Thursday , 2 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Lowassa amnadi mwanae Monduli, amtumia ujumbe Magufuli

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani nchini Tanzania, amemtumia ujumbe mgombea urais wan chi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo waja 50 kwa 50

CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, endapo kitaingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 20200, kitaweka usawa wa kijinsia...

Habari za Siasa

Membe awataka wananchi kumuuliza Magufuli maswali 4

BERNARD Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, amewataka wananchi wa Kilwa Mkoa wa Lindi, kuumuuliza maswali manne, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amwachia swali Magufuli 

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemtaka...

Habari za Siasa

Mbowe: CCM hawajiamini, akumbushia mil 50 kila kijiji

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakijiamini na kimejaa hofu dhidi ya chama hicho....

Habari za Siasa

Alicia Lissu: Sitakwenda Ikulu kupika uji

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, atakapokwenda Ikulu hatobaki kuangalia tamthilia...

Habari za Siasa

Jaji Mkuu: Kesi za uchaguzi zisicheleweshwe

MAJAJI wa Mahakama ya Rufani Tanzania wametakuwa kutochelewesha kutoa uamuzi wa kesi za kisiasa pasipo na sababu za msingi kwa kuwa, huwa na mvuto kwa...

Habari za Siasa

Magufuli nusura awatumbue DED, DC mkutanoni

JOHN Mwaipopo, Mkuu wa Wilaya ya Igunga (DC) na Revocatus Kuuli, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo (DED) mkoani Tabora, nusura watumbuliwe....

Habari za Siasa

CUF wakosoa kauli ya Maalim Seif

KAULI ya Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo kwamba ‘vijana wawe tayari,’ imekosolewa vikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...

Habari za Siasa

NEC yaunda kamati kuchunguza pingamizi, malalamiko

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeunda Kamati za Maadili ili kushughulikia pingamizi na malalamiko ya wagombea kuhusu ukiukwaji wa maadili ya uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Membe ataja mambo 4 yaliyomfukuzisha CCM

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo, ameweka hadharani mambo manne yaliyosababisha kufukuzwa Chama Cha Mapindu (CCM). Anaripoti Faki Sosi, Lindi (endelea)....

Habari za Siasa

Zitto aichongea CCM kwa wananchi

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amewataka Watanzania wasikipigie kura Chama Chama Mapinduzi  (CCM) kwani kimeshindwa kutekeza ahadi walizoahidi kwenye Kampeni za...

Habari za Siasa

Maalim Seif: CCM ijiandae kuondoka itake isitake

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, chama hicho kimejiandaa kushika dola na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kijiandae kuondoka ‘taka...

Habari za Siasa

Mwigulu amponda Lissu, Nyalandu mbele ya JPM 

DAKTARI Mwigulu Nchemba, mgombea ubunge Iramba Mashariki Mkoa wa Singida kupitia CCM, ameanza kumchokonoa Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema na Lazaro Nyalandu,...

Habari za Siasa

Mgombea udiwani CUF aangua kilio kwenye kampeni

SALUM Mwinyikheri, mgombea udiwani katika Kata ya Mumbaka, Masasi mkoani Mtwara, ameangua kilio mbele ya wananchi wakati akiomba kura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Masasi …...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Hakuna kuzaa kwa mpango

DAKTARI John Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema hakuna haja ya watu kuzaa kwa mpango kwa kuwa Serikali...

Habari za Siasa

Lissu: Nitafuta sheria hizi nikiingia Ikulu

TUNDU Lissu, mbombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kufuta sheria zote kandamizi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Ametoa ahadi...

Habari za Siasa

Magufuli: Miaka 5 ilikuwa onjaonja

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli amesema, iwapo atapewa ridhaa na wananchi kuongoza Tanzani kwa awamu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana ahofia CCM kuanguka

ABDULRAHMAN Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha hofu ya kuanguka kwa chama hicho endapo wanachama wake watapuuza kupiga kura. Anaripoti...

Habari za Siasa

CCM yateua wagombea uwakilishi Z’bar

KAMATI Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa wagombea Uwakilishi katika Baraza la Wawakilish (BLW) Zanizbar katika majimbo 50 kwa kuzingatia uwezo,...

Habari za Siasa

Polepole amchimba mkwara Maalim Seif

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemtaka Maalim Seif Sharif Hamad kuacha kuchafua viongozi wa chama hicho,...

Habari za SiasaTangulizi

Membe afichua kitakachoiua CCM

BERNARD Membe, mgomeba urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ametaja kitachoiua Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Ahadi nzito ya ACT-Wazalendo 2020 – 2025

CHAMA cha ACT-Wazalendo endapo kitachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, kimeahidi kuunda ‘Timu ya Majaji’ ili kuchunguza...

