa

Kabendera kukutana na DPP

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi ndani na nje ya nchi, ameomba kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka nchini (DPP). Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Mbele...

error: Content is protected !!