Habari za Siasa

Rungwe ahoji kauli ya Rais Magufuli ‘kupuuzwa’

MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashimu Rungwe amehoji mamlaka zinazoendesha uchaguzi mkuu kama walimwelewa vizuri Rais wa Tanzania, John Magufuli...

Habari za Siasa

Rungwe kuzindua kampeni J’mosi Dar, aahidi ubwabwa

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Chaumma, Hashimu Rungwe, ametangaza kuzindua kampeni zake za urais wa chama hicho Jumamosi tarehe 5 Septemba...

Habari za Siasa

Askofu: Wagombea ‘waliokatwa’ warejeshwe

ASKOFU Emmaus Mwamakula, Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, kuwarudisha wagombea wa...

Habari za Siasa

Safari hii sikubali – Maalim Seif

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, hatokubali kuporwa ushindi endapo atashinda kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe...

Habari za Siasa

Mke wa Lissu alivyomwombea kura mmewe

ALICIA Magabe, mke wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewaomba Watanzania kutafakari miaka mitano iliyopita na kuamua...

Habari

Waziri Jafo: Hakuna binadamu aliyekamilika, lazima tuvumiliane

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aeleza atakayofanya 2020-2025

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, misingi ya Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho 2020/25...

Habari za SiasaTangulizi

Ahadi ya CCM 2020 – 2025

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kupunguza pengo la wenye nacho na wasiokuwa nacho, endapo kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Ndugai amwaga sumu kampeni za CCM

JOB Ndugai, mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa, Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka Watanzania kuwapuuza wagombea wa vyama vya upinzani nchini. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Shein: Tutahakikisha Dk. Mwinyi anashinda Z’bar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitahakikisha mgombea wake Dk. Hussein Mwinyi anashinda urais visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

NEC yatangaza wabunge wateule 18 wa CCM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza wabunge wateule 18 wa chama tawa cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania ambao wanasubiri kuapishwa. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Askofu Mwamakula aonya roho za kisasi wagombea urais

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amewataka wagombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wamimilika uzinduzi kampeni za urais Chadema

MAMIA ya wananchi wanaendelea kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zinazofanyika leo Ijumaa...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu kuzindua kampeni leo Dar

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, atazindua kampeni zake za uchaguzi mkuu kesho Ijumaa 28 Agosti...

Habari za Siasa

Chadema yaitaka NEC irejeshe wagombea wao 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwarejesha zaidi ya wagombea ubunge 30 na udiwani 600 walioondolewa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yalia rafu Z’bar

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelaumu vitendo vya wagombea wao kuwekewa pingamizi ama kuondolewa na wasimamizi wa uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kimeeleza, iwapo...

Habari MchanganyikoTangulizi

TCRA yaifungia Clouds siku 7 

MAMLAKA  ya Mwasiliano Tanzania (TCRA) imeagiza Clouds TV na Redio kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba kuanzia kesho Ijumaa 28 Agosti...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yatupa mapingamizi ya Tundu Lissu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeyatupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema dhidi ya wagombea wenzake...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu awawekea pingamizi Rais Magufuli, Prof. Lipumba 

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, amewawekea pingamizi wagombea wawili wa urais akidai wamekiuka Sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...

Habari za Siasa

Urais waivuruga CCK

HATUA ya David Mwaijojele, Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK) kurejesha fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) akiwa peke yake, imefukua mgogoro...

Habari

Kwaheri Dk. Shika

DAKTARI Luis Shika, aliyepata umaarufu kutokana na kauli yake ya ‘900 itapendeza,’ amehitimisha safari yake hapa duniani kwa mwili wake kuzikwa jana Jumanne...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kuwawekea pingamizi wagombea urais

TUNDU Lissu, Mgombea urais wa Tanzania, amewasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wengine wa urais walioteuliuwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini....

Habari za SiasaTangulizi

Majimbo 20 wapinzani njia panda

TAKRIBANI majimbo 20 ya ubunge Tanzania Bara, yapo njia panda baada ya wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutajwa kupita bila kupingwa. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi: Tuache mazoea, tutafute kura

DAKTARI Hussein Mwinyi, mgombea wa urais visiwani Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka viongozi wa chama hicho visiwani humo ‘kuacha mazoea.’ Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Hakimu amvutia pumzi Lissu

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekwama kuhudhuria kesi yake ya uchochezi namba 236/2017 na 123/2017...

Habari za Siasa

Ni ‘nyodo’ za Sugu, Dk Tulia

JOSEPH Mbilinyi maarufu ‘Sugu,’ mgombea ubunge Mbeya Mjini (Chadema) na Dk. Tulia Akson, mgombea jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutambiana. Anaripoti...

Habari za Siasa

Lissu katika tundu la sindano NEC

TUNDU Lissu, mgombe urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mgombea mwenza wake Salum Mwalimu, wameponea kwenye ‘tundu la sindano.’ Anaripoti Regina...

error: Content is protected !!